Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Duh nimechoka hapo tu aliposema eti mali ziligawana 50/50 na 50 ya mama mercy ikawa ya watoto wawaili Regina na kaka yake 😂 na 50 nyingine hiwe ndio ya mengi, kitu ambacho ujui mali ya baba ni ya watoto wote hata kama baba na mama wamegawana lakini kile nusu ya baba ni ya watoto wote Mama anaweza kuolewa huko na mali akazipoteza kizembe kwaiyo mm kama mtoto siwezi kutegemea mali ya mama yangu maisha yangu yote mali ni ya baba, BABA anagawia mali watoto na mke,
 
Du mkuu we kweli una inside info. Ule usia umeandikwa kwa chuki sana. Kama kweli Jackline kafoji ule usia basi mahakamani uta back fire abaki akiimba crazy over you !!!
Of course Yes. Mengi ameishi na Regina na Abdiel akiwaona kila siku zaidi ya miaka 45. Does it make any sense awachukie kiasi cha kuandika eti wapewe Tsh 1,000 kama watakuja kudai kitu. Yaani awachukie kisa ana mapacha na Jackline?

Kwanza mapacha ni wa kukamuliwa mbegu wakati Regina na Abdiel Mengi amewazaa kwa ufundi wake akiwa kijana. Anaanzaje kuwachukia kiasi hicho?
 
Tofautisha “MILA” na “UCHAWI”!

Two different things,get that in your head mzee!

Unachanganya changanya concepts tu hapa!
Mkuu nakuheshimu ila sasa hii too much. Kuna mahali ninetamka neno UCHAWI?
Nilisema laana (curse) ambayo ni sehemu ya MILA (KWA WANAOAMINI). Haya mambo yanafundishwa kwenye anthropology ya jamii ya Afrika na huku inaonekana bado yana nguvu kwenye jamii.
Basi naomba uachane na mimi binafsi badala yake ujikite kwenye mada kuu !!!
 
Wyatt Mathewson,
Mkuu ninekuelewa uko sawa 💯
Ile kwenye usia kuwanyima wanao na kuwapa buku wakishinda kesi SIO PROOF ya chuki. Nimekubaliana na ww 💯 upo sawa !!!!
 
Ndio maana waswahili wanasema alihusika kuandika ule wosia maana alitaka wakubwa wasipate sababu tayari walishapata kwa Mama hivyo 50 iliyobaki ni yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajifanya wosia hajui na hakupenda kuzungumza na marehemu kuhusu mali lakini ukimsikiliza kwa makini tayari alishazungumza na mumewe kuhusu hiyo asilimia 50 ya mama yao (which means alishazungumzia mali before jamaa kufariki)
 
Duh nimechoka hapo tu aliposema eti mali ziligawana 50/50 na 50 ya mama mercy ikawa ya watoto wawaili Regina na kaka yake [emoji23] na 50 nyingine hiwe ndio ya mengi, kitu ambacho ujui mali ya baba ni ya watoto wote hata kama baba na mama wamegawana lakini kile nusu ya baba ni ya watoto wote Mama anaweza kuolewa huko na mali akazipoteza kizembe kwaiyo mm kama mtoto siwezi kutegemea mali ya mama yangu maisha yangu yote mali ni ya baba, BABA anagawia mali watoto na mke,
Na kwann ufikirie Mali ya baba kwann na wew usitafute zako?????
Hiz mambo za kurith ndio zinafanyaga watu weng kuwa dumavu kiakil

kilicho akilini kitumie
 
Na kwann ufikirie Mali ya baba kwann na wew usitafute zako?????
Hiz mambo za kurith ndio zinafanyaga watu weng kuwa dumavu kiakil

kilicho akilini kitumie
Acha ujinga mkuu! Kwani uyu dem na yeye si anafukuzia urithi apo au ni zake? Sisi masikini tutulie jamaa angu yani mzee wako awe na mali alafu wewe ukubali mwanaume mwengine aje kutumia jasho la mzee wako na wewe upo? Maana dem mwisho wa siku atakuwa na mwanaume unafikiri nini kitatokea na hapo ao wakubwa wanapambania mali za wadogo zao na baba yao... Ila uyo gal ni mwizi kama wezi wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah!
Hivi alisema hata wakishinda wapewe shilingi 1/= ??
Dah!
Ule wosia ni purely MENGI kaandika, maana hii stahili ya 1/= ni yake kama alivyompeleka Rostam Mahakamani akaenda kudai 1/=.

Utakuwa unachanganya mafile Mkuu,Manji ndio alimshtaki Mengi na akadai fidia ya 1/=.

Wakishinda hiyo kesi maana yake wosia unakuwa revoked na kila kitu kinagawanywa upya kwa mujibu ya Judgement ya Mahakama!
 
Anajifanya wosia hajui na hakupenda kuzungumza na marehemu kuhusu mali lakini ukimsikiliza kwa makini tayari alishazungumza na mumewe kuhusu hiyo asilimia 50 ya mama yao (which means alishazungumzia mali before jamaa kufariki)

Ujue huyu siyo smart kihivyo kwenye kujieleza,kila anapoongea ndio anazidi kujifunua,halafu wakati huo huo ajue haya anayoyaongea live yatakuja kumsulubu Mahakamani,kina Ngalo wanamsubiri tu,yeye aendelee kubwabwaja akidhani ina msaada sana kwake
 
Acha ujinga mkuu! Kwani uyu dem na yeye si anafukuzia urithi apo au ni zake? Sisi masikini tutulie jamaa angu yani mzee wako awe na mali alafu wewe ukubali mwanaume mwengine aje kutumia jasho la mzee wako na wewe upo? Maana dem mwisho wa siku atakuwa na mwanaume unafikiri nini kitatokea na hapo ao wakubwa wanapambania mali za wadogo zao na baba yao... Ila uyo gal ni mwizi kama wezi wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ujinga Kama wangekuwa na akil wakat mama yao ana gombana na baba yao wasingekuwa upande wa mama yao.

Na mzee meng alikaa katika upweke ndio maaana akaamua kufanya vile kwa binti yule mzee alikosa furaha

Wacha dunia itufunze weng humu tunaongea lakin yalio ndani ya familia hatuyajui

Mm huwa naongea naongea nitakapo kufa mal zangu ziuzwe zigawe kanisani na msikitin na watoto yatima sitak watu waje wagombane ,wachukiane kwa ajili yangu

Na watoto wangu nilishawaambia watafute vyao full stop

kilicho akilini kitumie
 
Issue kubwa hapa ni tafsiri ya kisheria ya nini ni mali za Mengi na nini haki za warithi wake na sio dhana kuwa yeye na mkewe wa kwanza 50/50 , hivyo watoto wakubwa walishapata kwa Mama , je cha baba hawana haki nacho?? Na kama wana share kabla ya hapa ,je ina maana walisha pata chao au na hili la share za baba nao wamo??
Tuiachie mahakama wafanya kazi yao na kusikiliza panda husika
Pia hata hicho cha baba baada ya kutoa kile cha mama bado walishiriki kikamilifu katika kukitafuta kwa kuwa walikuwa sehemu ya biashara ya familia
 
Hii ishu pamoja na kunyimwa kuona kaburi ni mambo serious sana ya kukazia ili kuielewa movie nzima hasa kwenye kipengele cha "kwa nini anaongea na media"!!!
Ya kunyimwa kuona kaburi nadhani anaikuza tu, kiungwana kama unakwenda sehemu ambako kuna mwenyeji wako lazima utoe taarifa tu jamani ndugu zangu nitapita kuona kaburi la mzee hasa kwenye nyumba zenye mageti hizi sio kwenda tu. Hata yeye ameishi nyumba za mageti huwa mtu huendi tu kisa tu pale ni kwa ndugu yako lazima utauliza kwanza kama wapo nyumbani then unapita (maana ukienda mara 2 ama 3 bila hata kusema "hello" kwa mwenyeji wako tayari wewe utakuwa una tatizo)
 
black hawk87,
hacheni maneno ya kwenye mitandao, alikua mpweke kivipi? kyln mwenyewe amethibitisha kwa mdomo wake kua Abdiel alikua anaenda kumtembelea baba yake mara kwa mara kwenye nyumba anayoishi na kyln

all in all wangemtembelea au wasingemtembelea hiyo sio justification ya wao kukosa urithi kama watoto wa marehemu
 
Hii ni elimu mpya kabisa kwangu. Shukrani sana.

Inamaana nnaweza kuandika na kutoa maelekezo yote kuhusu mgao wa mali zangu siku nikitwaliwa na bado mambo yakafanyika ndivyo sivyo?

Unaweza kuweka japo kwa uchache tu vitu gani vinaweza kupelekea wosia kutenguliwa?
Ukimnyima mwanao urithi bila kuwa na sababu yoyote,
Kinafanya mwanao akose urithi wako ni-
1. kutembea na mke wako
2 kukataa kukuuguza ukiumwa
 
frama,
Mkuu hebu fafanua kidogo hapa,maana sijakuelewa kwamba total ni 150%? (Mercy 50%,Mengi 50% na Nguma 50%) Au ulimaanisha Mercy 50% (Mengi na Nguma kwa pamoja walikuwa na 50%) ambayo inaleta 100%?

Otherwise mengine tuko pamoja kabisa,hakuna janja ya kuvuna asiponda huyu Mjane wa mwendokasi,asubiri haki yake inayomstahili na siyo hiyo ya wosia wa kitapeli aliouandaa!
Yes uko correct!!!..Tena Mengi Ana 1% share kuna kitu as family waliamua kutengeneza inaitwa Reginald Mengi family Trust ambayo ndio ina share karibia 99%...huku Mzee machache akibakia na hiyo 1%
 
Yes uko correct!!!..Tena Mengi Ana 1% share kuna kitu as family waliamua kutengeneza inaitwa Reginald Mengi family Trust ambayo ndio ina share karibia 99%...huku Mzee machache akibakia na hiyo 1%

Kwa maana hiyo ni kwamba watoto wana 50% ya Mercy na 25% ya Nguma ambayo inaleta 75%.Wakati Mzee Mengi alibaki na 25% tu (ambayo ndiyo Bibie anaitaka yote japo aliamini kabisa kwa akili zake kuwa ni 50% kwa mujibu wa Interview ya Millard)!

Hilo la Family Trust Fund nadhani walifanya kitu cha maana sana,wakahamishia huko kila kitu na Mzee akaachiwa hiyo 1%tu. Mjane akiendelea kuleta ujuaji ataishia kupaona hata ITV kwa TV kama sie,atulie asilete ujuaji ili afikiriwe kidogo kama yeye,habari ya kusimamia Urithi wa mapacha mbona wala siyo shida kabisa,IPP ilishakuwa kwenye levels nyingine kabisa,shares zao zitakuwepo tu tena za uhakika watazikuta wakikuwa!

Nilitaka kushangaa,kwamba ile familia wawe wajinga kiasi hiki,lifestyle ya yule Dada na Mzee ilishawapa alert tayari siku nyingi na wakajiweka sawa huku yeye akili zake zikimdanganya kuforge wosia tu [emoji3]!
 
Nyamizi,
Na ukitaka kuamini ile Will ni fake na haikuandikwa na mzee ni vile mali zilivyogawanywa kwa kyln bila kuweka percentage kwa Sababu aliyeandaa alikua hana uhakika mzee anamiliki asiilimia ngapi na anamiliki kitu gani na gani

Wameandika tu kwa ujumla “share zangu zote apewe mama twins” Sawa lakini ni ngapi 😂😂😂

Inafiurahisha kuona Darasa la saba B anataka kushindana na watoto vichwa wenye CPA na PhD zao
 
Mimi., Kwenda kumtembelea mtu ndio mhusika kuwa na furaha? Tambua mtu anaweza kuja kukutembelea huku akitamani ufe ili apate kitu flan

Tunacho angalia maisha kiujumla yalikuwaje kabla na baada ya kuoa mke mwingne

Hii mioyo Ina mambo meng Sana kuiyelewa Ni Kaz ngumu sana

kilicho akilini kitumie
 
Nyamizi,
Bibie na washkaji zake walikosea mno timing!!.. IPP media kitambo inasimamiwa na Regina Yani kabla hata Mercy kufariki!!!...huyo Abdiel family ilimtoa makusudi akawa yeye Ana operate kwenye makampuni yote pamoja na Benjamin na baadhi ya Mashemeji wa Reginald!!.. Bibie alitakiwa afanye vyake Sasa amekosea zaidi biashara zake kaziweka kwenye eneo la Mama Mercy!!!... sijui Nani anamfundisha huyu au anataka watu waamini maneno ya Mtikila Marehemu
 
Back
Top Bottom