Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Wajane wengi hulalamika kudhulumiwa mirathi, ajabu dada analilia kutembelea kaburi
Sijui hata imekuwaje tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yamegoma, kaambiwa kwa mila za kichaga anatakiwa aende kaburini akatambike, wazee wameliona hilo.

Kosa kubwa sana aliofanya huyo ni kuruhusu Dr Mengi azikwe Machame
Wazee wakifanya yao, huyo dada ataishia kupata uchizi
 
Mbona hawakumzuia kufunga naye ndoa, kuishi naye na kuzaa naye?
Aliyeoa ni Mengi au hao ndugu? Njaa na tamaa zinatumaliza waAfrika, tunaomba mtu afe ili tugawane mali.
Mimi nadhani mwenye njaa ni yeye aliyekimbilia kuolewa na Babu yake ili akifa aanze vurugu za kudai Mali aliyoikuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma,
Alichowakosea kinajulikana kwenye ule wosia.
Hapo ndo kwanza watoto wakubwa wameanzisha muziki intro, ikifika muda wa sebene si atajamba huyu bosslady.

Ule wosia umendikwa na Jackline?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ukiwa na frustrations harafu ukaanzaa kutupia kilevi, zima simu/computer haraka na tupia mbali huko maana hukawii kuingia social media na kuanza kumwaga utumbo. Mambo mengine sio ya kuyaweka Twitter.
 
Nasema hivi, wachaga watamnyoosha huyu, sbb hana adabu yeye anajua kaenda kuchuma fedha kwa mzee late Mengi, angetulia walau apate huruma ya familia ya Mengi, yeye bado analeta kiburi, ujuaji, dharau alafu anajiona ndio mwenye haki yote ya Mengi, of which yeye alienda short time tu kudanga, hapo lazima atanyooshwa, nilijua kwa uhakika atapata tabu sana, sbb issue kama yake hata mahakama haiwezi kupata suluhu. Opportunists watu wabaya sana.

Hakuna cha huruma wala nini mbona hamkumfundisha adabu baba yenu akiwa hai mpaka mmesubiri amekufa? Mliogopa nini? This time ninyi wachagga ndio mtafunzwa kutii sheria bila shuruti maana kila kitu kiko wazi na Jaq sio mgawa mali ...

Kama ni mahakamani hamtoweza kushinda kamwe na ambacho mtafanikiwa ni kuua mali zote za Mengi alizozitafuta muda mrefu na akamchagua Jack kula nae....

Kampuni za mengi zitakufa zote kama hamto tafuta suluhu...


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huyu kakosa Adabu hayo ya Twitter ya nini? Jirani pale Kule mzee Munisi kajaa na busara mpaka zina mwagika, Kuna mzee Lema hapo hapo Nkuu kuna mzee Ngatara , Epafra na Swai lakini hawataki ila Twita.
Suluhisho tafuta wazee wa pale pale lakini baada ya shauri la mahakamani kuisha na kuwaeleza dukuduku lako lote. Sisi ni washabiki lakini hatuna msaada wa uhakika.
 
Watanzania bado Kama bado roho mbaya ,chuki na mihemko watu hamfikirii hata wale malaika watoto wadogo mnajenga chuki matabaka,

Kwani mke halali kurithi Mali za marehemu kwa ajili ya watoto shida iko wap? Mnajua kavumilia mangapi mpaka mzee kufia mikononi mwake mbona asifie kwengine ??

Too bad kwa watoto !!

Wamachame kwa hili tumekwama sana!! Regina hajazaa hajui hata kulea wala uchungu huyu ukijumlisha na sumu waliochiwa na mama yao ! Muamuzi wa hii vita sijui ni nani?????

Take a heart mama yatapita I can imagine familia & ukoo mzima tena koo mbili ya mama mercy na mengi against mtu mmoja Jack!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kifamilia hayasolviki kimtandao na wala masuala ya Kampuni/biashara hayasolviki kwa kutumia masuala ya kifamilia.

Atulie biashara ziendelee apate stahiki zake kama na kama kuna jambo la kifamilia,familia yake na ile ya Marehemu Mzee Mengi wakae wasolve.
Over...
 
Back
Top Bottom