Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Haha Ukute watoto wa Mengi wanamnyima Kyln hela ili kumkomoa, labda wanampa vihela vya kula tu...ukute kyln akiuliza vipi, anaambiwa kampuni zote zimepata hasara cariha
Acha wamnyime hela ni ngumu, kwanza aliwadhalilisha ku Post mambo ya mzee na vi drama vya kiki ka kina diamond, halafu hakumu care vizuri huyo mzee, she was after money, unfortunately hakuwa smart kufanya mambo ya maendeleo yeye alitegemea miradhi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]angenunua hata dildo mengi naye alizingua klyn alikuwa mbichi sasa cheating zake kwanini zisimuue, pia alikuwa anahitaji care kubwa sasa kylin alikuwa hana mda, kina Regina ingebidi wafanye rescue mapema aisee.
 
Mbona haki inatendekeka. Maamuzi yalikuwa ya mahakama, na hata sasa ni mahakama ndiyo imepokea tena rufaa.

Au ili haki itendeke ilipaswa iweje? Halafu, ni kweli Jack amenyang'anywa kila kitu? Amebaki hana mbele wala nyuma kama inavyofanyika kwa wajane wengine kwenye familia zetu?

Kweli amefanyiwa hayo? Au huko kunyimwa kusimamia mirathi ndiyo shida?
 
Afadhali angeenda peke yake, sasa alimpeleka mzee wa watu Dubai a baby sit watoto yeye akiwa na Mwarabu wake.
Unajua nyege zinakufanya unarukwa na akili hufikirii sawasawa? Pengine na yeye anajuta sahiv
 
Sawa K-Lyn
 
Haki ipi, unajua sheria za mirathi, mtu aligushi sahihi unataka apewe haki ipi?!!.. Haya Mambo yapo Tanzania tu!!
 
Kuwa na Watoto hakukufanyi ufoji sahihi za marehemu!!....
 
Unajua Hadi umauti unamkuta Mzee machache alikuwa ana share kiasi gani?!!.. Hata wakimpa shares zote huyu Dada za Mengi bado hatoridhika!!..

Alikosea kugushi sahihi na Mengi hakua na Fedha nyingi hivyo kama huyu Mdada anavyodhani!!.. Mali ni za watoto kwasababu mke mkubwa aliwaachia Mali zake zote kwahiyo ukienda kwenye majumuisho Mengi ana shares Ndogo sana!!..

Sasa Sheria inataka Mali za Mengi siyo IPP ukigawanya hapo bi Dada Bora aendelee kudanga
 
Kwanza Kuna viachilia kua mwanamke kamdedisha.

Suala la kugundulika sahii sio ya mzee linafikirisha,

Afu dkk za mwisho za marehem,
Kuna vitu kwny mahusiano yao vilikua vinaendelea Kama vile viko STAGED kuuhadaa umma wa watanzania.
Ni kweli kabisa huyu mwanamke aliamua mengi ni katili sana na ana roho mbaya.
 
Kaweka kama mtaji vile vitukuu maskini,mzee ntamsifu kwa uungwana wake mengine tuwaachie watoto wakubwa wanaweza kumpiga kwata huyo Jack akaomba poo.ngoja tu
 
Klyn aliulizwa ushahidi wa talaka akasema hana. Mahakama ikamwambia hatuendagi kwa hearsay. Aliulizwa kama hata amewahi iona.

Imelala yoooh..

Regina maeew, mkape ya mdwe[emoji28][emoji28]
Amkape na ndeun nafake samu.

Nkamangi eto ni itondo.

Kyeri walemwende alya kisereni ipatisa Wana Kila nndu e munlaa ngata...

Kyasaka ekyo
 
Kwamba watoto amerehemu aliowakuta wapewe buku ? (Tsh 1000) . huo wosia ndiyo uheshimiwe, you're not serious mkuu😀
 

Mzee Mengi aliamua kumkomesha kisomi,inawezekana kabisa hapo mwishoni huko ndani hali haikuwa shwari kama ambavyo bibie alitaka kutuaminisha mitandaoni.

Naamini Mzee alifanya makusudi akiwa na uhakika Watoto wale wadogo guarantee ya maisha wanayo tayari kutoka kwa ndugu zao Wakubwa.Regina na Abdiel hawana dhiki kiasi cha kuwanyanyasa wale Twins.Huu mtanange ni wa Mjane peke yake.
 
Nilisikia wanasema amehamia Dubai.
Sasa kama hatulii hapa home yuko Dubai akipewa mali zile si atauza atokomee??
Wakati Mwingine hatunaga mawazo mazuri hapa wanaofaidi ni Wanasheria..Watakunyonya japo Visenti vidogo ulivyo navyo.

Mahusiano yako na Familia hiyo yatakua mabaya zaidi na mtaishia kuwindana sasa bila sababu..Katika Maisha sio kila vita utashinda...
Zingine ziache kubali kupoteza kwa malengo ya mbele..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…