Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Haki IPI?unaijua haki wewe?
Anapoteza muda tu hana haki yyt ya Mali alizozikuta!
Mjane mjane ,mjane awe klyn? Wajane unawajua wewe?
Kwani mjane si mke aliyefiwa na mumewe au kuna tafsiri nyingine? na huyo jakline si kafiwa na mumewe au walikua hawajafunga ndoa?
 
Ukiona hivyo hakutaka.... Kwanini hakutaka mimi na wewe hatujui. Ila naamini kabisa kuna vipo alivyopewa ambavyo havihusu hii familia nyingine.

Kapewa Magari yooote ya marehemu , nyumba kapewa na vitu walivyochuma na Marehemu sana sana nguo na pochi za LV

Watoto wakecwanasomeshwa International School of Tanganyika IPP wanalipa anataka nini tena
Child support anapewa kila mwezi na IPP , holiday package twice a year analipiwa kila kitu

Wakikua mali zao watazikuta, company mzee ameziacha na madeni ya kufa mtu yamesababishwa na yeye Kyln
 
Kama unawajua jinsi ya kutuma request waombe pls Mkuu tujue mbivu na mbichi

It is for sure alimuua Yule Mzee kwa Kua alikua ana will fake akajua ameshatoka kimaisha
Scotlandyard waliwaomba TP walichunguze saga la Lissu kushambuliwa kwa risasi ndani ya siku chache waharifu watawaweka hadharani TP walikataa
 
This is Family issue sidhani kama watakataa, serikali haiwezi ingilia hapa

Akitokea mtu serikalini akazuia Basi huyo ndio atakua nyuma ya kyln wana panga kutapeli wagawane
 
Kapewa Magari yooote ya marehemu , nyumba kapewa na vitu walivyochuma na Marehemu sana sana nguo na pochi za LV

Watoto wakecwanasomeshwa International School of Tanganyika IPP wanalipa anataka nini tena
Child support anapewa kila mwezi na IPP , holiday package twice a year analipiwa kila kitu

Wakikua mali zao watazikuta, company mzee ameziacha na madeni ya kufa mtu yamesababishwa na yeye Kyln
Wachaa
 
Kama unawajua jinsi ya kutuma request waombe pls Mkuu tujue mbivu na mbichi

It is for sure alimuua Yule Mzee kwa Kua alikua ana will fake akajua ameshatoka kimaisha
Una ushahid gan mimi? Miaka yote hiyo asimuuoe
 
Anagongwa na mzungu koko[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mzungu katulia anaishi nyumbani kwa Mzee Mengi Kinondoni, analalia kitanda cha Marehemu
yaaan kituko ndo shida yakuto kujipanga na kitegemea via vya uzazi kama viambatanisho kwenye mipango binafsi yamaaendeleo

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Kapewa Magari yooote ya marehemu , nyumba kapewa na vitu walivyochuma na Marehemu sana sana nguo na pochi za LV

Watoto wakecwanasomeshwa International School of Tanganyika IPP wanalipa anataka nini tena
Child support anapewa kila mwezi na IPP , holiday package twice a year analipiwa kila kitu

Wakikua mali zao watazikuta, company mzee ameziacha na madeni ya kufa mtu yamesababishwa na yeye Kyln
Ni Kampuni zipi hizo mzee mengi aliziacha na madeni ya kufa mtu Mimi.
 
kwa hiyo ndio maana wamebatilisha Wosia wa marehemu?!
hiyo sio haki, maana wosia aliutoa marehemu na yeye alikuwa anajua fika kwa nini aliamua kufanya hivyo, kwa sababu tayari walishapata share yao.
Mahakama lazima iangalie huyu mjane anavyo nyanyasika kisa eti hakuchuma mali na marehemu.
kila siku tunalalamika kuwa wajane wanyanyaswa na ndugu wa marehemu, sasa hebu tazameni Jackline Mengi anavyo taabishwa na kuyumbishwa.
huu ni unyanyasaji
Mahakama imtendee Haki huyu mjane.
Acha kukutea ujinga ndugu yangu
 
Kama unawajua jinsi ya kutuma request waombe pls Mkuu tujue mbivu na mbichi

It is for sure alimuua Yule Mzee kwa Kua alikua ana will fake akajua ameshatoka kimaisha
Akikomaa na hizo Mali zisizo muhusu

Wale watoto wa mzee wanawaweza fungua uchunguzi mzee alikufaje kufaje !?

Happy ndio atajuuuuuuta kuwafahamau(kwa sauti joti[emoji1])
 
Back
Top Bottom