Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Wanawake wanatamani sana jacky arudi chini kabisa aanze kudanga kama bongo movie
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
alipo fika yule basi tena kurudi chini hivyo sio zoezi rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahhaaahhh wanahisi
watu wanaomponda jack ni wivu tu unawasumbua, mengi kaamua kuacha urithi kwa watu wake anaowapenda, sasa nyie kinachowakera ni nini? " bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi" , kama wewe umeolewa na masikini subiri kurithi masufuria na vijiko. jack na watoto wake wana haki kisheria ya kurithi vyote walivyoachiwa na mengi, ukweli sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote TANZANIA ! ISABELA DOS SANTOS wa bongo ! hongera jack kwa kuzichanga karata zako vyema! ,
😂😂😂😂😂😂"hapo kwenye urithi wa masufuria na vijiko"nimecheka sana
 
Huyu Dada Unaambiwa kwa Muonekano wa Nje unaweza kudhani Malaika.. Wanaomfahamu Wanakwambia ni Mafia hakuna.

Unakumbuka kile kipindi Alienda Kubatiza Watoto Machame? Na Mama Mercy alikuwepo kipindi hicho.Unaambiwa mambo aliyoyafanya Huko hayaelezeki.

Wazee wa Kichagga wakawa Wanaongelea Pembeni tu.. Ila Kumshauri mzee Mengi wakawa Hawawezi kwani yeye ndiyo kashika kwenye Mpini.

Na Haya anayoyapitia Sasa ni Ile Wanaita "KARMA"Hana namna hicho kikombe lazima akinywee tu. Maana hata Kina Regina walikosa Upendo wa Baba yao Punde tu baada ya Jack kuanza kuwa na Mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tupe dondoo. Alifanyeje huko Machame?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kazi ya mirathi ni nini na kwa nini watu wanashauriwa kuandika mirathi mapema.

Kama mali lazima zigawashwe kwa watoto wote evenly kwanini ndugu huwa wanagombania kama that's a known fact.
Kazi kubwa ya mirathi nikuonyesha mgawanyiko wa Mirathi kwa wenye haki yakurithi.Lakini mirathi hii ya Mengi imebagua sana,hii si mirathi ni ubatili tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao watoto wakubwa wa mengi wana matatizo sana, mpaka uzinduzi wa kitabu cha mengi uliohudhuriwa na rais magufuli hawakuwepo , high table yuko jack na watoto wake. imagine! event kubwa hivyo ya baba yenu hamumsapoti, ulitegemea atawaachia urithi wakati walimsusa? hata ingekuwa ni mimi mengi nisingewaachia kitu, hao watoto watakuwa na laana ya baba yao.

Hata ningekuwa mimi siwezi kuwapa kitu watu wasio na adabu kama hao wanashindwa kumsapoti baba yao akiwa hai wana taka vyake akiwa amekufa!


Ukiacha haya yote lakini kamwe hawatoweza shida hiyo case....
 
Bufa, Ndio mana ndugu wanasema mzee alipatwa na uchizi wakati akiandaa huo wosia,hivi kwa akili za kawaida ule ni wosia wa MTU aliyekuwa Legendary kama mzee Mengi?na kurukwa kwa akili kunakozungumziwa hapa sio Kama ule wa kupelekwa Milembe,Mzee yawezekana aliandika wosia akiwa kwenye mapaja laini ya Jack.Unategemea nini kama sio kurukwa akili wakati huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao watoto wakubwa wa mengi wana matatizo sana, mpaka uzinduzi wa kitabu cha mengi uliohudhuriwa na rais magufuli hawakuwepo , high table yuko jack na watoto wake. imagine! event kubwa hivyo ya baba yenu hamumsapoti, ulitegemea atawaachia urithi wakati walimsusa? hata ingekuwa ni mimi mengi nisingewaachia kitu, hao watoto watakuwa na laana ya baba yao.
unajuaje kama walikaribishwa?
 
yawezakuwa ni kweli, niliangalia interview yake na jeff koinange kabla ya kifo yule mzee alikua haeleweki anaongea nini yani sauti pia haitoki


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hata kwenye ule msiba wa Ruge alivyoenda kuaga alikuwa anashida ya kiafya ukimwangalia
 
Mimi.,
Huyu dada ndio ile wanasema unawalea watoto ukidhani unawapenda sana. Eti ndani ya nyumba una watoto ke au me unaongeza mtoto wa kazi. Waache watoto wafanye kazi za nyumbn, wakitoka waende Shule. Wakirudi wafanye kazi zao. Hapo unewapenda.
 
Yaani Jack ana strategic plan kuhusu biashara? Unaota mkuu.Jack hatawesa kuwa bilionea..kwasabbu deep inside anajua sio mkweli..hkunaga..hela inataka usafi wa rohomkuu...huyo ataishia level hizo hizo...kwa ubilionea nakataa! Hana akili hizo..umekaa na mume 9yrs unakuja kufanya biashara za furniture?? Khaa
kwa kweli na mimi nimeshangaa hapo,yani watoto waliosongesha biashara toka utoto wao mpaka wamekuwa watu wazima eti wasiwe na strategies za kumsinda dada aliyeingia juzi tena kwa mgongo wa mzee,na kama anajua biashara mbona hakuwa mfanya biashara kwa kutumia hizo strategies kabla hajaingia kwenye familia
 
kwa kweli na mimi nimeshangaa hapo,yani watoto waliosongesha biashara toka utoto wao mpaka wamekuwa watu wazima eti wasiwe na strategies za kumsinda dada aliyeingia juzi tena kwa mgongo wa mzee,na kama anajua biashara mbona hakuwa mfanya biashara kwa kutumia hizo strategies kabla hajaingia kwenye familia


Alafu anakuja mtu anasema tu amuonea wivu jack🤧🤧!..mimi binafsi simuonei wivu...hata tupewe aina moja ya biashara hawez hata nukta yule!..ww mtu umekulia kwenye mishe hizo uzoefu unaukosaje?hapa tunaongea in reality hatumuonei wivu as na sisi tunamaisha yetu na umaskini wetu ila mali za kurithiwa huwa huchukui round!..
Mie ningemganda Regina ar first awe rafiki yangu hata kwa uongo na kweli..ulearn somethng .sasa yeye kuutwa safarini kula bata!...lmao
 
Hata ningekuwa mimi siwezi kuwapa kitu watu wasio na adabu kama hao wanashindwa kumsapoti baba yao akiwa hai wana taka vyake akiwa amekufa!


Ukiacha haya yote lakini kamwe hawatoweza shida hiyo case....
Eti ungekuwa wewe , ukute unamiliki KIROBA Cha boxer na chupi za Bambino huo utajiri uutolee wapi...




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime skiliza huyo dada anavyo ongea yeye mwenyewe roho ina msuta anavyo waita eti watoto wetu wengine yaani regina na kaka yake wakati kiumri yawezekana hata regina kamzidi Jacqueline ama kweli kitanda kime mpa heshima Jack ya kuwaita Regina na kaka yake watoto zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kalala na baba yao? Maana yake ni mama yao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makiseo, Mkuu unachekesha Sana!!

Umri wa Regina na Abdiel ulikuwa sio umri wa kutegemea upendo wa baba yao!!

Walitakiwa watafute wenza wao ili wawapende na sio baba yao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu i second you! watu wanaongea kama vile hawajaoa/olewa!.....


eti unaiambie ndugu zangu wananipenda kuliko mke wangu nitakushangaa sana, yani shida zote zangu yeye ndiye anahangaika nazo usiku na mchana, then out of no where waseme wao ndio wananipenda kuliko wife?


hapa watu wanaongozwa na wivu ila sio logic.... eti mitoto ya 40+ imenyang'anywa baba yao, how?
 
Back
Top Bottom