Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Huyu nishaona Ana tatizo tuanzie kwanza na marafiki zake wanaomzunguka wapo je wana hekima wana busara ? Manake ukitaka kumjua mtu alivyo angalia marafiki waliomzunguka
Kuna kitu sio kawaida jambo kama hili,huyu bibie si ana wanasheria wake wao ndio wangemshauri vizuri, huku mitandaoni anapoteza muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Mzee si aliweka kila kitu wazi kuhusu Mali? Sasa ugomvi wa nini? Wanagombania kaburi tu au kuna mengine?
 
Nasema hivi, wachaga watamnyoosha huyu, sababu hana adabu yeye anajua kaenda kuchuma fedha kwa mzee late Mengi, angetulia walau apate huruma ya familia ya Mengi, yeye bado analeta kiburi, ujuaji, dharau.

Halafu anajiona ndio mwenye haki yote ya Mengi, of which yeye alienda short time tu kudanga, hapo lazima atanyooshwa, nilijua kwa uhakika atapata tabu sana, sbb issue kama yake hata mahakama haiwezi kupata suluhu. Opportunists watu wabaya sana.
 
Back
Top Bottom