Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Hivi kumbe hakukua na muda kdg hapo kati kumuwezesha kutafakari huo usia?What a coincidence, shortly after writing such a bitter will he died.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe hakukua na muda kdg hapo kati kumuwezesha kutafakari huo usia?What a coincidence, shortly after writing such a bitter will he died.
yeye anapinga kama nani? maana kina Reginna umri wao unaruhusu kufungua kesi...........
Regina ni mtata balaa, Jack hamuwezi..Its very funny miaka 9 anataka aende sawa na watoto wenye miaka 50 who been thru hell kumsaidia baba ao
Na hata sasa ni part ya management ya hizo mali
hata kama mimi ningekua Regina nisingemzoea Jacky kabisaa.,zaidi wallahyy ningemrestisha hakyanani wabaki watoto
Jacky ajichunge
Abeee, SijaelewaHana haya yule kumuita Regina mwanae wakati alikua bwana wake.
Hana haya yule kumuita Regina mwanae wakati alikua bwana wake.
kuna mengi ambayo hayajulikani hapo, juzi nimeangalia mahojiano ya ma house girl wa wengi, mmoja anasema mengi wakati anamuaga alisema hana pesa, yani pesa ya chakula kwa ajili ya hizo siku atakazokuwa hayupo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata mimi msibani nilimuona mtata sanaRegina ni mtata balaa, Jack hamuwezi..
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Hata kwenye ule msiba wa Ruge alivyoenda kuaga alikuwa anashida ya kiafya ukimwangalia
Hata mimi msibani nilimuona mtata sana
Mbona alikua amepoa sana?
Sijaona utata wowote kwa yule manzi aisee!
Okay jackie ana matatizo yake na historia chafu. Ila ni wazi kulikuwa na matatizo makubwa kimahusiano kati ya watoto wakubwa na marehemu ambayo hatuyajui kwa upana!!!
Sasa sheria pembeni, kwenye ishu za mila za wengi wetu, mzazi akifa na kuacha usia wa kinyongo (grudge) halafu mkafosi kuubadilisha, hiki ni chanzo maarufu sana cha laana kwenye mali ya urithi. Ule usia umeandikwa na marehemu akiwa bitter sana na hakutaka kuugusa kubadili hadi umauti. Kwa hiyo haya mambo wasiangalie asilimia100 mahakamani tu !!! Waangalie mustakabali mpana na vile vile kuokoa roho sinazoweza kupotea kwenye hii vita. Ikiwezekana watu wenye busara washirikishwe si mahakama tu !!!
What a coincidence, shortly after writing such a bitter will he died.
Okay jackie ana matatizo yake na historia chafu. Ila ni wazi kulikuwa na matatizo makubwa kimahusiano kati ya watoto wakubwa na marehemu ambayo hatuyajui kwa upana!!!
Sasa sheria pembeni, kwenye ishu za mila za wengi wetu, mzazi akifa na kuacha usia wa kinyongo (grudge) halafu mkafosi kuubadilisha, hiki ni chanzo maarufu sana cha laana kwenye mali ya urithi. Ule usia umeandikwa na marehemu akiwa bitter sana na hakutaka kuugusa kubadili hadi umauti. Kwa hiyo haya mambo wasiangalie asilimia100 mahakamani tu !!! Waangalie mustakabali mpana na vile vile kuokoa roho sinazoweza kupotea kwenye hii vita. Ikiwezekana watu wenye busara washirikishwe si mahakama tu !!!
Kama wewe ulivyo gundu,kila ukiolewa unaachikaWamachame kwa dhuluma ni hatari sana. Ndio sababu hata kwenye uenyekiti hawataki kung'oka