Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Una proof yeyote ni “yeye” really aliandika?

Umefanya forensics uka prove hilo au unajiongelea tu?

Una uhakika gani kama sio yeye aliyeandika? Unadhani mahakama ni wajinga kiasi hiko kutokujua legit document or fake ?, ebu achen maneno ya mkosaji . Iwe kaandika au hajaandika jacky ni mke wake na kazaa nae so Mali lazima apate hilo sio suala la kujadili

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tunajua atapata mali...lakini sio kwa ndoto anazoota Jack..!naona anaota a dada yake kuwa Multimillionaire!atasubiri kidg...
 
Tunajua atapata mali...lakini sio kwa ndoto anazoota Jack..!naona anaota a dada yake kuwa Multimillionaire!atasubiri kidg...

Wala haitotokea hiyo ndoto yake,yeye aamke aanze maisha upya akijua atapata stahiki ya mgawo wake ambao si haba but siyo kama alivyodhania,au hajui kuwa “Mwenyekiti wa IPP ni Regina Mengi”
 
mkuu, ndio house girl wake alisema hivo, ukiingia youtube ipo hiyo video, yani kwa mujibu wa house girl ,mengi kila akisafiri anaacha pesa ya matumizi mfano chakula, ila siku hiyo alisema hana pesa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio bidada ndo aliwabania kwa mdingi maana alikuwa na bifu na hao mabeki tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunajua atapata mali...lakini sio kwa ndoto anazoota Jack..!naona anaota a dada yake kuwa Multimillionaire!atasubiri kidg...

Kuhusu Dada yake alifafanua why aliandikwa kwenye mirathi, sikiliza vzur interview , Incase kama jack akiondoka dunian wa kusimamia ni dada ake , ikitokea akifariki jacky

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mnaomponda jack mnajifariji tu, kwa sisi wanasheria tunajua wosia wa mengi hakuna mahakama yoyote hapa duniani yenye uwezo wa kuutengua, uko sahihi na kisheria kwa 100%. hao ndugu zake sijui watapeleka ushahidi gani wa kudhibitisha mengi alichanganyikiwa. inatakiwa wapeleke ripoti ya daktari wa mengi kudhibitisha madai yao, labda wafoji, mwacheni jack ajimwambafy hakuna wakumdhulumu mali zake na watotn wake
Nijulishe chuo ulichosomea sheria nisijepata hasara kumpeleka mwanangu kusoma hapo....

Ni kwa nia njema tu.
 
Wyatt Mathewson,

Haijalishi alikua katika hali gani, wosia umeandikwa umeandikwa , ukitaka kujua aliandika wakat anacheka au analia au ameweka Miguu juu wewe itakusaidia nini .

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mara moja moja uwe unafuatilia angalau documentaries za "investigation discovery" au "my little dirty secret" au "forensic files" Naamini utatoka kwenye hilo giza linalokuzingira...
 
Case hii k lyn ana nafasi kubwa sana ya kushinda.. ndio maana anakomaa iamuliwe na mahakama sio na vikao vya ndugu nje ya mahakama..

Hoja za mzee Mengi alichanganyikiwa.. itahitaji ripoti ya hospitali. Hapo ndipo patamu
Kwani report ya hospital haipatikani ? Au unadhani wao mpaka kutamka hayo hawajielewi ?
Hawezi kushinda. Hawezi kutoka mtu ukoo mwingine aje awatawale ukoo mwingine waliojisimamia tangu zamani.
Wale wanamfahamu Regi kwa uhai wake wote wacha huyu kaja juzi tena kafata Mali. Hajui Wala zilivyooatikana historia yake.
Ashukuru Kama Kuna kitu kapewa sense zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika gani kama sio yeye aliyeandika? Unadhani mahakama ni wajinga kiasi hiko kutokujua legit document or fake ?, ebu achen maneno ya mkosaji . Iwe kaandika au hajaandika jacky ni mke wake na kazaa nae so Mali lazima apate hilo sio suala la kujadili

Sent from my iPhone using JamiiForums

Huna uhakika wala mimi sina uhakika either

We are all monkeys

Awe mke asiwe mke,awe na watoto wa Mengi asiwe nao who cares!?

Tunazungumzia kesi hapa!
 
Back
Top Bottom