Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Jack aridhike na mali alizopewa na familia ya mengi inatosha ,watoto mapacha ni ndugu wa kina regina hawawzei kuwatupa damu yao.

Wanawake wajifunze ,wakipata madanga yenye mpunga wajitahidi kuunda mali zake upya na si kudandia miradi ya danga ya zamani.

Mtu ameanza kufight miaka ya 94 wewe from nowhere 2020 unataka kumiliki viwanda na media house?
 
Jack aridhike na mali alizopewa na familia ya mengi inatosha ,watoto mapacha ni ndugu wa kina regina hawawzei kuwatupa damu yao......Wanawake wajifunze ,wakipata madanga yenye mpunga wajitahidi kuunda mali zake upya na si kudandia miradi ya danga ya zamani...mtu ameanza kufight miaka ya 94 wewe from nowhere 2020 unataka kumiliki viwanda na media house?


Za kwake klyn zimeishia kwenye tea party anataka amalize na zilizobaki

Biashara zote alizofunguliwa na Mzee Mengi zimekufa nyingine kauza hela kaendeshea case Nyingine Kaonga wanaume na wanawake zake hellen kiwia na Nancy sumari anao s.sagana nao
 
Za kwake klyn zimeishia kwenye tea party anataka amalize na zilizobaki

Biashara zote alizofunguliwa na Mzee Mengi zimekufa nyingine kauza hela kaendeshea case Nyingine Kaonga wanaume na wanawake zake hellen kiwia na Nancy sumari anao s.sagana nao

Aisee inasikitisha sana ,Klyn kapuyanga ,amechezea maisha ,alikuwa si mtu wa kupambana na makesi muda huu,kama alifunguliwa biashara nyingi kaziua kweli ni zero brain.
 
Huyu Mjane atendewe Haki.

Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!

Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!

Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.

lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Utakuwa umeoa au umeolewa kwenye familia kama ya Mengi basi huna hata haya .
Mali kazikuta halafu kafoji wosia shenzi zake halafu anazing'ang'ania .
Huyo dada anatafuta shida na Mungu anamuona .
Kwanza hana akili .
Hajui triki za kuchukua kitu kwa mtu .
Na mwomba Mungu awafanye majaji wa simwona anahadhi ya kupata mali.
Na achukuliwe hatua kali dhidi yake anasumbua sana familia ya halali ya mengi.
 
only in Africa ndugu wa mume kugombea mali za marehemu na kumdhulumu mke wa marehemu haijalishi kachuma au laah ana haki kisheria na anawatoto wanao mtegemea haki yake apewe mnataka aende kudanga? ili magazeti ya mchafue marehemu? kwani hao ndugu si watafute mali zao?
wote sisi ni wazazi na wasio na watoto pia mtakua nao utajisikiaje binti yako anafanyiwa hayo na ndugu wa mume. not fair jacqueline apate haki zake anazo stahiki kama mke wa mtu aliye heshimika barani Africa
Sio ndugu marehemu alikua Ana watoto wake kabla ya kukutana na uyu binti
 
Haki zake na watoto zipo ktk wosia wa Marehemu Mume wake.
kuna wosia halali wa marehemu ambao ndio unampa uhalali wa haki hizo.
Mjane huyo ana haki.
nitasimama naye mpaka mwisho.
We akili zako haziko sawa jaribu kuvaa uhusika wewe ndo uwe mtoto au mwanafamilia wa mzee mengi jinsi mlivyopambana kuweka Mambo sawa from the bottom alafu aje mtu wakati jua linazama achukue Mali jitahidi tu....just be kind
 
Mimi niseme tu kuwa yule Mzee Mengi alikuwa na sababu ni kwanini aliamua kumrithisha Jack na sio watoto wake wakubwa.

Maisha ktk familia zetu yana siri nyingi sana. Huenda watoto wake wakubwa HAWAKUMPA AMANI KABISA. Na huenda FARAJA NA FURAHA yake ilibaki kwa Jack na haijalishi penzi la Jack lilikuwa halisi au fake.

Cha msingi ktk miaka ya uzee wake ndiye pekee alionyesha kumpa tabasamu, na kwa kuzingatia tayari anafaida ya kupata watoto na jack.

WANAUME WENZANGU HUMU TUSISHANGAE NI KWANINI MZEE Reginald aliamua Kumrithisha Jack na mapacha wake. Sometime unawasoma vijana wako unagundua hayakutambui na yanasubiri uondoke yaendee kivyao.

I gues Mr Mengi wrote with sound mind
Aisee hata watoto wako wawe wapumbavu vipi wanabaki kua watoto wako so u need to take care of them huwezi kuwaacha sometimes kwenye upumbavu wao unaweza ukawa chanzo maybe ulikua busy Sana kutafuta pesa hukuwalea ipasavyo kwaio kwa namna moja yule mzee yupo responsible so hakutakiwa kuandika wosia akawatenga .
 
hapa mwisho wa hii kesi nisasa.....Naomba watoto wa Mengi wakiahinda kesi Wafungue kesi ya madai kwa huyo mwanamke....

Wadai alifoji sahihi ya mzee pia alimchafua mzee kwa kutoa taarifa za ugonjwa wake, wammalize kabisa wasimuangalie nyani usoni
 
Jacky amekua ni kama mwiba kwa familia ya mengi, ivi Abdiel na Regina wanashindwa hata kuajiri professional hitman kutoka Marekani, ammalize Jacky kwa mazingira itakayoonekana amekufa kifo cha kawaida, maana at the end, Nahis kwa tamaa alizonazo jack anaeza hata kudhuru watoto wakubwa wa Mengi FRESHMAN


Hata Mimi najiuliza hili swali, na anavyopenda kujiuza kwa wazungu wangempata asubuhi kweupe kwa kupitia pandakizi amewachafua, amewatukanisha kwenye mitandao wametulia wanamchekea mnyarwanda
Tatizo wale wakina Abdiel wastaarab na wazungu sana angekuta familia zetu hizi sasa ameshasaulika long time
 
Hata Mimi najiuliza hili swali, na anavyopenda kujiuza kwa wazungu wangempata asubuhi kweupe kwa kupitia pandakizi amewachafua, amewatukanisha kwenye mitandao wametulia wanamchekea mnyarwanda
Tatizo wale wakina Abdiel wastaarab na wazungu sana angekuta familia zetu hizi sasa ameshasaulika long time
K Lyn amefungua kesi ya kudai child support, anasema Abdiel na Mengi mdogo hawawatunzi watoto mbali na jitihada zake za kuwataka wafanye hivyo muda mrefu ...
 
Babu sheria ni msumeno.
kazi ya msumeno unaijua.
Kama sheria msumeno kachukue mali ya mtu aliyotolea jasho lake uone cha moto! Watu hadi huwa wanaokota makopo kwa sababu kama hizi unazotoa!
 
Back
Top Bottom