Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Mmmh honestly siyajui ya nyuma ya pazia; ila yatajulikana tuUnajua sababu ya kufungua mirathi na usia anao? Je ndugu wangestuka baada ya siku tisini (90) kupita nini kingefuata? Hata hivyo ni vile huyu Mzee maarufu hivyo kila mtu alikuwa anafuatilia Kwa karibu kila kinachoendelea. Mkuu abda Mimi sijaelewa vizuri. Watu wamelizwa sana Kwa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni roho za watutsi... Nawajua watutsi maana nimeishi nao Sana huko kigoma (manyovu) , ni watu wenye roho mbaya sana... Hupenda Mali kuliko chochoteIv Jackline akibaki na biashara yake ya Amorette na kuwaachia akina Abdiel mali za IPP atapungukiwa na nini??....Tatizo ana tamaa na mali ambazo hakuvuna! Anasingizia eti anapigania haki za watoto wake. Hakika watoto wakubwa wa Mengi hawawezi dhulum wadogo zao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atubu kwa kumsainisha mzee Mengi wosia wa kishenzi kama ule, eti 'yeyote atakaepinga wosia huu mahakamani na kushinda apewe shs.1,000/=' si utapeli huo? Yaani mtu kashinda kesi halafu apewe 1,000/=, si ni jukumu la mahakama kusema nani apewe nini kwa na kwanini? Tapeli hilo..
From shares za MengiHow?
Kampuni zote tanzu za IPP zina management (signatories/power of attorney, shares/MOU),,Mzee Mengi alikuwa kama CEO/Chairman hivyo masuala ya kifamilia hayapaswi kuingilia muundo wa kampuni otherwise stated to do so.
Hahaha kwa kweli maisha hayana SI UnitNdio hivyo ndugu,maisha hayatabiriki,unakaa na mke mmoja huna amani,unamuona mwenzako na wake zake watatu na ana furaha tele...
Lazaro Nyalandu, dr Janabi ( mume wa Sophia Byanaku) Luka ( mume wa Nancy Sumari)
Wajiandae wajifunze kupitia hili sakata la Mzee Mengi maana hao wote ni Waume za watu na wana watoto wakubwa tu kutoka kwenye ndoa zao za kwanza
Hata kama ungekuwa wewe bro, imagine hustle ambazo watoto wamezifanya kuendeleza business za mdingi.
And then out of no where unakuja waraka wa hawatakiwi kupata chochote, anayetakiwa kupata ni outsider!
At the end atawaharibia wale madogo maana wataendelea na kinyongo kwamba mama enu alikua hivi nyie je?Iv Jackline akibaki na biashara yake ya Amorette na kuwaachia akina Abdiel mali za IPP atapungukiwa na nini??....Tatizo ana tamaa na mali ambazo hakuvuna! Anasingizia eti anapigania haki za watoto wake. Hakika watoto wakubwa wa Mengi hawawezi dhulum wadogo zao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue wote tunaijuaBaadi ya ndugu wa mume wa mume wenye uroho wa mali utawaweza? Hata awape nini;bado watataka hadi na vijiko. Kama Mengi alifanya mgao kwa utashi wake; kila mtu apambane na hali yake aisee. Akisema awafurahishe ndugu wa mume; wale watoto tutawaona St Kayumba. Awape mali akijisikia tu kwa upendo wake binafsi; not to win over their hearts. Binadamu haturidhiki
Wapi umeitwa Fala ?? Hebu nionesheKumbe kahaba, fala, sijui mdangaji ni maneno ya kawaida kwako? Huwezi kucomment kawaida bila kutoa lugha chafu; tunagombana mimi na wewe; i mean una ugomvi na mimi?
Nyalandu? ni ex mume wa nani?
She is a consummate gold digger without any sense of human being.Anapambana vita asiyoiweza, kama angekubali kula na wenziye haya yasingemkuta.
Tujifunze methali za "Mtaka yote kwa pupa...!"
Indeed. Yaan anamtetea kwa nguvu zote halafu wala hayuko detailed kabisa na jack.pendomamtefu, Huyo heaven sent ni dangaji linalojua kuuunga maneno ya kiingereza basi anajiona anajua kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi umeitwa Fala ?? Hebu nioneshe
Ukiitwa mdanganji ni lugha chafu??
Oneni hili jitu jamani eti kahaba Ni lugha chafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Una hekima,unaweza kuzuia hasira Ubarikiwe mpendwa.Ndugu tukana weee; mimi hata sitokujibu wala kuwa affected. Kunywa maji; relax
I keep thinking kwamba labda baharia Rodney Mutie angekuwepo angeweza kuisaidia hii familia isijiadhiri hivi.
Tatizo kaondoka kabla hata ya baba yake.
RIP Rodney.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa bahariambona umemuita baharia ? alikuwa ni mtu wa aina gani ?
Sent from my iPhone using JamiiForums