Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Unajua sababu ya kufungua mirathi na usia anao? Je ndugu wangestuka baada ya siku tisini (90) kupita nini kingefuata? Hata hivyo ni vile huyu Mzee maarufu hivyo kila mtu alikuwa anafuatilia Kwa karibu kila kinachoendelea. Mkuu abda Mimi sijaelewa vizuri. Watu wamelizwa sana Kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh honestly siyajui ya nyuma ya pazia; ila yatajulikana tu
 
Iv Jackline akibaki na biashara yake ya Amorette na kuwaachia akina Abdiel mali za IPP atapungukiwa na nini??....Tatizo ana tamaa na mali ambazo hakuvuna! Anasingizia eti anapigania haki za watoto wake. Hakika watoto wakubwa wa Mengi hawawezi dhulum wadogo zao!


Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni roho za watutsi... Nawajua watutsi maana nimeishi nao Sana huko kigoma (manyovu) , ni watu wenye roho mbaya sana... Hupenda Mali kuliko chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira utarudishwa kwa kipa wanaanza upyaaa
Atubu kwa kumsainisha mzee Mengi wosia wa kishenzi kama ule, eti 'yeyote atakaepinga wosia huu mahakamani na kushinda apewe shs.1,000/=' si utapeli huo? Yaani mtu kashinda kesi halafu apewe 1,000/=, si ni jukumu la mahakama kusema nani apewe nini kwa na kwanini? Tapeli hilo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How?
Kampuni zote tanzu za IPP zina management (signatories/power of attorney, shares/MOU),,Mzee Mengi alikuwa kama CEO/Chairman hivyo masuala ya kifamilia hayapaswi kuingilia muundo wa kampuni otherwise stated to do so.
From shares za Mengi
Sasa anazo Jackie na watoto anaweza gawa/transfer ownership ya baadhi ya shares alizoachiwa ili kuwatuliza
Vinginevyo sijui kwa kweli
 
Hata kama ungekuwa wewe bro, imagine hustle ambazo watoto wamezifanya kuendeleza business za mdingi.

And then out of no where unakuja waraka wa hawatakiwi kupata chochote, anayetakiwa kupata ni outsider!

Ningekufa mimi au afe yeye. Alafu kitu hajui huyu anachezea pabaya acha tu niishie hapa maana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Iv Jackline akibaki na biashara yake ya Amorette na kuwaachia akina Abdiel mali za IPP atapungukiwa na nini??....Tatizo ana tamaa na mali ambazo hakuvuna! Anasingizia eti anapigania haki za watoto wake. Hakika watoto wakubwa wa Mengi hawawezi dhulum wadogo zao!


Sent using Jamii Forums mobile app
At the end atawaharibia wale madogo maana wataendelea na kinyongo kwamba mama enu alikua hivi nyie je?
 
Baadi ya ndugu wa mume wa mume wenye uroho wa mali utawaweza? Hata awape nini;bado watataka hadi na vijiko. Kama Mengi alifanya mgao kwa utashi wake; kila mtu apambane na hali yake aisee. Akisema awafurahishe ndugu wa mume; wale watoto tutawaona St Kayumba. Awape mali akijisikia tu kwa upendo wake binafsi; not to win over their hearts. Binadamu haturidhiki
Issue wote tunaijua
Ndugu wako moto mana dada kaja majuzi afu ndo ana ondoka na pesa nyingi zaidi..(kwa mujibu wa ule wosia ulosambaa mitandaoni)

Ingekua mi ndo Klyn/if i were her..ningewapa ndugu mali zaidi walau waone siko ktk familia kwa ajii ya mali tu bali undugu na kujenga familia..hasa wanae Mengi na ndugu uzao mmoja na Mengi mfano Kaka ake yule dada ake nk
Mana mali nimezikuta kwanini uumie sana wkt huja'sweat kuzitafuta kama wao/wanafamilia uliowakuta
 
Kama naona kwenye ki group chake (Nancy,Faraja,Sophia na Nasreen) wanavyompampu huku pembeni wana mzima...binadamu ndo walivyo hakuna anaependa mwenzake awe juu yake.
Ila huyu dada kabugi sana.
Mtu ambae hakua na lolote mjini zaidi ya uzuri wake akapata mwanaume wa kumstiri na kumpa maisha mazuri leo hii anajiona kazaliwa kwenye maisha mazuri anataka aende sawa na aliowakuta.Yani ni upopoma wa hali ya juu. Wachaga watamfurahisha sanaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom