Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Huyu mpaka Mzee anafariki alipaswa kuwa kama na Investments za 20bn za kwake tu zinazoeleweka,angekuja kuongeza na hicho atakachopata kwa Urithi angekuwa ni Bilionea haswa! Pana mdau mmoja hapo juu alisema,alipaswa ambane Mzee akiwa hai amwandalie kabisa cha kwake nnje ya Business Family but yeye akasubiri Wosia,imekula kwake! kwa sasa ukiongelea 1% means ni 5bn tu! Hapa kitakaochomuokoa ni Shares za Watoto wake ambazo zitakuwa si haba !
Huyu alilemazwa na divorce kwa mke mwenzie akajua kila kitu kitabaki kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile clip za mwishoni kabla ya kufariki yalikuwa ni Maigizo ya kipumbavu sana,bad timing haswa,yani Mzee leo akwambue “I love u crazy” unapost mitandaoni wakati siku zote hukuwahi fanya hivyo,next week anafariki tena mikononi mwako huko Dubai umempeleka kuzurura huku ukijua ni mgonjwa,madai yako “alitaka watoto wakaenjoy” .Zilikuwa akili za La Saba B hizo [emoji3][emoji3]
Hiki kitu nakiwaza now!..ya maigizo live hata mtoto angeweza kujua![emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatafuta balaa ww, yaani mahakama itende haki kwa kufata wosia , unajua kilichoandikwa kwenye wosia?

Yaani Abnael na Regina wapewe buku, kweli?? Hahaha

Pia unamtaftia matatizo huyo dada, hiyo ni option namba 1, ikishindikana unajua wanafanya nn....?

Ajichunge sana Jack
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza ktk jambo hili la mirathi, Ila Mahakama haina budi kutenda haki Kwa kuzingatia wosia wa marehemu, huyu mjane Na Watoto wake wadogo wasidhuliwe haki yao. Inaonekana kuna kila dalili za kumzima Haki yake!! Lkn naamini Mahakama haitoingia kwenye mtego huo. Pole sana Kwa mjane Kwa wakati mgumu anao pitia kwa sasa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wyatt Mathewson,

Haijalishi alikua katika hali gani, wosia umeandikwa umeandikwa , ukitaka kujua aliandika wakat anacheka au analia au ameweka Miguu juu wewe itakusaidia nini .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mnaomponda jack mnajifariji tu, kwa sisi wanasheria tunajua wosia wa mengi hakuna mahakama yoyote hapa duniani yenye uwezo wa kuutengua, uko sahihi na kisheria kwa 100%. hao ndugu zake sijui watapeleka ushahidi gani wa kudhibitisha mengi alichanganyikiwa. inatakiwa wapeleke ripoti ya daktari wa mengi kudhibitisha madai yao, labda wafoji, mwacheni jack ajimwambafy hakuna wakumdhulumu mali zake na watotn wake
 
Usilolijua Mercy Mengi ndo alikua mtoto wa Chifu huko Moshi
She is the source of wealth
Huyu Burnaboy anaropokwa tuu, pengine ni best yake Jacky. He has no idea who lifted Mengi and how Mengi managed to succeed in his businesses. Clueless. If it wasn't for Mercy Shengeli (Mrs Mengi), Mengi would never have been who and what he became. Huyo Jacky unafikiri angemkubali Mengi kama Mengi angekua tu ni Mzee anakula pension ya serikali? Jacky alifuata pesa pale, anajaribu kudanganya watu eti it was love! Mfyuuu, it was money, full stop.
 
mnaomponda jack mnajifariji tu, kwa sisi wanasheria tunajua wosia wa mengi hakuna mahakama yoyote hapa duniani yenye uwezo wa kuutengua, uko sahihi na kisheria kwa 100%. hao ndugu zake sijui watapeleka ushahidi gani wa kudhibitisha mengi alichanganyikiwa. inatakiwa wapeleke ripoti ya daktari wa mengi kudhibitisha madai yao, labda wafoji, mwacheni jack ajimwambafy hakuna wakumdhulumu mali zake na watotn wake

That’s true , awe alichanganyikiwa , alikua mlevi, au hana akili but ndo kashaandika tena , waheshim tu wosia wa marehemu, mengi alimpenda Jack , ina maaan pia kipindi anamtongoza hadi anamuoa na kuzaa nae alikua na matatizo ya akili ? , watu bwana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu Burnaboy anaropokwa tuu, pengine ni best yake Jacky. He has no idea who lifted Mengi and how Mengi managed to succeed in his businesses. Clueless. If it wasn't for Mercy Shengeli (Mrs Mengi), Mengi would never have been who and what he became. Huyo Jacky unafikiri angemkubali Mengi kama Mengi angekua tu ni Mzee anakula pension ya serikali? Jacky alifuata pesa pale, anajaribu kudanganya watu eti it was love! Mfyuuu, it was money, full stop.

Hakufuata Pesa , Pesa ilimfuata Jacky , na mwanamke gan mwenye jeuri ya kumkataa Mengi ? Never sio kwa bongo hii [emoji16], Tukubali tu Jacky aliangukia bwana , kashapatia maisha , Ni mengi ndo aliyemtaka, ingekua kufuata pesa kwa mengi ingekua rahis hivyo , wadada wote wa mjin wangezaa nae , But mengi chose Jacky over wanawake wote , Mtoto wa watu alipendwa, Pesa ndo ilimfuata Jacky

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu waMengi wa kujitolea wana hasira kuliko hata ndugu halisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya ngoja tusubiri maamuzi ya mahakama maana buku inahusika hapo tusisahau.
 
wachaga wamemcharukia kweli Jacky, yani hapa unaona kabisa mtu anaongeza kisa chuki tu!

ngoja tusubiri mahakama, yani watu wanaongea as if Jacky alimfuata mzee na kumbaka, akampa limbwata ili amuoe! Jamani huyu ni mke halali wa marehemu, kidini na kisheria!

btw, Regina ana mme? ana watoto? vipi kwa abdiel?..... this could explain why Mzee aliamua kumuoa na kuzaa na Jacky, could also explain kwanini hakutaka kuwapa mali zake hao wanae maana wapo tu...... wamemnyima mzee wajukuu!
 
mnaomponda jack mnajifariji tu, kwa sisi wanasheria tunajua wosia wa mengi hakuna mahakama yoyote hapa duniani yenye uwezo wa kuutengua, uko sahihi na kisheria kwa 100%. hao ndugu zake sijui watapeleka ushahidi gani wa kudhibitisha mengi alichanganyikiwa. inatakiwa wapeleke ripoti ya daktari wa mengi kudhibitisha madai yao, labda wafoji, mwacheni jack ajimwambafy hakuna wakumdhulumu mali zake na watotn wake
[emoji16][emoji16]kwa huyo mwanasheria wa mengi kua na ofisi kigogo lazima ni mjinga kma wewe
tapatalk_1583497524345.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi alikua katika hali gani, wosia umeandikwa umeandikwa , ukitaka kujua aliandika wakat anacheka au analia au ameweka Miguu juu wewe itakusaidia nini .

Sent from my iPhone using JamiiForums

Una proof yeyote ni “yeye” really aliandika?

Umefanya forensics uka prove hilo au unajiongelea tu?
 
Back
Top Bottom