Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

We nawe mk kweli wewe. Wewe mchagga na nani? Boya kweli wewe. We mdangaji nini? Ama shangazi yako?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mnaomuita mdangaji huyo babu yenu alishikiwa bunduki? Yes alifwata hela na yes mzee alifwata uzuri so?? Kuna men wanamuonea wivu wanatamani wangeolewa wao.
 
Hapa kama imedhibitika ivyo iyo ni kesi nyingine. Nachopinga ni upande mmoja kuonekana unamakosa kwenye hayo mahusiano.
Ndio maana umeandika bila ya kusoma kuna nini??!!..Huyo Dada ambae unasema ana haki kashindwa mahakamani kwasababu usia umeonekana sio Sawa na pia alifoji sahihi za marehemu!!.. Lakini mbaya zaidi ni nature ya Biashara za family ya huyu Mzee na Dada wa Mjini!!..Ina onyesha Dada alikua kwenye mahusiano lakini hakujua ana ishi na Nani?!!..Hadi kuzalishwa bado hakujua Tu!!..Ni aibu hii
 
Tutajuaje kama wewe sio ndio Jack mwenyewe au ndugu yake?
Hivi hata katika akili ya kawaida, Jack kaolewa katikati ya y2k wakati Mengi akiwa tayari ni the don, Mengi kachuma mali zote akiwa na wanae kina Regina na yule jamaa mwingine, Jack kaja juzi tu anataka kunyang'anya mali zote? Is this not stupid? Hu nao ni wizi wa kisasa au kwa lugha ya awamu ya 5, hu nao ni UTAKATISHAJI fedha, sio sawa. Kwani akishirikiana na familia kuna ubaya gani?
 
Haki zake na watoto zipo ktk wosia wa Marehemu Mume wake.
kuna wosia halali wa marehemu ambao ndio unampa uhalali wa haki hizo.
Mjane huyo ana haki.
nitasimama naye mpaka mwisho.
Wewe ndo mhusika mwenyewe , Pole ila kaa ukijua hakuna haki kwa Mali ulizozikuta ridhika na ulichopewa tamaa sio nzuri dada.
 
Nonsense
 
Tena mikosi mikubwa mnoooo
 
DAB alikuwa nyuma ya mchezo sema baada ya kitumbua chake kuingia mchanga, ile taasisi ya kutembelea wajane nayo ikafa. DAB amechangia sana kumshauri huyu dada ujinga.
This is Family issue sidhani kama watakataa, serikali haiwezi ingilia hapa

Akitokea mtu serikalini akazuia Basi huyo ndio atakua nyuma ya kyln wana panga kutapeli wagawane
 
Silipwi chochote wala sinahaja ya kulipwa, hanijui simjui ila naguswa sana jinsi anavyo taabika kupigania haki yake, mimi ni mtetezi wa Haki ya mtu yeyote yule mwenye haki.
Ngoja kwanza; yaani Jack kaolewa mwaka 2006 wakati Mengi tayari alikua kwenye top 10 ya mabilionea wa bongo, kaupata ubilionea na wanae kwa mkewe wa kwanza, so wewe kwa AKILI yako kabisa unayosema inatetea HAKI unaunga MKONO Jack kuchukua kila kitu halafu kina Regina wabaki bila KITU!? Unatetea HAKI au WIZI mkuu!?
 
If that was the case then, why mzee Mengi alimpa ukurugenzu binti yake Regina wa East African Television? Kwanini yule kijana wake alimpa kua director of finance wa makampuni yake? Again, ni kwanini wosia ulisajiriwa kwa mwana sheria baada ya KIFO chake? Halafu na wewe unaamini kabisa mzee Mengi aandike wosia halafu mwana sheria wake atokee kabila moja na Jack? Mkuu unless na wewe uwe mfaidika wa hicho anacho kidai Jack nje ya hapo akili ya kawaida INAKATAA labda tu tuwe sio watu tunao fikiria vizuri
 
Mbaya zaidi Wana mwanasheria wa family ambae hata huo usia hakuona
 
Mbaya zaidi Wana mwanasheria wa family ambae hata huo usia hakuona
Mtu pekee anae kubaliana na Jack kuhusu madai/wosia wake ni either mfaidika au mjinga na mpumbavu tu, nje ya hapo haiwezekani. Historia ya Mengi inajulikana, sio siri. Kwanza hata kitendo cha Jack kwenda mahakamani ni vile tu watu hawanaga mshipa wa aibu
 
Mnaomuita mdangaji huyo babu yenu alishikiwa bunduki? Yes alifwata hela na yes mzee alifwata uzuri so?? Kuna men wanamuonea wivu wanatamani wangeolewa wao.



Ndumba, hakushikiwa bunduki alitundikwa juu ya mibuyu sana na kulishwa uchafu wa chini
 
We nawe mk kweli wewe. Wewe mchagga na nani? Boya kweli wewe. We mdangaji nini? Ama shangazi yako?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Miss Pablo nina shaka na wewe kwa jinsi unavyohemka na Matusi kwa mtu asiyekutukana. Itakuwa wewe ni kati ya wanafamilia ya Reginald.

Hebu Muheshimuni huyo Dada ni Mama yenu pia. Hivyo tu yaani!
 
Miss Pablo nina shaka na wewe kwa jinsi unavyohemka na Matusi kwa mtu asiyekutukana. Itakuwa wewe ni kati ya wanafamilia ya Reginald.

Hebu Muheshimuni huyo Dada ni Mama yenu pia. Hivyo tu yaani!
Mzee alikua na familia kubwa hebu Fikiria watu wenye ulemavu waliokua wanapewa misaada na Mzee hebu Fikiria speech za Viongozi wa serikali na Taasisi nyingine kuhusu Maisha yake!!..Uliwahi kuona Chozi la Amiri jeshi mkuu wewe (JPM alitoa Chozi wakati ana muaga)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…