Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Na yeye mbona alikuwa hajafikiria watoto wa mumewe? Inamaana Mali zote atafute mengi na mkewe mkubwa afu bi mdogo ndo aje achukue Mali na familia yake, eti hata wasimamizi wawe ndugu wa klyn, kwahiyo marehemu yeye hakuwa na mtu hata mmoja wa upande wake?
Yani huyu K-Lynn anazidi kudhihirishia uma wa watanzania kuwa yeye ni Zwazwa! Hakunaga urithi wa namna hio aisee! Kwamba Mengi awasuse watoto wake wa damu aliofungua nao uzazi kisha ampe mali zote bi. mdogo?

Yeye analiona hilo ni jepesi tu kuwazulumu watu wazima wenye akili na exposure japo wanaweza kuwa na umri sawa nayeye!
 
ukiua kwa upanga? haya ni matokeo ya maisha aliyoishi na hao watoto wa marehemu pindi marehemu akiwa hai,

Yani apande ndulele avune mpunga? pia nafikiri kama ulifuatilia kesi vizuri, kuna viashiria dhahiri kabisa ambavyo vilionesha mjane aliandika wosia mwenyewe, sema watoto wa marehemu waliplay fair......

Pia watoto wa marehemu, wakiamua kumfungulia mashtaka ya kutoa taarifa za mgonjwa, bila ridhaa ya ukoo, pili kufoji wosia sidhani kama atatoka salama

sasa ajiandae mapema, akishindwa hii kesi itakuwa the worst kwake.
Sahizi wanamnyoosha mazima😅 inaonekana kashapata serengeti boy ameanza kumuwasha gari kuwa akomae apate mali
 
kwa hiyo ndio maana wamebatilisha Wosia wa marehemu?!
hiyo sio haki, maana wosia aliutoa marehemu na yeye alikuwa anajua fika kwa nini aliamua kufanya hivyo, kwa sababu tayari walishapata share yao.
Mahakama lazima iangalie huyu mjane anavyo nyanyasika kisa eti hakuchuma mali na marehemu.
kila siku tunalalamika kuwa wajane wanyanyaswa na ndugu wa marehemu, sasa hebu tazameni Jackline Mengi anavyo taabishwa na kuyumbishwa.
huu ni unyanyasaji
Mahakama imtendee Haki huyu mjane.
Mjane huyu changudoa.
Embu excuuse meee.
 
Huyu Mjane atendewe Haki.

Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!

Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!

Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.

lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Haki yake nini hapo? Amemkuta mzee wa watu kashatengeneza hela ,hujui watoto wakubwa wa huyo mzee wametoa support gani kwa baba yao halafu anatokea tu from no where anatokea mdangaji kwenda kutegesha k yake apokee mbegu ili arithishwe. Huyo mwanamke kwanza ana roho mbaya unadhani angetulia kwanza wale vijana wa mzee wangemtupa hivi hivi ? Ingawa hashindi hiyo kesi hata angeshinda wachaga wangemwua .
 
Baba yake si kamuachia urithi huko kigoma na burundi aende akaishi huko
 
Huyu Mjane atendewe Haki.

Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!

Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!

Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.

lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Alitafuta lini nanani hizo mali ni jasho la mke mkubwa na Mengi bibi atafute zake.
 
Haki yake nini hapo? Amemkuta mzee wa watu kashatengeneza hela ,hujui watoto wakubwa wa huyo mzee wametoa support gani kwa baba yao halafu anatokea tu from no where anatokea mdangaji kwenda kutegesha k yake apokee mbegu ili arithishwe. Huyo mwanamke kwanza ana roho mbaya unadhani angetulia kwanza wale vijana wa mzee wangemtupa hivi hivi ? Ingawa hashindi hiyo kesi hata angeshinda wachaga wangemwua .
Waache bhana,wajipe matumaini hewa
 
Huyu Mjane atendewe Haki.

Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!

Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!

Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.

lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Haki ya mme au mke inaanzia kwa kilichopatikana baada ya kuoana na si vinginevyo, familia inaanzia ukizaliwa ndani ya ndoa (ndoa ni wawili walioishi pamoja mfululizo kwa zaidi ya miaka miwili).
 
Yani huyu K-Lynn anazidi kudhihirishia uma wa watanzania kuwa yeye ni Zwazwa! Hakunaga urithi wa namna hio aisee! Kwamba Mengi awasuse watoto wake wa damu aliofungua nao uzazi kisha ampe mali zote bi. mdogo?

Yeye analiona hilo ni jepesi tu kuwazulumu watu wazima wenye akili na exposure japo wanaweza kuwa na umri sawa nayeye!
Anadhihirisha tamaa za waziwazi ambazo hajatumia akili kabisa, bora angejipea nusu na watoto wakubwa nusu kidogo ingepunguza maswali eti haoni aibu kabisa Mengi aandike msimamizi wa mali awe shemeji yake badala ya watoto alionao au ndugu zake
 
Salaam Wakuu,

Ile kesi iliyofunguliwa na Mjane wa Marehemu Ragnard Mengi, Jackline Mengi dhidi ya Mtoto wa Mengi na wenzake watano inataraji kuanza kusikilizwa katika mahakama ya rufaa mwishoni mwa mwezi huu.

Kesi hiyo ambayo ni marejeo namba 332/1/2021 iko mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Jacob Mwambegele.

Katika kesi ya marejeo Jackline Mengi anapinga maamuzi ya Mahakama Kuu yaliyobatilisha wosia wa Regnard Mengi. Pia, Jackline anapinga uteuzi wa Benjamini Mengi na mwenzie kama wasimamizi wa mirathi ya marehemu Regnard Mengi.

PIA, SOMA: Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

View attachment 1933053
huyu wakili kiherehere sana, namuona hata huku mahakamani anajikosha sana, okay pia mkoa anaotoka unachangia.
 
kwa hiyo ndio maana wamebatilisha Wosia wa marehemu?!
hiyo sio haki, maana wosia aliutoa marehemu na yeye alikuwa anajua fika kwa nini aliamua kufanya hivyo, kwa sababu tayari walishapata share yao.
Mahakama lazima iangalie huyu mjane anavyo nyanyasika kisa eti hakuchuma mali na marehemu.
kila siku tunalalamika kuwa wajane wanyanyaswa na ndugu wa marehemu, sasa hebu tazameni Jackline Mengi anavyo taabishwa na kuyumbishwa.
huu ni unyanyasaji
Mahakama imtendee Haki huyu mjane.
Imtendee Haki kwajasho lipi lililomtoka kwa iyo Mali anaopigania.

Uyo mwanamke Ni mbinafsi tu, Hana lolote.

Angekua timamu,
Angekua wa kwanza kubatilisha usia was mengi angalau awakumbuke na watotowake wengine.

Sio eti vile vipacha vyake TU vibebe kila kitu.
 
ukiua kwa upanga? haya ni matokeo ya maisha aliyoishi na hao watoto wa marehemu pindi marehemu akiwa hai,

Yani apande ndulele avune mpunga? pia nafikiri kama ulifuatilia kesi vizuri, kuna viashiria dhahiri kabisa ambavyo vilionesha mjane aliandika wosia mwenyewe, sema watoto wa marehemu waliplay fair......

Pia watoto wa marehemu, wakiamua kumfungulia mashtaka ya kutoa taarifa za mgonjwa, bila ridhaa ya ukoo, pili kufoji wosia sidhani kama atatoka salama

sasa ajiandae mapema, akishindwa hii kesi itakuwa the worst kwake.
Akishindwa,
Atakua keshatengeneza chuki ya kutosha na familia ya marehemu.
 
Ila Mengi naweza sema hakufikiria vyema kabisa. Kama kweli alidhamiria kumuachia Jacky na wanae wadogo mali angewamilikisha kisheria kabla hajafa.

Huwezi kuniambia na akili zake zote za biashara alishindwa ku-foresee hizi drama. Amemtakia matatizo tu huyu binti.
Mengi alishamuona uyu mwanamke Ni golddigger.

Na Mtu mhuni, dawa Ni kumfanyia uhuni TU na wewe[emoji2]

Mengi was very smart guy
 
Bora mzee Mengi alivyofanya kuliko angethubutu kumuandikisha kabisa watu kama wale ni hatari angeweza hata kumkimbia au hata kumdedisha mapema.
Kwanza Kuna viachilia kua mwanamke kamdedisha.

Suala la kugundulika sahii sio ya mzee linafikirisha,

Afu dkk za mwisho za marehem,
Kuna vitu kwny mahusiano yao vilikua vinaendelea Kama vile viko STAGED kuuhadaa umma wa watanzania.
 
Haki zipi ambazo hajapewa? Hali? Watoto wake lini wamelala na njaa? Je, hawasomeshwi? Akumbuke tu kuwa life haliwezi kuwa sawa na kipindi Mzee Mopao akiwa hai!

Wakati ule alikuwa untouchable kwa kivuli cha Mangi mkuu[emoji28] kama hakujiongeza alifikiri maisha ni kubadili mapochi na designer clothes Dubai na kwengineko duniani basi apambane na hali yake!

Amedanga kipumbavu wacha aisome namba!
KABISA[emoji106][emoji2]
 
Back
Top Bottom