Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How?Ni mtihani kwa kweli
klyn walau awagawie katika vile alivyoachiwa na mzee pia
Yaonekana ye ndo ana mali nyingi zaidi
Hatari Sana mkuu
Ile haijaandikwa nani. Ila ya pale karibu na Ubalozi wa Korea/ Japan ndio kapewa huyo dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Very Good.Nyie hamjui maswala ya kifamilia yalivyo magumu kudeal nayo...hapa huwezi jua mwema anayenyanyaswa au anayenyanyasa...
Ni magumu saana....matatizo mengi tuwaachieni wanaohusika nayo maana wanajua mwanzo wa stori hadi mwisho...huku nje utasema usiyoyajua...
Mbona una hukumu kabila lote!!Watanzania bado Kama bado roho mbaya ,chuki na mihemko watu hamfikirii hata wale malaika watoto wadogo mnajenga chuki matabaka,
Kwani mke halali kurithi Mali za marehemu kwa ajili ya watoto shida iko wap? Mnajua kavumilia mangapi mpaka mzee kufia mikononi mwake mbona asifie kwengine ??
Too bad kwa watoto !!
Wamachame kwa hili tumekwama sana!! Regina hajazaa hajui hata kulea wala uchungu huyu ukijumlisha na sumu waliochiwa na mama yao ! Muamuzi wa hii vita sijui ni nani?????
Take a heart mama yatapita I can imagine familia & ukoo mzima tena koo mbili ya mama mercy na mengi against mtu mmoja Jack!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Still nitasema sijui.Very Good.
Swali linakuja why kutumia mitandao kutatua/kuelezea masuala ya familia?
Kama ameshindwa kuwatafuta watu wenye heshima ktk jamii na kushare nao jambo hilo basi nina wasiwasi anashida kidogo,twitter haiwezi kumsaidia au anatafuta simpathy kwa watu.......Mengi alikuwa nimtu mwenye watu wengi sana wangemsaidia kusolveAliyewahi kuwa Mwanamuziki Nchini na ambaye ni mke wa Marehemu Regnald Mengi, Jacqueline Mengi maarufu kama K-Lyinn amedai kuzuiwa kuingia kwenye kaburi la mumewe, Reginald Mengi
Bila kusema ni nani anaowazungumzia, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter ameandika “Nimenyamaza kwa mengi sana tu. Mmefikia hatua ya kunizuia mimi na wanangu kuingia kwenye kaburi la mume wangu.”
Ameendela na kuandika “Tunafukuzwa eti mpaka tuombe ruhusa ya kuingia kwenye kaburi la mume na Baba wa watoto wangu. Nimechoka, sitakubali kuendelea kuona wanangu wakisononeka na sitakaa kimya.”
Reginald Mengi ambaye alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP alifariki dunia Mei 2, 2019 na kuacha mke (Jacqueline Mengi) na watoto wanne ambao ni Regina, Abdiel, Jayde na Ryan. Watoto hao amezaa na Mercy Mengi pamoja Jackline Mengi
View attachment 1365926
BAADHI YA MAONI YA WADAU:
View attachment 1365927
View attachment 1365928
View attachment 1365929
View attachment 1365930
View attachment 1365931
View attachment 1365932
Wanamnyanyasa mjane na watoto yatima!!!
Hawajui Mungu alishakataza hayo.
Watoto yatima? Jack katweet akiwa kaburini?Wanamnyanyasa mjane na watoto yatima!!!
Hawajui Mungu alishakataza hayo.
Mbona una hukumu kabila lote!!
Hili jambo sio jema sababu watoto kama ni wa Mengi wana haki zote za kufika kwao na kuona kaburi la Baba yao!
Wanatakiwa kujuwa watoto wa jack ni ndugu zao hakuna njia ya kukwepa!!
Nyendo!
Still nitasema sijui.
Labda symphathy...au kajaribu kwengine kashindwa hivyo anaona kwasababu ni familia inayofahamika itasaidia.
-Labda pia alikurupuka kwasababu ya hasira za ghafla.
-Labda pia hawampi attention media ndiyo njia pekee.
-Labda hajiheshimu na haheshimu masuala ya familia.
Sijui kwanini......
Nimependa ulivyojibu "sijui" that is very good approach.Still nitasema sijui.
Labda symphathy...au kajaribu kwengine kashindwa hivyo anaona kwasababu ni familia inayofahamika itasaidia.
-Labda pia alikurupuka kwasababu ya hasira za ghafla.
-Labda pia hawampi attention media ndiyo njia pekee.
-Labda hajiheshimu na haheshimu masuala ya familia.
Sijui kwanini......