Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Katika haya mahojiano sijaona point ya msingi kutoka kwa huyo bint, yaaan anaegemea kwa watoto, nmeachwa hoi hapo anaposema hata wanagombana kisa Mali utadhan nyumba 1 kana kwamba watagawa katikati kumbe zipo Mali za kutosha tyuuh, eti wanamkamshifu mumewe na hakuna wa kumtetea Ila ni yey yaan aibu naona mieeeeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lol hapan chezea pesa weyeeeeeeeh Damon uwiiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba yeye anaumia Mengi kukasgifiwa kuliko Regina na Abdiel ? Nacheka kama mazuri aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bufa,
Unaongelea scenarios za Ulaya na USA hapa Tz? Ulishaona wapi hapa Tanzania mbwa akaachiwa Urithi na ikawa hivyo? Ukiona mtu anapiga yowe kwenye mitandao wakati wenzie wako kimya ujue maji yako shingoni! Kwamba kwakuwa watoto wakubwa walipewa shares za Mama yao basi hawana haki ya shares za Baba yao,hapo ndipo penye mtihani,kama unazijua vizuri sheria za mirathi za Tanzania! Yeye apunguze tamaa,haki yake na watoto wake atapata lkn sio kama anavyowish yeye.
 
Yaani Jack ana strategic plan kuhusu biashara? Unaota mkuu.Jack hatawesa kuwa bilionea..kwasabbu deep inside anajua sio mkweli..hkunaga..hela inataka usafi wa rohomkuu...huyo ataishia level hizo hizo...kwa ubilionea nakataa! Hana akili hizo..umekaa na mume 9yrs unakuja kufanya biashara za furniture?? Khaa

Umeongea yote,alishindwa kujenga “Business Empire” enzi hizo Mzee akiwa Hai aje ajenge leo hii? Hizo mali anazogomeba zimetafutwa na hao hao Burnaboy anaotaka kutuaminisha wanazidiwa akili na Jack, angekuwa smart kwa sasa angekuwa amesimama na Business zake za nguvu mbali ya huo wosia!
 
Halafu kuna mahali anasema hajawahi kuongelea hayo masuala na mume wake,kuna mahali tena anasema mume wake alisema ana watt4 ,lkn share yake ni ya watt wadogo tu!
Fala kweli huyu,anafikiri hao wakina Regina na baba yao mdogo wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Elimu ndugu ndiyo tatizo,eti huyu ndio ake ashindane na kina Regina
 
Hapo kwenye kuupinga wosia ndio kesi ilipo. Hasa ikiwa kuna kila ushahidi kwamba uliandikwa na marehem enzi za uhai wake.

Wosia huwa unatenguliwa wala sio jambo geni,unaandikwa na Muhusika na bado unapingwa na kutenguliwa,nimeshuhudia zaidia ya Kesi tatu wosia ukitenguliwa na Mali kugawanywa upya chini ya usimamizi wq Mahakama!
 
Point of correction, hao ndugu hawajawahi kumuomba suluhu yoyote huyo dada tena hawatakagi hata stori nae wanakutana mahakamani tu, ni jamaa na marafiki wa pembeni wa mengi ndo wanamwambia jack akae na ndugu wa mengi wayamalize. Pili, kama hao ndugu imekula kwao iweje huyo jack ambae haijala kwake na anauhakika wa kushinda ndo anahangaika kubwabwaja mitandaoni kutafuta huruma za wananchi lakini hao ambao imekula kwao wako calm?

[emoji106][emoji106][emoji419][emoji419]
 
Wosia huwa unatenguliwa wala sio jambo geni,unaandikwa na Muhusika na bado unapingwa na kutenguliwa,nimeshuhudia zaidia ya Kesi tatu wosia ukitenguliwa na Mali kugawanywa upya chini ya usimamizi wq Mahakama!

Hii ni elimu mpya kabisa kwangu. Shukrani sana.

Inamaana nnaweza kuandika na kutoa maelekezo yote kuhusu mgao wa mali zangu siku nikitwaliwa na bado mambo yakafanyika ndivyo sivyo?

Unaweza kuweka japo kwa uchache tu vitu gani vinaweza kupelekea wosia kutenguliwa?
 
Yani niliwahi mkomesha mtu na hii hali!
Ile unajua kabisa kuwa anahaha, anapest, anaumia, watu wanacomment!
wakija kwenye page yako umepost kilimo cha matikiti!
ooooh sijui nini sijui nini!
unapost kuhamasisha mBio za Mwenge
Unajua ilibidi wanifuate watu, usifanye hivo huyu mtu atakufa!
Nawaambia kwani kuna nini?

Same here,nilishawahi komesha mtu kwa ukimya wangu huku nikifanya yangu taratibu akahaha IG kwa mwaka mzima,by the time anakuja stuka alichokuwa anahangaikia kikapepea na akaja kugundua am on the next level kiuchumi,sasa hivi kageuka kuwa “Motivationala Speaker” kwenye page yake,kafuta kila kitu kabakiza quotes za kutosha kutoka Google na Bible tena ni Dada wa mjini wa enzi hizo[emoji3][emoji3]
 
Huyu naye aache kuomba huruma ya jamii
Ajitafakari wapi alikosea akatubu maisha yaendelee
Mama Regina alikuwa Mke zaidi aache kujimwambafai buwaaaana kha!
Huyu Dada namuwazia leo hii aambiwe mfano;
Yeye ndo angetangulia kaburini afu Mengi apate mwenza mwingine na mtoto say mmoja

je ni haki mapacha wake kurithi mali za Amorette Furniture tu?.wachukue share za kampuni za Jacky tuuu...share za baba ao waziache kwa yule mtoto mdogo mmoja??
Uone atakavoruka kimanga!!
Mkuki kwa nguruwe

watoto wakubwa wanadeserve mali ya baba yao
Huwezi sema leo eti kisa walichukua vya mama basiii..aanze yeye awagaiwe wanae vyake afu vya baba aache pembeni aone kama ni haki
 
Hakuna Vita mbaya Yani wewe unapost mitandaoni weee... Unafanyiwa interview Kama zote halafu upande wa Pili wako kimya Kama maji kwenye mtungi utatamani ujiue ...
..😂😂 Lazima uvurugwe!!!
 
Mnaosema huyo mzee alijivunjia heshima kutoka na Jackie angetoka na mwanamke wa umri gani ambae angeweza kuzaa miaka 60?55?45?em jifikirieni yeye mwenyewe ni dhahiri alitaka watoto maana hakuona tumaini kwenye kizazi chake.Hivyo mlaumuni huyo mzee na siyo huyo binti
 
Back
Top Bottom