Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Indeed. Yaan anamtetea kwa nguvu zote halafu wala hayuko detailed kabisa na jack.
Kila analojuzwa hapa anaishia kushangaa.
Hajui hata ni aina gani za watu wanaomzunguka jacky.
Probably ameguswa maslahi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Gal: stay in your lane. Tukubaliane kutokukubaliana kama watu wenye ufahamu na akili njema; kwa amani kabisa. Since hunijui do yourself some favor and stop making assumptions about me or my family/parents. Haitokupunguzia kitu; so far ni maisha ya watu ambao hawatusaidiii chochote na tunawasoma tu kwenye vyombo vya habari; majority tunacomment based on what tumekisikia; wanaojua ukweli ni wenyewe huko.