Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Kuna hukumu ya Jaji Mlyambina ya Mahakama Kuu ya tarehe 09/03/ 2020. Nenda kaisome uone Jackline alivyosambaratishwa. Baada ya kusoma urudi humu uandike tena utumbo wako
 
Kuna hukumu ya Jaji Mlyambina ya Mahakama Kuu ya tarehe 09/04/ 2020. Nenda kaisome uone Jackline alivyosambaratishwa. Baada ya lysoma urudi humu uandike tena utumbo wako

Mkuu mbona hiyo tarehe haijafika,hukumu imeandaliwa tayari nini backstage?
 
Huyu mzee many naye alibugi kuishi naye
Kumbuka ashaishi na knje tena Akaishi na yule mafi@ wa kibulgaria aliyetimuliwa nchni.

Ngoja niishie hapa.

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani waliowahi kifanya hivyobsibwengibulitaka asiolewe, acha husuda Klyn yupo anayetea haki ya watoto wake, Mengi hakuwa na Mke ulitaka amwoe nani? Ritha asamchafua
 
Kuna hukumu ya Jaji Mlyambina ya Mahakama Kuu ya tarehe 09/03/ 2020. Nenda kaisome uone Jackline alivyosambaratishwa. Baada ya kusoma urudi humu uandike tena utumbo wako
Mwananzengo naomba utiririke tafadhali
Au anzishia uzi
Mana ni taarifa nyeti sana
Kimejiri nini?...
 
Mwananzengo naomba utiririke tafadhali
Au anzishia uzi
Mana ni taarifa nyeti sana
Kimejiri nini?...

Kyln aliweka pingamizi mahakami (caveat), kuzuia case ya msingi hisiendelee iliyofunguliwa na Wakina Regina Mengi

Mahakama imetupilia mbali pingamizi lake , Case ya msingi inaendelea

Pingamizi lake ni la kizushi
 
Ndugu hawakumpenda yeye,unaona ABDIELI alikuwa anaenda home,Regina ambae keshakula chake kupitia mar.mama yake,akawa anaumia roho,alitaka baba yake asitwange?
Halafu JACQUE anasema "REG"akiwa nyumbani ni "KIJANA SANA"na amesema waulizee wanaoumjua "Reg". sasa munataka nini.
Angempenda Mengi angependa na ndugu zake, yeye alikua na maslahi yake, ndugu za Mengi wamemu expose hivyo anachukia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kyln aliweka pingamizi mahakami (caveat), kuzuia case ya msingi hisiendelee iliyofunguliwa na Wakina Regina Mengi

Mahakama imetupilia mbali pingamizi lake , Case ya msingi inaendelea

Pingamizi lake ni la kizushi
Kwahio wanajadili ule wosia upya ama
Pingamizi lake ilikua ni lipi
 
Kwahio wanajadili ule wosia upya ama
Pingamizi lake ilikua ni lipi


Case ya msingi ni ile ya kupinga will yake fake sasa yeye aliweka zuio mahakama imuache aendelee na hiyo Will watoto wa Mengi wasipinge β€œyaani alifungua case juu ya case β€œ

Sasa case inayoendelea ni ile ya mwanzo iliyofunguliwa na watoto wa Mengi wa kupinga ule Wosia

Hii ya pingamizi lake kutupiliwa mbali na mahakama ni dalili tosha ya kyln kuangukia pua huko Mbeleni
 
Mwananzengo naomba utiririke tafadhali
Au anzishia uzi
Mana ni taarifa nyeti sana
Kimejiri nini?...
Ni hivi baada ya kifo cha Mzee Rrginald Mengi, Benjamin Mengi, William Mushi, Zoeb Hassuji na Sylivia Novatus Mushi walifungua shauri la mirathi katika Mahakama Kuu, wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi ya Marehemu Mzee R Mengi. Baada ya hapo Shauri hilo lilitangazwa kwa umma kupitia Gazeti la Daily news na Tangazo la Serikali, ili kama kuna mtu analo pingamizi juu ya suala hilo awasilishe pingamizi ndani ya siku 30 kama Sheria inavyotaka. Watoto wawili wakubwa wa mzee Mengi waliweza kuwasilisha pingamizi ndani ya muda kupinga watajwa hapo juu kuteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi, hata hivyo kabla ya kuendelea kusikilizwa kwa maombi ya pingamizi husika, Jackline Mengi yeye pamoja na Watoto wake waliwasilisha maombi Mahakamani kuomba kuwasilisha na wao pingamizi la watajwa awali hapo juu kuwa wasimamizi wa mirathi nje ya muda. Kabla ya kuendelea na shauri watoto wakubwa wa mzee Mengi waliweka pingamizi la kusikilizwa kwa maombi ya Jackline kwa sababu katika kiapo chake imeonekana ameweka maelezo ya kuambiwa, maelezo yenye majumuisho n.k kitu ambacho ni kinyume na Sheria. Mheshimiwa Jaji Mlyambina amekubaliana na mapingamizi ya watoto wakubwa wa Mengi kwamba ni kweli maelezo yaliyomo katika kiapo cha Jack ni ya kusikia au kuambiwa badala ya kutoa maelezo yake yeye kama yeye maana kiapo ni ushahidi. Hivyo Mheshimiwa Jaji kaamua kuondoa maombi ya Jack Mahakamani na kila upande imeamuliwa ubebe gharama
 

IKEA inauza vitu Vingi Hadi vyombo sio furniture tu
 
Daaah miss wetu anabaki kua mlezi wa watoto wake huku akiishi kwa kupewa matumizi ya watoto tu,ukiwa mjuaji sana hukosa vyote.
Toka lini mengi akawa na wanasheria wa kuokota kama hao wa will ya jacky

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah miss wetu anabaki kua mlezi wa watoto wake huku akiishi kwa kupewa matumizi ya watoto tu,ukiwa mjuaji sana hukosa vyote.
Toka lini mengi akawa na wanasheria wa kuokota kama hao wa will ya jacky

Sent using Jamii Forums mobile app



Kyln amekua akiishi kwa posho kutoka kwa Regina na Abdiel long time kupitia mzee lakini bibie alikua hajui alidanganywa akawa anaona mambo yanaenda hela zinaingia akadhani mzee Mengi ndio kila kitu IPP so akifariki yeye kyln atakua mwenyekiti wa IPP apate zaidi, kumbe company zimeshikiliwa na wale watoto wakubwa zamani sana

All in all wale watoto wakubwa wana roho za kipekee, wanaendelea kulipa school fees IST za wale mapacha wawili almost usd 90,000 kwa mwaka ningekua mimi mtoto wa Mengi mwanamke Jeuri vile ningemkomoa na show off zake za kutaka International School of Tanganyika ningesema waamishwe waende hata Feza kwa Sababu we cant afford πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…