JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Huyu mwanamke alichangia sana kuharakisha kifo cha Mzee Mengi. Yaani kwa umri ule bado tu alikuwa anataka kumzururisha Mzee badala ya kupumzika hapa nchini. Yaani alikuwa amem-control vibaya mpaka Mzee anaanza ku-post ma-video ya kijinga mtandaoni kama teenager vile ili kuuhadaa uma kuwa anapendwa mno. Aridhike na alichokipata maana hata kama Mengi ndiye angekuwa mzee wangu nisingekubali huo ujinga.