Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Kuna kitu sio kawaida jambo kama hili,huyu bibie si anawanasheria wake wao ndio wangemshauri vizuri,huku mitandaoni anapoteza muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua huyu anahela lakini akili hana. Wanasheria watamlia hela and she might never win....she never laid her plans well now upande mwingine watacheza na loophole alizoacha.

Hajui Kula na kipofu she was too greedy and she might loose it all.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funzo akiii.

Yeye kuolewa na baba yake jamani(najua kuna wataonipiga mawe).

Kwani kaburi kina nini jamani ,yaani mimi ningefurahi kwani sitakumbushwa machungu kwa kweli.

Kumfufua siwezi sasa mtu anekunyima sijui watoto ndio ujue mama nyumba za watu ngumu dada hasa ukimkuta alikuwa na watoto wengine wakubwa ukiolewa nae mjiandae kisaikologia kwa chochote. Tena mbona bado mpaka jamii watakusulubu
 
Inauma sana kukataliwa kuona kaburi la baba yako na majina yanafana na mama wakambo.

Licha ya yote sasa hivi duniani kuna mkombozi

The world needs Michael Bloomberg let us all support him. Paza sauti popote ulipo duniani MICHAEL BLOOMBERG
 
Tatizo wewe husemi umewakosea nini ?Wao sio wajinga kukuzuia. Jack mdangaji hodari. Kwani ukienda kwenye kaburi ndo atafufuka ?

Kwani kuna kosa gani yeye kwenda kwenye kaburi la mumewe? Huyo Mengi hakujua kuwa ameoa mdangaji? Hivi angelikuwa ni mama yako ungeliandika haya au kwa sababu uko nyuma ya key board! Sisi hatuhitaji kujua amewakosea nini lakini wanachofanya ni cha kishamba! Kama ni mali ni Mengi mwenyewe akiwa hai alimpa !

Regina lazima ajue hatoweza kufaidi hizi mali kwa njia maana hata baba yake uko alipo awezi furahi lazima wajeu wataua kampuni zote za baba yao na hakuna atakaye kula hizo hela kama hawato tafuta muafaka!


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
njinjo, Tukisema haya wanatutukana sana. Ndoa sio ya mume na mke na viongozi wa dini. Ndoa ni mume kuoa na kuleta ndani ya ukoo ili kuendeleza kizazi. Upuuzi wa kisasa ndio chanzo cha yote haya. Mwanamume ana jukumu la kusimamia mwendelezo wa ukoo, sio kuanzisha ukoo moya wa yeye na mkewe.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
"Nimenyamaza kwa mengi sana tu, mmefikia hatua ya kunizuia mimi na Wanangu kuingia kwenye kaburi la Mume wangu, tunafukuzwa eti mpaka tuombe ruhusa ya kuingia kwenye kaburi la Mume na Baba wa Watoto wangu!, nimechoka, sitakubali kuendelea kuona Wanangu wakisononeka na sitakaa kimya"-Jacqueline Mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom