Huyu alilemazwa na divorce kwa mke mwenzie akajua kila kitu kitabaki kwakeHuyu mpaka Mzee anafariki alipaswa kuwa kama na Investments za 20bn za kwake tu zinazoeleweka,angekuja kuongeza na hicho atakachopata kwa Urithi angekuwa ni Bilionea haswa! Pana mdau mmoja hapo juu alisema,alipaswa ambane Mzee akiwa hai amwandalie kabisa cha kwake nnje ya Business Family but yeye akasubiri Wosia,imekula kwake! kwa sasa ukiongelea 1% means ni 5bn tu! Hapa kitakaochomuokoa ni Shares za Watoto wake ambazo zitakuwa si haba !
Hiki kitu nakiwaza now!..ya maigizo live hata mtoto angeweza kujua![emoji848]Zile clip za mwishoni kabla ya kufariki yalikuwa ni Maigizo ya kipumbavu sana,bad timing haswa,yani Mzee leo akwambue “I love u crazy” unapost mitandaoni wakati siku zote hukuwahi fanya hivyo,next week anafariki tena mikononi mwako huko Dubai umempeleka kuzurura huku ukijua ni mgonjwa,madai yako “alitaka watoto wakaenjoy” .Zilikuwa akili za La Saba B hizo [emoji3][emoji3]
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza ktk jambo hili la mirathi, Ila Mahakama haina budi kutenda haki Kwa kuzingatia wosia wa marehemu, huyu mjane Na Watoto wake wadogo wasidhuliwe haki yao. Inaonekana kuna kila dalili za kumzima Haki yake!! Lkn naamini Mahakama haitoingia kwenye mtego huo. Pole sana Kwa mjane Kwa wakati mgumu anao pitia kwa sasa,
Mimi nimecheka kweli hiyo ya kumuonea wivu jack kwa lipi jamani.
Laana sio uchawi chief
Acha uongo basi binamu, usiseme kwa lipi, bora tu useme umuonei wivu inatosha.. Jacky has got life probably ten times than you
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu Burnaboy anaropokwa tuu, pengine ni best yake Jacky. He has no idea who lifted Mengi and how Mengi managed to succeed in his businesses. Clueless. If it wasn't for Mercy Shengeli (Mrs Mengi), Mengi would never have been who and what he became. Huyo Jacky unafikiri angemkubali Mengi kama Mengi angekua tu ni Mzee anakula pension ya serikali? Jacky alifuata pesa pale, anajaribu kudanganya watu eti it was love! Mfyuuu, it was money, full stop.Usilolijua Mercy Mengi ndo alikua mtoto wa Chifu huko Moshi
She is the source of wealth
Aah binamu which life? Hatujuani ujue
mnaomponda jack mnajifariji tu, kwa sisi wanasheria tunajua wosia wa mengi hakuna mahakama yoyote hapa duniani yenye uwezo wa kuutengua, uko sahihi na kisheria kwa 100%. hao ndugu zake sijui watapeleka ushahidi gani wa kudhibitisha mengi alichanganyikiwa. inatakiwa wapeleke ripoti ya daktari wa mengi kudhibitisha madai yao, labda wafoji, mwacheni jack ajimwambafy hakuna wakumdhulumu mali zake na watotn wake
Huyu Burnaboy anaropokwa tuu, pengine ni best yake Jacky. He has no idea who lifted Mengi and how Mengi managed to succeed in his businesses. Clueless. If it wasn't for Mercy Shengeli (Mrs Mengi), Mengi would never have been who and what he became. Huyo Jacky unafikiri angemkubali Mengi kama Mengi angekua tu ni Mzee anakula pension ya serikali? Jacky alifuata pesa pale, anajaribu kudanganya watu eti it was love! Mfyuuu, it was money, full stop.
[emoji16][emoji16]kwa huyo mwanasheria wa mengi kua na ofisi kigogo lazima ni mjinga kma wewemnaomponda jack mnajifariji tu, kwa sisi wanasheria tunajua wosia wa mengi hakuna mahakama yoyote hapa duniani yenye uwezo wa kuutengua, uko sahihi na kisheria kwa 100%. hao ndugu zake sijui watapeleka ushahidi gani wa kudhibitisha mengi alichanganyikiwa. inatakiwa wapeleke ripoti ya daktari wa mengi kudhibitisha madai yao, labda wafoji, mwacheni jack ajimwambafy hakuna wakumdhulumu mali zake na watotn wake
Haijalishi alikua katika hali gani, wosia umeandikwa umeandikwa , ukitaka kujua aliandika wakat anacheka au analia au ameweka Miguu juu wewe itakusaidia nini .
Sent from my iPhone using JamiiForums