Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Indeed. Yaan anamtetea kwa nguvu zote halafu wala hayuko detailed kabisa na jack.

Kila analojuzwa hapa anaishia kushangaa.

Hajui hata ni aina gani za watu wanaomzunguka jacky.

Probably ameguswa maslahi yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Gal: stay in your lane. Tukubaliane kutokukubaliana kama watu wenye ufahamu na akili njema; kwa amani kabisa. Since hunijui do yourself some favor and stop making assumptions about me or my family/parents. Haitokupunguzia kitu; so far ni maisha ya watu ambao hawatusaidiii chochote na tunawasoma tu kwenye vyombo vya habari; majority tunacomment based on what tumekisikia; wanaojua ukweli ni wenyewe huko.
 
Nyalandu Ana watoto wakubwa amezaa zaa hovyo kabla ya faraja , sina uhakika kama alifunga ndoa na mama zao

Muhimuna na yeye ajifunze kupitia Mengi kwa hao watoto wake wakubwa

Faa ni mke wa kwanza wa Nyalandu, alitaka kumuoa binti mmoja anaitwa Sarah ikashindikana, akataka kumuoa binti mmoja wa kinyakyusa pia ikashindikana, akaja faa kwa picha akaolewa, May be kuwa na watoto nje na si mke.
 
Haya masuala msiyachukulie powa. Huyo Jack anajuwa aloyafanya kwa mzee Mengi na uhuni alioucheza na wanasheria "fake" ili aweze kujimilikisha Mali ya marehemu. Mengi hakuwa mpumbavu alipenda kila mwanafamilia yake apate urithi wake.huyo mwanamke tamaa zitamponza.
 
Waafrika aloturoga kafa!!
Hivi kuna mtu mwenye uchungu na watoto wa mtu kuliko mama yao mzazi!! Ni wangapi tumeshuhudia baada ya baba kufa na ndugu kung'ang'ania mali watoto walivyobaki wakiteseka!!
Cha ajabu utakuta kuna mwanamke anashadadia Jacky kunyimwa mali as if atapewa yeye hizo mali[emoji57]

Gold digger my foot!!! Kwani Mengi alikuwa mtoto au hakuwa na akili hadi akaamua kumuoa Jacky?
Hivi ni nani anapenda ufukara hapa duniani, au kwakuwa tunapambana na kajamba nani wetu basi ni wivu tu!! Roho za kimasikini zitatumaliza walah!
 
Haki kuna vitu unashindwa hadi kushangaa; mijadala tu ya kawaida ambayo mnaweza mkakubaliana kutokukubaliana kwa amani; mtu anatamani hata akurushie ngumi nyuma ya keyboard. I'm grateful for this grace kwa kweli
Kifupi humu kuna ndugu,marafiki wa karibu wa Mengi pia upande jack wapo ukifatilia comments utagundua maana si kwa povu hili.
 
Nikwambie majority ya wamachame wanamapungufu yao Sana ikitokea ameoa mkabila alafu kukawa na vihela then ikatokea matatizo kama haya aloo moto unawaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Adi vikao vya ukoo vitakapo kwisha ndio hayo matatizo yata kwisha !
Maana kwenye vikao ndio utasikia unaachaje ndugu yako aibiwe apo ndio Mashangazi na Wajomba na Mabinamu wanapo pandisha Mzuka aisee haiwezekani
Ndeyakaa pigana pigana pesa ni yako iyooo 😂😂😂
 
Haya mambo yapo Africa tu

Celine Dione alifiwa na mume wake Tena Amemzidi age mbali tu kama Mzee mengi
Lakini huwezi ona Celine Dione akitumia media kudai mali za mumewe au mambo ya kwenda makaburini

Africa tuna safari ndefu sana
Wanaodai mali ni watoto wa Mengi ndugu yangu, sio ndugu!.. Mengi ana watoto 4, watoto wawili wakubwa ni wa mke mkubwa na watoto wawili wadogo ni wa mke mdogo.. Waliokuwa wanasimamia mali za marehemu mfano ITV, Kiwanda cha soda (bonite) nk, ni watoto wakubwa!.. Sasa changamoto inakuja baada ya mengi kufariki wosia umetoka hao watoto wakubwa waliokuwa wanasimamia mali za baba yao hawatakiwi kupewa chochote, mali zote unazozijua za Mengi wamepewa watoto wadogo na mke mdogo wa Mengi, kibaya zaidi wosia unasema hata wakienda mahakamani na kushinda kesi, watalipwa sh 1000... Sasa swali ninalotaka kukuuliza ni hili!.. Wewe ungekuwa miongoni mwa wale watoto wakubwa wa mengi ambao mpaka sasa ndio wanaosimamia sehemu kubwa ya mali ya baba yao ungekubali kuondoka na kwenda kuanza maisha upya huku ukiwa masikini huna chochote.. Kumbuka kuwa hao watoto wakubwa wa Mengi hawana nia ya kuchukua mali yote, wao wanataka mali ya baba yao igawanywe kwa watoto wote yaani wao na wale wadogo.. Hata kaka yake Mengi alihojiwa akasema wao kama ndugu wa damu wa Mengi hawataki mali yoyote ila wanataka na watoto wa mke mkubwa wapewe urithi!.. Tatizo mke mdogo hataki watoto wakubwa wapate chochote isipokuwa wale wadogo wa kwake tu!. Kumbuka watoto wadogo wa Mengi ni wadogo sana (kati ya miaka 6), hiyo inamaanisha mali zoooote za mzee zitakuwa za mke mdogo mpaka watoto wake watakapokuwa!.. Sasa wewe huwezi kujiuliza kama huyu mkr mdogo angekubali hawa watoto wakubwa nao wapate chochote angepata hasara gani?.. Wanawake mnapoolewa pendeni watoto wote wa mme, sio kupenda wa kwako tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona umemuita baharia ? alikuwa ni mtu wa aina gani ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Tumeruka naye sana Reggae, alikuwa mtu poa sana katika kujimix na watu. Rodney mnaweza kukaa naye ki grocery local Mwenge anajimix vizuri, na kwenye crowd za Masaki anajimix.

Alikuwa si mtu wa kujimwambafy "mimi mtoto wa Mengi", to the contrary alikuwa hataki kujulikana hivyo. Business skills zake tulikuwa tunaona kabisa Mzee Mengi amemuandaa vizuri.

Alisaidia sana muziki wa vijana uthaminiwe upigwe East Africa FM.

Alivyofariki Jay-Moe alimuandikia wimbo mzuri sana "Tutakukumbuka" wa tribute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi unakatabia ka huyu mdada mama!
 
Huko twitter ndio utapata suluhisho?Unazidi kuweka petrol kwenye moto uliokwisha waka!
 
Hebu nenda huko.
U should have stayed in your lane before maana shobo ulianza wewe. U are the one forcing us tuwe ama tufikirie sawa na wewe.
Get out.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
From shares za Mengi
Sasa anazo Jackie na watoto anaweza gawa/transfer ownership ya baadhi ya shares alizoachiwa ili kuwatuliza
Vinginevyo sijui kwa kweli
"Sijui" ndio jibu zuri.
Na kama kuna any issue regarding the Shares wenye kufahamu ni BLERA na watafahamu tu iwapo marehemu Mzee Mengi alidiclea to do so kwenye shares zake.
 
Pole sana dada yangu Jacqueline N. Mengi

Mungu hajawahi kumtupa mja wake.
Nakutakia kila la kheri katika kumtanguliza yeye mwenye nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…