hahaha yani huyu Zandrano ndio mwenyewe kaja kujitetea hapa, ukitaka kujua ni Jacky just go and watch interview ya jacky na millard Ayo then uje usome hizo reply za zandrano and thank me later[emoji16], maneno like mume wangu , marehemu mume wangu, mume wangu, mjane, watoto wake etc yamejirudia in the same way but acts as a third part person is talking[emoji23].
Jacky
zandrano relax, ni kweli ulikua mke pia and you have children, lazima utapata haki yako tu ya kile unachostahili, too bad that you will never get everything you wanted , wacha kujichoresha cas you sound like golddigger now, the picture you arw showing us is telling us a lot of stories like watu mwishoe tuanze kuhisi you did something to him like maybe u killed him ili upate what you wanted na imeturn tofauti so unechanganyikiwa, cas you push too hard watu waamini wosia ambao haumake any sense, why do you want everything? ulimpenda Mengi au ulipenda mali zake? because for me now naona ulipenda mali zake and you wanted all of them badly, at least omba hata 50% basi umake sense.
Wosia umekaa kimaandazi sana, yani ukiusoma badala ukupe relaxation unakupa maswali yasiyo na majibu, wosia kwa maoni yangu ulikua wa kughushi, cas hata mahakama ilijiridhisha signature haikua ya Mengi, taarifa ya kuugua na kufariki kwake ni comfusion tupu, how tjings handles ni taflani, how you realesed wosia ni vichekesho, how you push it ni mshangao, ukiunganisha dots unapata majibu kuwa Jacky killed the man, jacky is gold digger, jacky kuna watu wanamdanganya , jacky etc
Just chill ili watu wasikuwazie vibaya please, you can do better than this, ridhika with what you are about to get, patana na familia ili uzidi kupata opportunities, do your things , do business whatever or hata hama hamia Kenya ili concentrate , bobgo bakisha som few things like people says you have appartments well and good cas utakua unaingiza pesa bado, hama kajijenge ili uepuke aibu ndogondogo na kubwa.
Thats all Jacky
zandrano [emoji4]