Mambo yamegoma, kaambiwa kwa mila za kichaga anatakiwa aende kaburini akatambike, wazee wameliona hilo.Wajane wengi hulalamika kudhulumiwa mirathi, ajabu dada analilia kutembelea kaburi
Sijui hata imekuwaje tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa sana aliofanya huyo ni kuruhusu Dr Mengi azikwe Machame
Wazee wakifanya yao, huyo dada ataishia kupata uchizi