Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
naona upande wa pili wanakimbiza mwizi kimya kimya mwisho wa siku mwizi anaanza kupiga kelele kuomba msaada
Umesema yote Mkuu [emoji419][emoji419]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona upande wa pili wanakimbiza mwizi kimya kimya mwisho wa siku mwizi anaanza kupiga kelele kuomba msaada
Katika haya mahojiano sijaona point ya msingi kutoka kwa huyo bint, yaaan anaegemea kwa watoto, nmeachwa hoi hapo anaposema hata wanagombana kisa Mali utadhan nyumba 1 kana kwamba watagawa katikati kumbe zipo Mali za kutosha tyuuh, eti wanamkamshifu mumewe na hakuna wa kumtetea Ila ni yey yaan aibu naona mieeeeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lol hapan chezea pesa weyeeeeeeeh Damon uwiiiiiiiiih
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Jack ana strategic plan kuhusu biashara? Unaota mkuu.Jack hatawesa kuwa bilionea..kwasabbu deep inside anajua sio mkweli..hkunaga..hela inataka usafi wa rohomkuu...huyo ataishia level hizo hizo...kwa ubilionea nakataa! Hana akili hizo..umekaa na mume 9yrs unakuja kufanya biashara za furniture?? Khaa
Halafu kuna mahali anasema hajawahi kuongelea hayo masuala na mume wake,kuna mahali tena anasema mume wake alisema ana watt4 ,lkn share yake ni ya watt wadogo tu!
Fala kweli huyu,anafikiri hao wakina Regina na baba yao mdogo wajinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kuupinga wosia ndio kesi ilipo. Hasa ikiwa kuna kila ushahidi kwamba uliandikwa na marehem enzi za uhai wake.
Point of correction, hao ndugu hawajawahi kumuomba suluhu yoyote huyo dada tena hawatakagi hata stori nae wanakutana mahakamani tu, ni jamaa na marafiki wa pembeni wa mengi ndo wanamwambia jack akae na ndugu wa mengi wayamalize. Pili, kama hao ndugu imekula kwao iweje huyo jack ambae haijala kwake na anauhakika wa kushinda ndo anahangaika kubwabwaja mitandaoni kutafuta huruma za wananchi lakini hao ambao imekula kwao wako calm?
Wosia huwa unatenguliwa wala sio jambo geni,unaandikwa na Muhusika na bado unapingwa na kutenguliwa,nimeshuhudia zaidia ya Kesi tatu wosia ukitenguliwa na Mali kugawanywa upya chini ya usimamizi wq Mahakama!
Yani niliwahi mkomesha mtu na hii hali!
Ile unajua kabisa kuwa anahaha, anapest, anaumia, watu wanacomment!
wakija kwenye page yako umepost kilimo cha matikiti!
ooooh sijui nini sijui nini!
unapost kuhamasisha mBio za Mwenge
Unajua ilibidi wanifuate watu, usifanye hivo huyu mtu atakufa!
Nawaambia kwani kuna nini?
Huyu naye aache kuomba huruma ya jamii
Ajitafakari wapi alikosea akatubu maisha yaendelee
Mama Regina alikuwa Mke zaidi aache kujimwambafai buwaaaana kha!
Huyu Dada namuwazia leo hii aambiwe mfano;Huyu naye aache kuomba huruma ya jamii
Ajitafakari wapi alikosea akatubu maisha yaendelee
Mama Regina alikuwa Mke zaidi aache kujimwambafai buwaaaana kha!
Yaaan Zari angekuwa na mengi hapana aseeeeeeh nadhan leo angekuwa huko Paris anakula life yuuuuuuh hapan chezea Boss Lady.uuuuwi zari ndo angekuwa mke wa mengi aisee sitaki kupata picha, angeteneza empire ya kufa mtu
..😂😂 Lazima uvurugwe!!!Hakuna Vita mbaya Yani wewe unapost mitandaoni weee... Unafanyiwa interview Kama zote halafu upande wa Pili wako kimya Kama maji kwenye mtungi utatamani ujiue ...
Yaaaani comedy alioitoa Leo Jack hapana aseeeeeeh funga kazi haswaaaaaaaaaah, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba yeye anaumia Mengi kukasgifiwa kuliko Regina na Abdiel ? Nacheka kama mazuri aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]