Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

kwa hiyo ndio maana wamebatilisha Wosia wa marehemu?!
hiyo sio haki, maana wosia aliutoa marehemu na yeye alikuwa anajua fika kwa nini aliamua kufanya hivyo, kwa sababu tayari walishapata share yao.
Mahakama lazima iangalie huyu mjane anavyo nyanyasika kisa eti hakuchuma mali na marehemu.
kila siku tunalalamika kuwa wajane wanyanyaswa na ndugu wa marehemu, sasa hebu tazameni Jackline Mengi anavyo taabishwa na kuyumbishwa.
huu ni unyanyasaji
Mahakama imtendee Haki huyu mjane.
Bila shaka wewe ndiye Kyln mwenyewe. Aliekudanganya kuwa wosia ni final ni nani?
 
hahaha yani huyu Zandrano ndio mwenyewe kaja kujitetea hapa, ukitaka kujua ni Jacky just go and watch interview ya jacky na millard Ayo then uje usome hizo reply za zandrano and thank me later[emoji16], maneno like mume wangu , marehemu mume wangu, mume wangu, mjane, watoto wake etc yamejirudia in the same way but acts as a third part person is talking[emoji23].

Jacky [

Thats all Jacky zandrano [emoji4]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu Mjane atendewe Haki.

Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!

Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!

Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.

lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Haki gani?
Yaani taasisi unafikiri hawana akili waingie kwenye kesi kama hizi?
 
Huyu Mjane atendewe Haki.
nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!
huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!
anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.
lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Hujaonaga wajane nin wakiitwa wajane na yy atatoka
 
huyu mjane anahaki zaidi kulingana na wosia aliopewa na Marehemu Mume wake.
Wosia wa Marwhemu Mume wake ulibatilishwa kimakosa, lazima wosia wa marehemu ufuatwe kama ulivyo bila kubatilisha chochote.
Wosia wa Marehemu ulikuwa halali na aliutoa akiwa na akili timamu na alimaanisha alicho kiandika.
Mjane na watoto wake wanayo haki ya kurithi kulingana na wosia wa Marehemu.
Huyo dada atakuwa anakulelea tafuta hela acha umario utakuja utafunwe huko mjini
 
Ila Mengi naweza sema hakufikiria vyema kabisa. Kama kweli alidhamiria kumuachia Jacky na wanae wadogo mali angewamilikisha kisheria kabla hajafa.

Huwezi kuniambia na akili zake zote za biashara alishindwa ku-foresee hizi drama. Amemtakia matatizo tu huyu binti.
Huyo mdangaji alienda kwa Mengi kimaslahi,utakuwa ni mjinga kiasi gan kuamini ule wosia uliandikwa na marehemu?,kuna mengi sana ya kutilia mashaka kuhusiana na ule wosia
 
Inavyosemekana narudia tena inavyosemekanaa Klyn ndio alishinikiza ile vacation ya Dubei ili akaonane na huyo mrwarabu na unaambiwa alivyofika kule alikuwa anamuacha mzee hotelin yy anaenda kunyanduliwa
Kama unavyosema inavyosemekana, mzee alipeleka familia Zanzibar lakini bidada alilazimisha trip ya Dubai ili akakutane na Mwarabu
 
Inavyosemekana narudia tena inavyosemekanaa Klyn ndio alishinikiza ile vacation ya Dubei ili akaonane na huyo mrwarabu na unaambiwa alivyofika kule alikuwa anamuacha mzee hotelin yy anaenda kunyanduliwa
Jaman nyege zinatesa nyie hasa ukishakua 40s pengine dada watu alikua anashindwa kunyanduliwa hapa kutokana na umaarufu wake ikabid atafute safar ili iwe rahis..mie namsifu yule dada ooh! Kwanza hata hiyo nahis alifanyakaz sana kuitegesha..maana hadi mshidodo uje usimame hlf apate hizo nguvu za kuzungusha kiuno mchezo??
 
hahaha yani huyu Zandrano ndio mwenyewe kaja kujitetea hapa, ukitaka kujua ni Jacky just go and watch interview ya jacky na millard Ayo then uje usome hizo reply za zandrano and thank me later[emoji16], maneno like mume wangu , marehemu mume wangu, mume wangu, mjane, watoto wake etc yamejirudia in the same way but acts as a third part person is talking[emoji23].

Jacky zandrano relax, ni kweli ulikua mke pia and you have children, lazima utapata haki yako tu ya kile unachostahili, too bad that you will never get everything you wanted , wacha kujichoresha cas you sound like golddigger now, the picture you arw showing us is telling us a lot of stories like watu mwishoe tuanze kuhisi you did something to him like maybe u killed him ili upate what you wanted na imeturn tofauti so unechanganyikiwa, cas you push too hard watu waamini wosia ambao haumake any sense, why do you want everything? ulimpenda Mengi au ulipenda mali zake? because for me now naona ulipenda mali zake and you wanted all of them badly, at least omba hata 50% basi umake sense.

Wosia umekaa kimaandazi sana, yani ukiusoma badala ukupe relaxation unakupa maswali yasiyo na majibu, wosia kwa maoni yangu ulikua wa kughushi, cas hata mahakama ilijiridhisha signature haikua ya Mengi, taarifa ya kuugua na kufariki kwake ni comfusion tupu, how tjings handles ni taflani, how you realesed wosia ni vichekesho, how you push it ni mshangao, ukiunganisha dots unapata majibu kuwa Jacky killed the man, jacky is gold digger, jacky kuna watu wanamdanganya , jacky etc

Just chill ili watu wasikuwazie vibaya please, you can do better than this, ridhika with what you are about to get, patana na familia ili uzidi kupata opportunities, do your things , do business whatever or hata hama hamia Kenya ili concentrate , bobgo bakisha som few things like people says you have appartments well and good cas utakua unaingiza pesa bado, hama kajijenge ili uepuke aibu ndogondogo na kubwa.

Thats all Jacky zandrano [emoji4]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we unachekesha kweli yaan! Kwahiyo mpaka leo unadhani jack alimpenda mengi? Khaaaa uzee ule apende nini wakat hata dyudyu kusimama ni shuhuli? Hilo hata mengi mwenyewe alijua hapendwi ila pesa na ndo maana alimhonga sana kabla hajampata na alipompata akaendeleza. Wangekua rika linaendana ungesema uchanganyikiwe kujua kapenda mtu au pesa lakin kwa uzuri na umri wa jacky kweli hasa ukajidanganye alimoenda mengi? Umelogwa weye
 
Kuna Watu wanatafutaga kulogwa Kwa nguvu zote, yani unakuta huna nia lkn anakulazimisha umloge.

Wallah ningekuwa mtoto wa Mengi huyo slay queen angeshaungana na Mengi.Ni haki yake kurithi lakini ndio arithi 100% ya Mali kana kwamba hakuna watoto wengine?Wamachame mmekuwa wazembe Sana Siku hizi
Aah sema Jacky naye kazidi kama anataka asilimia zote
 
Back
Top Bottom