Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Matatizo hapo katikati tamaa ataingia. Utatamani kwenda Dubai shopping ile budget ya laki kwa siku utakua umeivuruga
 
Huyu dada ni tamaa zinamponza. Angetulia tu wale Wachaga wasingemuacha, kwanza welfare ya wale watoto ingemtosha kuishi mbali na hapo wangemkumbuka kwa muda aliikua anamfulia na kumpigia pasi baba yao.
 
Haaaahaa ila huyu manzi ni imbecile...yaani anaonyesha kabisa kuwa anatamaa ya Mali
 
Hahaaaa
 
naona upande wa pili wanakimbiza mwizi kimya kimya mwisho wa siku mwizi anaanza kupiga kelele kuomba msaada
Hahaa jamaa ni silent killers kama ninja assassin ...hawaongei..mpaka adui anaita press....kesi Ipo mahakamani kwanini asiichie mamlaka ifanye kazi yake...masikini kupenda penda papuchi kumemfanya mengi asababishe majanga katika family
 
Haaha hiyo para ya mwisho nimecheka..inategemea na akili ya ntu na ntu
 
haahaa jf raha sana
 
Bushlawyer ni mweupe sana kichwani,nadhani labda ccm ndio wanamtumia kwenye kumshauri polepole na kumuandikia hotuba bashiru[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C&P



JACQUELINE MENGI AGONGA MWAMBA MALI ZA MAREHEMU MENGI:

Mahakama imetupilia mbali kesi ya Jacqueline Mengi aliyokuwa amefungua dhidi ya watoto wa marehemu Mengi kutokumiliki mali za marehemu baba yao.

Sasa watoto wana haki na mali za baba yao mwanzo jack alikua kawawekea vipangamizi hakuna kushika Mali wala kufanya kazi kwenye kampuni za Baba yao. Huku mwanamke huyo akidai kuwa Marehemu Mengi alimmilikisha majengo yote yakiwemo nyumba zote za kuishi na zile za biashara.

Hii ni sehemu ya mahojiano ya jacq na Mahakama:

Mahakama ; Jacky Unaushahidi wowote ( Evidence ) mzee kakuachia Urithi Nyumba zote za familia na za biashara Ni zako ?? .
.
Jacky ; Mzee aliniambia Alivoachana na Partner wake ( X mke wake ) kila mtu alianza Mahusiano Mapya na waligawana Mali , Ambazo Mali hizo za Mkewe zimeachiwa watoto wakubwa !!!! .
.
Mahakama : Unaushahidi wowote wa hayo Maneno Mzee aliyokuambia .
.
.
Jacky ; Hapana ila hata Doctor ****** Aliniambia , na Mzee alipopata stroke alisema Mojengo yote nichukue mimi .
.
.
Mahakama ; Katika Maisha yako na Mengi , Ulishawahi kuona divorce Document za Mengi na Mkewe ?? .
.
Jacky ; Hapana ila mimi ndo mke halali na aliye hai wa Mzee Mengi .
.
.
Mahakama : So hauna Uhakika kama Mengi na Mkewe walifanya Official divorce , au walitengana tu ! .
Jacky , Mengi aliniambia waliachana 10 yrs Ago . .
.
.

Jacky ; siwezi kukubali Maneno aliyoniambia Marehemu Mume wangu , Yatenguliwe na hao ndugu waliopata Mgao kwa mke mkubwa na wako na shares kwenye makampuni .
.
.
Mahakama , Katika maneno Aliyokwambia Mumeo , Unaushahidi wa Sauti au Maandishi ??? .
.
Jacky : Ninaushahidi wa Mirathi .
.
Mahakama ; Ushahidi wa Mirathi ulipigwa stamp ya notary republic Marehemu akiwa Hai ????? .
.
Jacky ; Hapana .
.
Mahakama , Kwanini Uliachia Mirathi public huku case Iko Mahakamani .
.
Jacky ; nilitaka watanzania waujue Undani ili hata nikiuwawa watoto wangu wasaidiwe .
.
.
Mahakama , Ulishapewa tishio lolote na familia au wamekupa sababu ya kuhisi hauko salama ? .
.
.

Jacky ; Hapana but ni mambo , Ukiwa Mama lazima Uyaangalie kwa Upana , sababu Chokochoko zilianzia Dubai , wakidai nimemuua Marehemu mume wangu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kuulizwa endapo kama amewahi kuona document za divorce kati ya mengi na mkewe akajibu hapana kisha nikiunganisha dots kwanini walienda kufunga nje napata ukakasi. Yaan awe makini sana asiojikute looser totally. Usikute hawakupeana talaka bali walitengana tuu. Mbeleni tutajua mengi aisee.
Umalaya mbaya sana hasa ukiwa na tamaa ya mali za watu. Eti niliutoa in case nikiuwawa wanangu wasaidiwe[emoji23][emoji23][emoji119]
Yaan anajitetea kitoto kwa hearsay.

Halaf yule bush lawyer sijui ruta nini huko yuko wapi. Ama ndo yuko semister ya kwanza chuo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Huyu dada anasikitisha soon ataanza kuokota makopo mpaka sasa ameshakua chizi fresh
 
Hawezi kujibu hivi maana kila jibu atakuwa anajitega sana "walisema nimemuua ndugu yao" kina nani na ushahidi uko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tupe ushahidi wa Mengi kuachana na Mke wake wa kwanza.

Jack atapewa urithi lakini unaolingana na mchango wake katika utajiri wa Mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…