Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Sasa kazi ya mirathi ni nini na kwa nini watu wanashauriwa kuandika mirathi mapema.
Kama mali lazima zigawashwe kwa watoto wote evenly kwanini ndugu huwa wanagombania kama that's a known fact.
Pengine na mimi nanze kwa kukuuliza swali,Ni kwanini kuna ruhusa ya kupinga Wosia kisheria Mahakamani?
Pana vigezo vinavyopaswa kufuatwa unapoandika Wosia/Mirathi! Sio swala tu la kuandika! Hapa kinachoangaliwa ni kama vigezo vyote vilifuatwa ktk kuandaa huo Wosia! Ndio maana tunaandaa Wosia chini ya ushauri wa Wanasheria ili kukidhi hivyo vigezo!
Hawa Wanasheria walioandaa huo Wosia walifanya mambo kihuni na am sure they knew it was a matter of time but hawakujali kwakuwa tu wao walilipwa!