Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Shida ni ujuaji mwingi wa jacky,hao watoto wasome ist mana ni damu ya kina regina na abdiel.
Huyo mama yao hana mda mrefu ataanza kurudia nguo zake za zamani alizosahau kuvaa,maisha ni funzo kubwa ukijifanya mjuaji hufiki mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bushlawyer wa magomeni nakusalimu swalamaaa,humu jf tunavyokujua ulivyo mjinga na mweupe kichwani tulikudharau na kauli zako hivi.
Mwambie chasaka mali za marehemu hazina wosia wa bushlawyer wa migomigo mshauri mkate rufaa mahakama za kimataifa[emoji16][emoji16][emoji16]
Nyie mnapoteza muda hamto lamba chochote kabisa ! Lets wait nawahakikishia hamtoshida hii case

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi.
Kuna mtu aliniambia wamekua na kina Mutie na Regina upanga.
Walikuwa family friends na majirani.
Ile muda wa watoto hao kwenda kucheza Mutie anafungiwa ndani na baba yake ili ajaze wino peni zile za BIC.
Watoto walitafuta hizo mali na baba zao tangu udogo, hawakuenjoy utoto wao walikuwa busy kujaza pen.

Fikiria unatoka shule ndani kiwandani kujaza wino kwa kutumia syringe pen za BIC ili zikasambazwe.

Ukitoka kiwandani hoi ni kulala na shule tena, hiyo ndo daily routine ya maisha ya hao watoto walivyokuwa wadogo.


Kwa hili hata Mungu anaona yupo sambamba na kina Regina na Abdiel na watashinda tu.
Watoto mapacha watapewa matunzo na ndugu zao.

Kwani nani Kampangia? Huyo aliyeandika Wosia akajipangia % ndiyo kachemka..
Na wewe unaushahidi gani kama hizo mali alitafuta Mengi mwenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Js imagine
Afu mtu anakuja leo kwenye famila yenu anasema mshapata share ya mama ya baba hapana🤦🏼‍♀️
 

Huwa napata shida sana kuamini kama huyu Jamaa ni “Learned Brother” Honestly anaekwenda kwake kutafuta msaada wa Kisheria atakuwa na matatizo kichwani! Hili la Jack hata sie tusiokuwa wanasheria tuliliona mapema! But ujuaji wa huyu Bush Lawyer ulikuwa unachekesha sana kwenye comments zake! Ngoja aje uone pumba zake
 
 
 
hii kesi ina mvuto sana kutokana majina ya wahusika nadhani ikitokea gazeti likawa linatoa muendelezo wa hii kesi litauza sana
ila nimekua nukijiuliza mbona kesi nyingine kama mauaji ya msuya yamekua yakirushwa kwenye vyombo vya habari ila sio hii kesi, sio tu itv ata vyombo vingine au wahusika wanaweza wakazuia isitangazwe?
 

Wenye ITV ndio wenye kesi.. nazani wamezuia isitangazwe .. na pia wanajuana na wenye media wenzao.. nazani wamewaomba wasitangaze
 
kitu nilichogundua baada ya kusoma hii habari na kusoma ruling ya mahakama ni 1. Watu wachache sana ambao hawapendi watoto wa kishua ndo wanaosupport huyo dada,yaani wanaona dada huko sawa kupokea Mali zote za marehemu kuliko watoto maaana wanatamaa na maisha ya kina Abdiel na Regina, baba kawajengea msingi na aaache kampuni kede kede ilhali wakiangalia maisha yao hawana kitu kwahiyo kwa macho yao wanaona Jacki yuko sawa kupokea Mali za Mzee zote maana wakina Regina washafaidi vya kutosha. 2. ni mtu mwenye roho ya kimaskini tu ataekusupport baba kuacha Mali zake zote kwa mke mdogo na watoto kutopata kitu.

Tuanze hapo, kwanini watu wana roho za chuki hivi kushangilia watoto wa mengi kutoachiwa urithi sababu ni moja tu. HAMNA MTU ANAMPENDA MTOTO WA KISHUA. Klyinn kawa kama heri sababu ni mdada mrembo ambae yupo famous kila mtu anataka kunywa nae chai lakini watoto wa kishua hawana mda na mtu wao ni wao na biashara yao. hawaoni club wala Instagram wala huwaoni popote, anga zao mbali na zako kyliin ni celeb anajipenyeza huku na kule kupata videal vya hapa na pale kwahiyo social sympathy kwake inafanya kazi sababu huyo tu, she is a celeb.

3. Mahakama haina upendeleo wa namna hii, hanna will inayoandikwa nusu nusu, nadhani ndo mana imekataliwa na mahakama, nimesoma vizuri ruling kwamba wosia ukiandikwa ambao unamuumiza mtu flani haufatwi, wosia umeawaumiza ndugu na watoto hivyo wamesema hauwezi tumia kama ushahidi wa mgao wa Mali.

4. Kama upo hapa unamtetea Klyinn kwamba Baba na mama walitengana mama akapewa asilimia 50 yake ambayo inajumuisha na watoto, kumbuka sio Mali za mama zote zinaenda kwa watoto, yule mama alikuwa na familia pia na wao wamegawana Mali za yule mama na sio automatic yeye Mali zake kagawa zote kwa watoto...pia haiwezekani babaa.

kutowaachia kitu watoto wake, hapo ndipo uonevu ulipo na ndio mana jaji ametupilia mbali, hauwezi wewe baba yako akafa kisa walitengana na mama yako akakuambia mali nilimpa mama yako tulivotengana...hizo zilikuwa mali zake halali yule mama maaana alisaidia kufungua hizo kampuni zote.. ilipaswa iwe hivi share zipo 100, 50 za mama, 50 za baba...mama katika share zake 25 kawapa watoto...baba katika share zake 25 kawapa watoto ...maisha yaendelee...ndio maaana uhalisia ya mirathi..kama umeoa tena usitegemee mali ulizochuma na watoto wako na mke wa kwanza umgawie mke mpya na watoto wake halafu ukategemea kutakuwa na amani. Ndio mana wenzetu waislamu wanafanya hivi, akioa wake wawili kila mke ana nyumba yake, biashara yake..hawaingiliani kabisa

nimekaa na Waze wangu wahaya na wote wanamsema vibaya huyo dada kwamba anawaaaibisha, vijana wenzangu, Mali hazipatikani kirahisi hivyo kwamba unaolewa na kibabu tajiri anakufa anakuachia kila kitu, msimuidolize huyu dada na mwisho wake hautakuwa mzuri maaana hamna mtu alie na mamlaka wanaosupport huo ujinga anaofanya. sisemi asipate kitu la hasha, ila Mali agawane na watoto wakubwa asitake kuwadhulumu, kaa ukijua serikali inamuangalia tu na hamna anaefurahishwa nae, sasa wewe endelea kussupport huo uchuro in public ndugu yangu, utajua haujui
 
JACQULINE MENGI Alivyomkumbuka MUMEWE Leo, Aandika Maneno Mazito!
Here Check the Link below to view this amazing video 🙂
CLICK HERE 👈

 
Na katika hizo Asllimia 1% kuna kugawanywa ujue[emoji2] among Four kids wa mzee [emoji2]



Sent using Jamii Forums mobile app

Hata wagawanaje bado bilioni kazaa hakosi.. na ukiwa na bilioni wewe unaingia katika mabilionea.. ha ha ha

Mengi ana mpunga wa kutosha.. k lyn kalamba dume..

Kumbuka bilioni moja ni sawa na milioni 1 ziwe 1000.. yaani ukisema kila siku utumie laki moja itakuchukua miaka karibu 30 ndio bilioni moja iishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…