Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

yeye anapinga kama nani? maana kina Reginna umri wao unaruhusu kufungua kesi...........

Kwani ni kosa yeye kupinga kwa niaba yao? Je kama watoto ndio wamemuomba Baba yao Mdogo asimamie hili kesi? Hapa tuangalie Msingi wa kesi tu basi,ndio maana Regina kwa sasa ndio Chairman wa IPP tena kwa kibali cha Mahakama na si Benjamin
 
Its very funny miaka 9 anataka aende sawa na watoto wenye miaka 50 who been thru hell kumsaidia baba ao
Na hata sasa ni part ya management ya hizo mali

hata kama mimi ningekua Regina nisingemzoea Jacky kabisaa.,zaidi wallahyy ningemrestisha hakyanani wabaki watoto
Jacky ajichunge
Regina ni mtata balaa, Jack hamuwezi..

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Wanawake wa machame wangapi wamewahi olewa na kabila za nje na hatimaye wakadhulumu mali?? Mnapenda viende kwenu lakini kutoa hamtaki
 
Okay jackie ana matatizo yake na historia chafu. Ila ni wazi kulikuwa na matatizo makubwa kimahusiano kati ya watoto wakubwa na marehemu ambayo hatuyajui kwa upana!!!

Sasa sheria pembeni, kwenye ishu za mila za wengi wetu, mzazi akifa na kuacha usia wa kinyongo (grudge) halafu mkafosi kuubadilisha, hiki ni chanzo maarufu sana cha laana kwenye mali ya urithi. Ule usia umeandikwa na marehemu akiwa bitter sana na hakutaka kuugusa kubadili hadi umauti. Kwa hiyo haya mambo wasiangalie asilimia100 mahakamani tu !!! Waangalie mustakabali mpana na vile vile kuokoa roho sinazoweza kupotea kwenye hii vita. Ikiwezekana watu wenye busara washirikishwe si mahakama tu !!!

Mzee nimekutoa maana pale ulipoleta imani za laana!

Thats nonsense mzee!

Unatishia watu na concept ya laana ili wasipate haki yao,thats stupidity mzee!

Pia una uhakika asilimia ngapi usia indeed aliandika yeye maana nakuona unatoa ma-conclusions as if ulikuwepo wakati anaandika!

Hata kama aliandika,who knows alikua kwenye state gani au hali gani?Hilo linadhibitishwa na daktari,ripoti yake umeona?Hujaiona,umeishia kua mpiga ramli!

Busara unayosemea ni ipi mzee?Ni relative term according na mtu upande wake yeye....

Huwezi sema watu waache haki zao eti kwa sababu ya “busara” ulizoona wewe binafsi which do not make any sense kihaki!
 
Okay jackie ana matatizo yake na historia chafu. Ila ni wazi kulikuwa na matatizo makubwa kimahusiano kati ya watoto wakubwa na marehemu ambayo hatuyajui kwa upana!!!

Sasa sheria pembeni, kwenye ishu za mila za wengi wetu, mzazi akifa na kuacha usia wa kinyongo (grudge) halafu mkafosi kuubadilisha, hiki ni chanzo maarufu sana cha laana kwenye mali ya urithi. Ule usia umeandikwa na marehemu akiwa bitter sana na hakutaka kuugusa kubadili hadi umauti. Kwa hiyo haya mambo wasiangalie asilimia100 mahakamani tu !!! Waangalie mustakabali mpana na vile vile kuokoa roho sinazoweza kupotea kwenye hii vita. Ikiwezekana watu wenye busara washirikishwe si mahakama tu !!!

Hakuna laaana wala nini kwa sisi tunaoijua ile familia mzee Alipenda wale watoto wakubwa sana na hawakua na ugomvi na wala hasingeweza kuandika will ya kimafya vile

laanaa haiwezi kuwapata kwa “will” iliyoandaliwa na Klyn na genge lake na kusainiwa na mzee Mengi pasipokujua ana sign nini

sana sana laana anazidi kupata kylin siku zinavyozidi kwenda anazidi kua kichaa
 
Back
Top Bottom