Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Huyu mwanamke alichangia sana kuharakisha kifo cha Mzee Mengi. Yaani kwa umri ule bado tu alikuwa anataka kumzururisha Mzee badala ya kupumzika hapa nchini. Yaani alikuwa amem-control vibaya mpaka Mzee anaanza ku-post ma-video ya kijinga mtandaoni kama teenager vile ili kuuhadaa uma kuwa anapendwa mno. Aridhike na alichokipata maana hata kama Mengi ndiye angekuwa mzee wangu nisingekubali huo ujinga.
 
Haya mambo ni makubwa sana kwa Jack, mambo ya makampuni sijui shares kayajua ukubwani, wenzake akina Regina tokea wadogo. Halafu tatizo mali anazotaka watoto wakubwa wanazimamia, inahitajika moyo kuwang'oa. Hivi alishindwa nini kumshawishi Mengi auze share zake akawekeze kwingine kama alipendwa hivyo?

Halafu asitake kutuaminisha Mengi aligombana na dunia nzima kwa ajili yake.
Hamna baba anayeweza kuandika ule uchafu eti wosia.

Mengi anampa Makonda milioni 400 awanyime watoto wake mali zake?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zurie,
Mama atulie alee watoto, aachane na malumbano na sisi tunawaombea maisha mema, pamoja na mzee kule aliko akhera!
 
Ofcourse walijipanga kumzuia. Huhitaji degree kujua hilo. Nikwasababu tayari wako kwenye mgogoro.
 
Mimi.,

Umenikumbusha mbali sana 2005 napata CPA enzi hizo za Utoh akiwa NBAA,ile furaha nilipoona nimefaulu karibu nizimie na hivi nilikuwa ndio fresh from University,nilikuwa naaply kila kazi napata tu bila shida kabisa,nabaki kuchagua napotaka! Ashukuriwe sana Mr Musasira kwa Review classes zake pale Ubungo River Side!

Back to the topic,hivi kweli huyu Mjane akiulizwa hizo “Mali alizorithishwa ni zipi haswa” anauwezo hata wa kuzitambua? Huo wosia angeandikiwa na kina Ngalo kweli ningeamini,lkn hao Laywrs wa Magomeni [emoji3][emoji3][emoji3]
 

Unazidi kunipa mwanga mkubwa katika hili Mkuu,sasa naelewa fika hapa Mziki ni mnene kwa Mjane,kumbe The Shangali’s Family pia wako wanarun hizi Business? Hapo ni atulize kiherehere kabisa kama anataka kuwa in Peace with the Family!

Hivi kweli hiyo Amorette kumbe iko kwenye eneo la Mama Mercy,akili za darasa la Saba B hizi haki (in Mimi voice [emoji3][emoji3])
 

Zile clip za mwishoni kabla ya kufariki yalikuwa ni Maigizo ya kipumbavu sana,bad timing haswa,yani Mzee leo akwambue “I love u crazy” unapost mitandaoni wakati siku zote hukuwahi fanya hivyo,next week anafariki tena mikononi mwako huko Dubai umempeleka kuzurura huku ukijua ni mgonjwa,madai yako “alitaka watoto wakaenjoy” .Zilikuwa akili za La Saba B hizo [emoji3][emoji3]
 
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza ktk jambo hili la mirathi, Ila Mahakama haina budi kutenda haki Kwa kuzingatia wosia wa marehemu, huyu mjane Na Watoto wake wadogo wasidhuliwe haki yao. Inaonekana kuna kila dalili za kumzima Haki yake!! Lkn naamini Mahakama haitoingia kwenye mtego huo. Pole sana Kwa mjane Kwa wakati mgumu anao pitia kwa sasa,
 
kuna mengi ambayo hayajulikani hapo, juzi nimeangalia mahojiano ya ma house girl wa wengi, mmoja anasema mengi wakati anamuaga alisema hana pesa, yani pesa ya chakula kwa ajili ya hizo siku atakazokuwa hayupo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Yani MTU kama mengi akose hela ya kula Lucas Mobutu
 
L Last days Mzee alikua anakaa Ndani tu anatoka kwenye shughuli muhimu!!.. Bibie hakujua chochote!!!..watoto wakawa wanampa Mzee fedha za matumizi yake binafsi ndio maana huko mahakamani Bibie anaona Mzee kazalilishwa kwasababu wameweka ukweli mchungu!!..
 
Nyamizi,
Last days Mzee alikua anakaa Ndani tu anatoka kwenye shughuli muhimu!!.. Bibie hakujua chochote!!!..watoto wakawa wanampa Mzee fedha za matumizi yake binafsi ndio maana huko mahakamani Bibie anaona Mzee kazalilishwa kwa sababu wameweka ukweli mchungu!!..
 
Nyamizi, Nguma naona alilipwa chake kwahiyo kampuni ikabaki na familia

Sent using Jamii Forums mobile app

That’s make sense! Nachokiona hapa ni kuwa Mjane hata hajui exactly ni kipi anapaswa kurithishwa maana yake Wosio wa Bushlawyers hata hawakuwa kwenye position ya kujua Mzee anamiliki nini na kwa kiwango gani,ndio maana wosia ukawa too general,sasa mchanganuo ukiwekwa hadharani wa nini alikuwa anamiliki Mzee kuna mtu anaweza patwa na kiwewe!

Nasubiri mpambano wa kina Advocate Ngallo wanaojua inside out ya Mali za Mzee Mengi na umiliki wake Vs Advocates wa Mjane ambao hawana wanalolijua kwa uhakika undani wa Mali za Mzee!
 
Hennah, Wanawake wanatamani sana jacky arudi chini kabisa aanze kudanga kama bongo movie[emoji16][emoji16][emoji16] alipo fika yule basi tena kurudi chini hivyo sio zoezi rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app


Kurudi hatorudi lakini atakuwa kama chizi kabisa kabisa tena chizi fresh na atagawa kama njugu kabisa stress zake sio za nchi hii
 
1% ya utajiri wa bilioni 500 na zaidi bado ni nyingii sana.. yaani k lyn ubilionea umemjia kwa papuchi tu

Huyu mpaka Mzee anafariki alipaswa kuwa kama na Investments za 20bn za kwake tu zinazoeleweka,angekuja kuongeza na hicho atakachopata kwa Urithi angekuwa ni Bilionea haswa! Pana mdau mmoja hapo juu alisema,alipaswa ambane Mzee akiwa hai amwandalie kabisa cha kwake nnje ya Business Family but yeye akasubiri Wosia,imekula kwake! kwa sasa ukiongelea 1% means ni 5bn tu! Hapa kitakaochomuokoa ni Shares za Watoto wake ambazo zitakuwa si haba !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…