Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Kwamba mzee Mengi alikuwa hawapi watoto wake wakubwa attention au tilitegemea agawe 50/50 ya his attention; impossible. Anyways; mambo yao ya ndani me siyajui. Tuwe tu honest Becky; Mengi as long as ni Mengi mwenye hela tuliyemjua; hata angeoa malaika; kilimchotokea Jacky kingemkuta tu na huyo mke. Hakuna mwanamke ambaye angeolewa na Mengi afu aonekane hajafuata mali.
Mambo ya ndugu wa mume hayajaanzia kwa Jacky; je tujiulize ndugu wa Mengi walimpokea Jacky kwa upendo? What if na wenyewe hawakumpokea Jacky vizuri so na yeye akaona awe busy tu na mumewe? Penda unapopendeka.
Usiongelee kuolewa mke wa pili au wa tatu; wale tu wa ndoa ya kwanza ni wangapi wanaishi kwa upendo genuine na familia za mume zao?
kama wewe ndio K-ylin ungeona unapewa tu wewe attention wewe na wanao,ungefight kuhakikisha Mzee anakuwa na muda wa familia yake hio 'ingine', this resentiment doesn't stem from nowhere kuna mahali kuna source ..hukuwa include na pengine ulikuwa unawaletea nyodo wakati baba yao yuko hai, hawataamini kama utawainclude kwa lolote baba yao mfu...hii vita ni kali mno.......................
HILI la kumpokea Jacky kwa upendo,mkuu unayaibua mengine,nasema hapana sio la ndugu ni la Jack,yeye ndio kama intruder kwenye familia..hivyo alipaswa atambue wajibu wake..yeye ndio anaenda kuwa mama kwa 'watoto' wa familia..hii responsibility aliikubali mwenyewe alipoamua kuwa na Mengi,sababu alijua Mengi ana watoto,hivyo kama yeye ana his best intrest in her heart asingekua selfish nae...natambua ni ngumu kidogo 'intruder' kuwa accepted into one's family..ila wengi wana success stories..mkiheshimiana na kupendana haya mambo ya kudhalilishana hayatakuwepo.....