Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kesi haijaanza tulazima kesi ianze upyaaaaa!!
na Mjane apate Haki yake ya kuwa Msimamizi wa Mali za Marehemu Mume wake.
Wewee naweee, mali ni za ukoo. Walichuma kama familia. Na wewe familia yako kachumeni hivyo. Siyo kutegemea mali za watu hujatolea jasho. Kwani kaanza kudanga leo?only in Africa ndugu wa mume kugombea mali za marehemu na kumdhulumu mke wa marehemu haijalishi kachuma au laah ana haki kisheria na anawatoto wanao mtegemea haki yake apewe mnataka aende kudanga? ili magazeti ya mchafue marehemu? kwani hao ndugu si watafute mali zao?
wote sisi ni wazazi na wasio na watoto pia mtakua nao utajisikiaje binti yako anafanyiwa hayo na ndugu wa mume. not fair jacqueline apate haki zake anazo stahiki kama mke wa mtu aliye heshimika barani Africa
adui wa mwanamke ni ...... angalia sana huo moyo wako na jitathmini sana ni rahisi sana kufurahisha genge but God is love mshukuru sana kwa pumzi aliyo kuzawadia, maana kimfaacho mtu ni uhai, pumzi ikisha kutoka mwili haufai kitu. ulimi ni kiungo kidogo sana lakini......... anaye cheka leo zamu yake ya kulia itafika.Wewee naweee, mali ni za ukoo. Walichuma kama familia. Na wewe familia yako kachumeni hivyo. Siyo kutegemea mali za watu hujatolea jasho. Kwani kaanza kudanga leo?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Maisha yamebadilika sana!!..Siku hizi hata Ndoa watu wana angalia uwezo, kupata mtoto pia ni Fedha Ndugu!!..Hayo maneno yako ya zamani ndio yamefanya wazazi wengine kufa masikini!!..Huyu Dada atafute Mali Kwa Jasho lake!!..Hizi anazo pigania hazitasaidia yeye wala hao wanaomtumia!!...Maisha ya wanadamu yamebadilika mno!!..Sasa hivi ukweli unajulikana,watu wameacha misemo ya kale Ndugu ilikua ni woga na ufukara tu!!adui wa mwanamke ni ...... angalia sana huo moyo wako na jitathmini sana ni rahisi sana kufurahisha genge but God is love mshukuru sana kwa pumzi aliyo kuzawadia, maana kimfaacho mtu ni uhai, pumzi ikisha kutoka mwili haufai kitu. ulimi ni kiungo kidogo sana lakini......... anaye cheka leo zamu yake ya kulia itafika.
Huyu nae zamu yake kulia imefika!!adui wa mwanamke ni ...... angalia sana huo moyo wako na jitathmini sana ni rahisi sana kufurahisha genge but God is love mshukuru sana kwa pumzi aliyo kuzawadia, maana kimfaacho mtu ni uhai, pumzi ikisha kutoka mwili haufai kitu. ulimi ni kiungo kidogo sana lakini......... anaye cheka leo zamu yake ya kulia itafika.
Wee naeee... maneno yako yanabadili nini? Eti adui wa mwanamke. Pumzikaadui wa mwanamke ni ...... angalia sana huo moyo wako na jitathmini sana ni rahisi sana kufurahisha genge but God is love mshukuru sana kwa pumzi aliyo kuzawadia, maana kimfaacho mtu ni uhai, pumzi ikisha kutoka mwili haufai kitu. ulimi ni kiungo kidogo sana lakini......... anaye cheka leo zamu yake ya kulia itafika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee naeee... maneno yako yanabadili nini? Eti adui wa mwanamke. Pumzika
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Imagine tungekua na uwezo wa kuchapana makofi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tungechapana San tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wee naeee... maneno yako yanabadili nini? Eti adui wa mwanamke. Pumzika
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
yana muda basi subiri zamu yakoMaisha yamebadilika sana!!..Siku hizi hata Ndoa watu wana angalia uwezo, kupata mtoto pia ni Fedha Ndugu!!..Hayo maneno yako ya zamani ndio yamefanya wazazi wengine kufa masikini!!..Huyu Dada atafute Mali Kwa Jasho lake!!..Hizi anazo pigania hazitasaidia yeye wala hao wanaomtumia!!...Maisha ya wanadamu yamebadilika mno!!..Sasa hivi ukweli unajulikana,watu wameacha misemo ya kale Ndugu ilikua ni woga na ufukara tu!!
Peleka kuleee. Ulifikiri nategemea mbususu kunipa mali? Me mwanamke wa shoka wewe kaskazini hatoki boya. Wamachame watamnyoosha kila akihema.siku yako itafika msiba una miguu sio kwa mmoja, God is Love
omo!! Nyuma ya keyboard pana ku hadaa, uwe washoka chuma kisu, jembe,damu na nyama kumbuka tu God is love, muda wako utafika.Peleka kuleee. Ulifikiri nategemea mbususu kunipa mali? Me mwanamke wa shoka wewe kaskazini hatoki boya. Wamachame watamnyoosha kila akihema.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Tumekusikia Jack!only in Africa ndugu wa mume kugombea mali za marehemu na kumdhulumu mke wa marehemu haijalishi kachuma au laah ana haki kisheria na anawatoto wanao mtegemea haki yake apewe mnataka aende kudanga? ili magazeti ya mchafue marehemu? kwani hao ndugu si watafute mali zao?
wote sisi ni wazazi na wasio na watoto pia mtakua nao utajisikiaje binti yako anafanyiwa hayo na ndugu wa mume. not fair jacqueline apate haki zake anazo stahiki kama mke wa mtu aliye heshimika barani Africa
We nae punguza kulialia basi kama unamtaka si umtongoze tuomo!! Nyuma ya keyboard pana ku hadaa, uwe washoka chuma kisu, jembe,damu na nyama kumbuka tu God is love, muda wako utafika.