King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Jack aridhike na mali alizopewa na familia ya mengi inatosha ,watoto mapacha ni ndugu wa kina regina hawawzei kuwatupa damu yao.
Wanawake wajifunze ,wakipata madanga yenye mpunga wajitahidi kuunda mali zake upya na si kudandia miradi ya danga ya zamani.
Mtu ameanza kufight miaka ya 94 wewe from nowhere 2020 unataka kumiliki viwanda na media house?