Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali


Hili ndio linaweza likaleta amani na kuokoa na kutatua huu mgogoro
Huu mgogoro utatatuliwa nje ya mahakama
 
Social climber fighting for the wealth she has never created. Hana busara kabisa huyu.

Amechangia sana tuu kwenye hizo mali na mahakama inatambua kabisa ! Alivyokuwa ana mfulia marehemu na kumpa penzi hayo yote yalileta mali nyumbani
 
Inauma sana kukataliwa kuona kaburi la baba yako na majina yanafana na mama wakambo.

Licha ya yote sasa hivi duniani kuna mkombozi

The world needs Michael Bloomberg let us all support him. Paza sauti popote ulipo duniani MICHAEL BLOOMBERG
Sijui umeongea vitu gani hapa na wewe kama sio kutuchanganya wenzako tunaokatazwa kuhiji kaburi la shemeji mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu malaya moto anaojaribu kuuwasha hatoweza kuuzima


Sent from my iPhone using JamiiForums

Huyo “malaya” ndio alipendwa na marehemu
Kuliko watakatifu wote unao wajua! Na alipokuwa hai marehemu wote tulimuheshimu huyo so called “malaya” ni vyema tuendelee kumuheshimu mke wa baba yetu maana kumchukia na kumfanyia vituko hakuto leta wosia mpya
 

Hahahaha ujue humu Jf kuna watu mna mitambo ya kuchakata uongo aiseee hivi ulikuwepo wakati ana mkaba hilo koo?

Sasa baada ya kukabwa koo Mengi ali report kituo gani cha polisi?
 
Kwani amekuahidi nini?Sio kwa kumtetea huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…