Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Yesu na maria inamaana na kukaakote na babu hakuwasoma wamafilist wa kimachame ...asee na kweli wata muonyeshaa moto na wala sishangai hilo saga wanalo mchezea.

apambane tu aisee na mshauri afanye tu mambo yakee aachane nao na asitafute kiki maana mziki wao hawa watu hatauwezaaa aisee.

wanaa roho za ajabuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vifo vya matajiri acha tu


Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo matajiri tu! Ndoa ione Hivi hivi. Ndoa si ya watu wawili tu, ni ya ukoo mzima ndo maana kuna harusi. Jambo la pili, ni kuwa siku hizi hasa nyie dot com napenda kupuuza upande wa kiumeni! Unapoupuuza omba kwa mungu wewe mwanamke utangulie,

akitangulia mwanaume na hasa akiwa ni head of household ndugu za mumeo wanakurudi regardless of wosia. Hata kama ilikuwa ndoa ya mke mmoja tu. Jambo la kujifunza ni wake zetu kuhakikisha wanajenga urafiki na upande wa kiume. Michepuko au wala mbivu, ukifumba macho tu, mateso ni mengi kwao na watoto
 
Back
Top Bottom