Duh nimechoka hapo tu aliposema eti mali ziligawana 50/50 na 50 ya mama mercy ikawa ya watoto wawaili Regina na kaka yake 😂 na 50 nyingine hiwe ndio ya mengi, kitu ambacho ujui mali ya baba ni ya watoto wote hata kama baba na mama wamegawana lakini kile nusu ya baba ni ya watoto wote Mama anaweza kuolewa huko na mali akazipoteza kizembe kwaiyo mm kama mtoto siwezi kutegemea mali ya mama yangu maisha yangu yote mali ni ya baba, BABA anagawia mali watoto na mke,