Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

lazima kesi ianze upyaaaaa!!
na Mjane apate Haki yake ya kuwa Msimamizi wa Mali za Marehemu Mume wake.
 
only in Africa ndugu wa mume kugombea mali za marehemu na kumdhulumu mke wa marehemu haijalishi kachuma au laah ana haki kisheria na anawatoto wanao mtegemea haki yake apewe mnataka aende kudanga? ili magazeti ya mchafue marehemu? kwani hao ndugu si watafute mali zao?
wote sisi ni wazazi na wasio na watoto pia mtakua nao utajisikiaje binti yako anafanyiwa hayo na ndugu wa mume. not fair jacqueline apate haki zake anazo stahiki kama mke wa mtu aliye heshimika barani Africa
 
Wewee naweee, mali ni za ukoo. Walichuma kama familia. Na wewe familia yako kachumeni hivyo. Siyo kutegemea mali za watu hujatolea jasho. Kwani kaanza kudanga leo?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wewee naweee, mali ni za ukoo. Walichuma kama familia. Na wewe familia yako kachumeni hivyo. Siyo kutegemea mali za watu hujatolea jasho. Kwani kaanza kudanga leo?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
adui wa mwanamke ni ...... angalia sana huo moyo wako na jitathmini sana ni rahisi sana kufurahisha genge but God is love mshukuru sana kwa pumzi aliyo kuzawadia, maana kimfaacho mtu ni uhai, pumzi ikisha kutoka mwili haufai kitu. ulimi ni kiungo kidogo sana lakini......... anaye cheka leo zamu yake ya kulia itafika.
 
Maisha yamebadilika sana!!..Siku hizi hata Ndoa watu wana angalia uwezo, kupata mtoto pia ni Fedha Ndugu!!..Hayo maneno yako ya zamani ndio yamefanya wazazi wengine kufa masikini!!..Huyu Dada atafute Mali Kwa Jasho lake!!..Hizi anazo pigania hazitasaidia yeye wala hao wanaomtumia!!...Maisha ya wanadamu yamebadilika mno!!..Sasa hivi ukweli unajulikana,watu wameacha misemo ya kale Ndugu ilikua ni woga na ufukara tu!!
 
Huyu nae zamu yake kulia imefika!!
 
Wee naeee... maneno yako yanabadili nini? Eti adui wa mwanamke. Pumzika

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
yana muda basi subiri zamu yako
 
T Tumekusikia Jack!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…