Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Sio vizuri kuhukumu vitu ambavyo hatuvijui mgogoro uliopo ni mkubwa sana inavyoonekana, na aliyekosea ni mzee Mengi kushindwa kutumia busara lile aliloacha ni bomuKwenye hilo boma la Mercy yeye ametaka umiliki au ameenda tu kumtembelea marehemu mumewe? Kumake peace na familia inategemea na familia yenyewe kama inataka amani kweli na katika mazingira/conditions ambazo hazimkandamizi Jacky. Tunajua Afrika na uroho wa mali; wanatamani Jacky awaachie kila kitu; afu watoto wake waishije kwa mfano? Shameeeeee
Kyline anahaki ya kupewa hizo mali, lakin Mengi angetakiwa abalance pande zote mbili, na wasipokaa wakakubaliana nje ya mahakama ili fukuto litaendelea sana
Masuala ya familia Yana nguvu sana sio ya kuupuuzia aongee na wazee wayamalize na sio kwenda mtandaoni