tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Shida ni ujuaji mwingi wa jacky,hao watoto wasome ist mana ni damu ya kina regina na abdiel.Kyln amekua akiishi kwa posho kutoka kwa Regina na Abdiel long time kupitia mzee lakini bibie alikua hajui alidanganywa akawa anaona mambo yanaenda hela zinaingia akadhani mzee Mengi ndio kila kitu IPP so akifariki yeye kyln atakua mwenyekiti wa IPP apate zaidi, kumbe company zimeshikiliwa na wale watoto wakubwa zamani sana
All in all wale watoto wakubwa wana roho za kipekee, wanaendelea kulipa school fees IST za wale mapacha wawili almost usd 90,000 kwa mwaka ningekua mimi mtoto wa Mengi mwanamke Jeuri vile binge kimoja na show off zake za kutaka International School of Tanganyika ningesema waamishwe waende hata Feza kwa Sababu we cant afford [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mama yao hana mda mrefu ataanza kurudia nguo zake za zamani alizosahau kuvaa,maisha ni funzo kubwa ukijifanya mjuaji hufiki mbali
Sent using Jamii Forums mobile app