Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Sasa kazi ya mirathi ni nini na kwa nini watu wanashauriwa kuandika mirathi mapema.

Kama mali lazima zigawashwe kwa watoto wote evenly kwanini ndugu huwa wanagombania kama that's a known fact.

Pengine na mimi nanze kwa kukuuliza swali,Ni kwanini kuna ruhusa ya kupinga Wosia kisheria Mahakamani?

Pana vigezo vinavyopaswa kufuatwa unapoandika Wosia/Mirathi! Sio swala tu la kuandika! Hapa kinachoangaliwa ni kama vigezo vyote vilifuatwa ktk kuandaa huo Wosia! Ndio maana tunaandaa Wosia chini ya ushauri wa Wanasheria ili kukidhi hivyo vigezo!

Hawa Wanasheria walioandaa huo Wosia walifanya mambo kihuni na am sure they knew it was a matter of time but hawakujali kwakuwa tu wao walilipwa!
 
Hennah,
Mi sisemi Jacky kwa sababu ni mwanamke uovu wowote lazima ukemewe whether umefanywa na mwanamke or mwanaume ndio maana nikasema huyo babu kama alitaka generations yake iwe nzuri angetafuta mwanamke decent.

Halafu si wananwake wote wanadanga wako wanawake ni wachakarikaji hawategemei mwanaume. Jamii yetu inalea mabinti vibaya sana kuwa tegemezi na ndio maana hatuendelei maana mama ndio msingi wa jamii yoyote ile.
 
Pengine na mimi nanze kwa kukuuliza swali,Ni kwanini kuna ruhusa ya kupinga Wosia kisheria Mahakamani?

Pana vigezo vinavyopaswa kufuatwa unapoandika Wosia/Mirathi! Sio swala tu la kuandika! Hapa kinachoangaliwa ni kama vigezo vyote vilifuatwa ktk kuandaa huo Wosia! Ndio maana tunaandaa Wosia chini ya ushauri wa Wanasheria ili kukidhi hivyo vigezo! Hawa Wanasheria walioandaa huo Wosia walifanya mambo kihuni na am sure they knew it was a matter of time but hawakujali kwakuwa tu wao walilipwa!
Exactly...kweli kungekuwa hakuna kipengele cha kupinga wosia...kama kusingekuwa na taratibu zinazopaswa kuzingatiwa katika kuandika wosia...

Ukiiangalia kwa jicho la 3, huyu KLYN na genge lake la wanasheria uchwara, watakuwa wao ndiyo waliyohusika, WOSIA ULE UKA LEAK MITANDAONI, ili tu aionyeshe jamii mjane anataka kudhulumiwa mali na ndugu za mume...

Ndiyo maana ghafla kukawa na tukio la kwenye runinga KLYN akila chakula cha pamoja na wajane...

Strategies zake ovyo, arudi tena kwenye drawing board, zinafeli vibaya sana..

Everyday is Saturday...................... 😎
 
Wanawake wakichaga mnajifanyaga wababe kwa wanaume wa makabila mengine waliowaoa kwa kuwaua wakiwa na mali mnajiita mapalestina. Kibao kimewageukia sasa tena kwa Tajiri yenu mkubwa chezea karma acheni mnyooshwe mmedhulumu sana waume wa makabila mengine na wengi wanawake mnaolialia humu jamvini ni wachaga acha Jaq awaanyooshe
Aiseee kwani mkuu we kabilla gani?[emoji23][emoji23]
 
Huu uzi unahitimisha ule msemo kuwa "Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie ".Ladies Jacky sio level zenu hata kesi iendeje maana hela zinazozungumziwa humu sio hela za chai na maandazi au vitumbua.

kudanga ni simple kadangeni kwa matajiri muolewe mzae na nyie tuwadiscuss humu.Jacky ni combination ya mwanamke mzuri mwenye akili na mjanja sema pia naye anamapungufu yake lkn hata na hivyo hayatoi vigezo tajwa.

Mwanamke wa watu hakuwa na show off kabisa maana ingekuwa wengine tungewakoma hapa town. Lady be happy with what you got unayemuonea wivu hujui hata robo ya machungu yake
 
Hata Mahakama ikigawa mali upya huyu jackie na wanawe wanaishia kuwa ma bilionea. Na believe it or not palipo uhai, by the time mapacha wake wanafika umri sawa na watoto wakubwa wa mengi huyu jackie atakuwa amejenga business empire kubwa kuliko mali yote aliyoiacha mengi!!!

Huyu dem ni strategist na ana akili ya biashara kuliko wale watoto wakubwa wa mengi. Kwa kifupi zikiibuka business empire mbili tofauti, ya huyu itakuwa zaidi kuliko ya familia ya mke wa kwanza!!!
Kama ni strategist mbona hakua tajiri kabla hajaolewa
 
Bambushka,
Plan ya kijinga sana alifanya! Kukosa Elimu ndio tatizo kubwa,yeye ujuaji wake wa kuruka ruka huku na kule alidhani ata wa outsmart kina Regina!

Unaweza kuona tofauti kati yao,wao wako kimya wanadeal na mambo yao kisheria,yeye anakuja ruka ruka kwa kina Millard na Interviews ambazo ndio zinazidi kuthibitisha uhuni wake!

Nilicheka sana alivyosema eti kwakuwa hawa Wakubwa walirithi kwa Mama yao basi hawa Wadogo watarithi kwa Baba yao na Biashara alizoanzisha akiwa nae zitakuwa zake na watoto wadogo!

Haya sasa Regina ndio Chairman wa IPP kwa sasa tena kwa ruhusa ya Mahakama, kaona Mahakama imeruhusu kakimbilia mitamdaoni,yeye asubiri haki yake atapata tu lkn siyo kama alivyotaka kuleta uhuni kumiliki kila kitu
 
Na hapo ndio anafail vibaya sana! Kukosa Elimu napo ni kazi sana! Huku mitandaoni anataka kumbebesha lawama Shemeji yake wakati uhalisia anaujua fika kuwa anapambana na Regina na Abdiel! Hathubutu kuwagusa hao maana anajua moto wake! Btw si alitoa tangazo watu wasiguse mali za Mengi,mbona leo anakiri tena kuwa Regina ndio anacontrol kila kitu kilichoachwa! Wazazi tusomeshe watoto wetu hasa wa Kike! Shida ya kukosa Elimu hapa inaonekana!
No amechoose her battles very wisely!
akisema anapambana na shemeji, issue itakuwa ni NDUGU WA MUME WANAMPORA MALI MJANE!
akisema anapambana na kina Regina na Abdiel,issue itakuwa MAMA WA KAMBO ANAZUIA WATOTO WA MAREHEMU KURITHI MALI YA BABA YAO.

yuko na akili kidogo!
 
Haaahhhaah daaa huyu dada hii ramani kaichora vilivyo.
 
Nimesoma COMMENT ZA watu...ila sisi binadamu tunaroho za KUTU TENA KUTU HASWAAAA ,BI dada hakuwa side chick hilo lieleweke ,Bi dada hakumtongoza MENGI hilo pia lieleweke HAWA WALIKUWA WANANDOA.

Tunasahau kuwa Bi dada anawatoto na MENGI HIVYO IMEKUWA KWETU KUAMINI TU KUWA BI DADA AMEAMUA KUDHULUMU HAKI YA WATOTO WAKE KUTOKUENDELEA KUMUONA BABA YAO (tunaamini rahisi rahisi na tunatoa hukumu rahisi rahisi) kama MENGI ALIANDIKA WOSIA NA KAMA KILA MTU ALIPATA HAKI YAKE NA IKUMBUKWE MENGI ALISHATARAKIANA NA MKE WA KWANZA (maana yake baada ya TALAKA mali iligawanywa mlidhani Mengi ataacha kumlinda huyu BI DADA NA WATOTO WAKE MAPACHA) Hembu tufike hatua tuache kuleta hisia za kusema alimuua MENGI mara alifuata Mali kama alifuata Mali alijitongozesha?

je Mengi alimtongoza Bi dada akiwa mgonjwa? MAMBO YA MAHUSIANO TUYAACHE HATUJUI MENGI ALIPITIA NINI KWA MKE WAKE WA KWANZA NA KWA NINI ALIMFUATA HUYU MREMBO mambo mengine ni siri yake marehemu.TUSIWE WEPESI WA KUHUKUMU
 
Hakuna aliyehumu bali mdomo wake unamponza wajane wangapi hawana drama wanaenda pigania haki zao mahakamani?

Kwanini anataka mali zote za Mengi ziwe zake wakati huo huo kuna watoto wakubwa wa Mengi.

Kama unamuonea huruma usiwe mwepesi wa kutype tu bali jitokeze pia mahakamani kumpa sapoti kubwa ili ashinde kesi yake

Masuala ya familia yake hayatuhusu ila mwenyewe hapo juu kafunguka mpaka basi so katupa ruhusa ya kuongea tukitakacho maana vingine tulikua hatuvifahamu.
assa von micky,
 
No amechoose her battles very wisely!
akisema anapambana na shemeji, issue itakuwa ni NDUGU WA MUME WANAMPORA MALI MJANE!
akisema anapambana na kina Regina na Abdiel,issue itakuwa MAMA WA KAMBO ANAZUIA WATOTO WA MAREHEMU KURITHI MALI YA BABA YAO.

yuko na akili kidogo!

But Msingi wa kesi ndio muhimu hapa,unadhani Benjamin anapinga wosia ili arithi yeye Mali au anapinga wosia ili watoto wote wa Marehemu na Mjane wapate haki kila mmoja kwa mujibu wa Sheria ya Mirathi?
 
watu wanaomponda jack ni wivu tu unawasumbua, mengi kaamua kuacha urithi kwa watu wake anaowapenda, sasa nyie kinachowakera ni nini? " bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi" , kama wewe umeolewa na masikini subiri kurithi masufuria na vijiko. jack na watoto wake wana haki kisheria ya kurithi vyote walivyoachiwa na mengi, ukweli sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote TANZANIA ! ISABELA DOS SANTOS wa bongo ! hongera jack kwa kuzichanga karata zako vyema! ,
 
Bufa, hii mambo ya kama ....justice must be seen to be done...tusubiri mahakama iamue sababu huyo ndugu wa mengi hawezikurupuka kama chizi aweke pingamiz mahakaman bila kupata ushauri wa mawakili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii mambo ya kama ....justice must be seen to be done...tusubiri mahakama iamue sababu huyo ndugu wa mengi hawezikurupuka kama chizi aweke pingamiz mahakaman bila kupata ushauri wa mawakili..

Sent using Jamii Forums mobile app

Na vivyo hivyo Mengi mtu aliyejenga makampuni kadhaa hakuweza kukurupuka kuandika wosia bila kuzingatia parameters za sheria. Tusubiri
 
Sasa mbona wanataka wakayamalize? Si walifungua case wenyewe?

Narudia tena Kaka yake Mengi hatoweza shinda hii case labda wamtafute na wambembeleze Jack lakini kinyume na hapo waula wa chuya

Eti kwa nini walitaka kuyamaliza , Hiyo familia ni watu wasiopenda migogoro na media , kwa kwa kifupi hawapendi publicity na kuwekwa kwenye midomo ya watu ndio maana waliona wakae chini wayamalize kifamilia kwanza ili wampe anachostaili,Lakini sio kwa Sababu wameona case watashindwa , kuna case gani hapo bi shosti wako anaungukia pua kweupe na utashangaa
 
Pengine na mimi nanze kwa kukuuliza swali,Ni kwanini kuna ruhusa ya kupinga Wosia kisheria Mahakamani?

Pana vigezo vinavyopaswa kufuatwa unapoandika Wosia/Mirathi! Sio swala tu la kuandika! Hapa kinachoangaliwa ni kama vigezo vyote vilifuatwa ktk kuandaa huo Wosia! Ndio maana tunaandaa Wosia chini ya ushauri wa Wanasheria ili kukidhi hivyo vigezo! Hawa Wanasheria walioandaa huo Wosia walifanya mambo kihuni na am sure they knew it was a matter of time but hawakujali kwakuwa tu wao walilipwa!

Anaongelewa Mengi hapa mtu aliyejenga makampuni kadhaa hivyo mambo ya sheria sio mageni kwake sidhani kama aliandika wosia blindly bila kuzingatia parameters za sheria.
 
KUna watu wanchuki humu,
Ila nimethibisha, HAKUNA VIUMBE HAWAPENDANI KAMA WANAWAKE.

Hivi unaanzaje kupingana na wosia? tena uliandikwa kwa mwasheria na kuhifadhiwa huko ?
 
Pengine na mimi nanze kwa kukuuliza swali,Ni kwanini kuna ruhusa ya kupinga Wosia kisheria Mahakamani?

Pana vigezo vinavyopaswa kufuatwa unapoandika Wosia/Mirathi! Sio swala tu la kuandika! Hapa kinachoangaliwa ni kama vigezo vyote vilifuatwa ktk kuandaa huo Wosia! Ndio maana tunaandaa Wosia chini ya ushauri wa Wanasheria ili kukidhi hivyo vigezo!

Hawa Wanasheria walioandaa huo Wosia walifanya mambo kihuni na am sure they knew it was a matter of time but hawakujali kwakuwa tu wao walilipwa!

Nijuavyo wosia uliandikwa chini ya Wanasheria wake.
sasa sioni lop hole iko wapi hapo.
 
Back
Top Bottom