Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Acha wivu hebu msaidieni huyo mjane we mangi jaribu kuvaa kiatu chake mkeo asumbuke na watoto wakati haupo mazee utafil aje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu hebu msaidieni huyo mjane we mangi jaribu kuvaa kiatu chake mkeo asumbuke na watoto wakati haupo mazee utafil aje?
Ujambazi wake uko wapi?Ujambazi si lazima ushike siraha. Huyu kenge wa blue ni jambazI sugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Social climber fighting for the wealth she has never created. Hana busara kabisa huyu.
Jamaa kila comment ya mwanamke anaepingwa humu anaingia Kati kutoa simpathy ili aonewe huruma , -UDomo zege ni janga Kama nzige kwakweli.Hahaha...nyie watu wa huu uzi bhana.
Jamaa udomo zege kashindwa kumkatia nani tena?
Huu Uzi kiboko!
Ila nilichogundua Da Jacky hapendwi, kuanzia kwa Millard Ayo, Carrymastory, Mega, jf na msumari wa mwisho kwa Rachel Temu
Sent using Jamii Forums mobile app
She has one head msamehe tu hahahshUlivoandikaga ile thread yako ya "guys be like.." nilikuona ww ni mdada mwenye akili, ila kwa comments ulizo-post kwenye hii thread, nimekushusha vyeo Heaven Sent
Wazee Wa heshima wenye hekima na busara waitishe pande mbili za hii familia wakae nao wayamalize kifamilia kwa heshima ya Mzee Mengi.
Pande mbili hizi haziko na hali nzuri hivyo hekima na busara yapaswa kutumika kuwaweka kwenye harmony..
Haya mambo si mageni yapo familia nyingi ni vile status zinatofautiana tu
Mungu awasaidie tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujambazi si lazima ushike siraha. Huyu kenge wa blue ni jambazI sugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa hapo ni binafsi. Hakutumia akili kabisa. Hajui kula na kipofu. Hakuna ukoo wa Mengi utakubaliana na Ile will I.e family fortune. Haiwezekani. Atahangaika sana.Karithishwa na mume mazee
Kama ni kosa basi analo alomrithisha
Social climber fighting for the wealth she has never created. Hana busara kabisa huyu.
Suluhisho hapa,ni mali zirudi kwa watoto tu...wazazi(watu wazima) wawe wasimamizi tu;nadhani wakikaa kiukoo/familia tatizo litaisha
Sijui umeongea vitu gani hapa na wewe kama sio kutuchanganya wenzako tunaokatazwa kuhiji kaburi la shemeji mengiInauma sana kukataliwa kuona kaburi la baba yako na majina yanafana na mama wakambo.
Licha ya yote sasa hivi duniani kuna mkombozi
The world needs Michael Bloomberg let us all support him. Paza sauti popote ulipo duniani MICHAEL BLOOMBERG
Huyu malaya moto anaojaribu kuuwasha hatoweza kuuzima
Sent from my iPhone using JamiiForums
TabularasaNdio wale wale huyo, ujuaji mwiiingi kumbe Hana analojua. Tabulasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una ushahidi? Wenzio wameenda mahakamani nenda kawasaidie washinde case
Huyu mwanamke mshenzi sana,ameiba mume wa mtu akamkaba koo hadi akafunga ndoa kwa lazma,akafanya mafyekeche mzee wa watu akaumwa,akaandaa wosia wa kinyama na kumfosi mzee asaini katika hali ya ugonjwa bila kujitambua na kuwanyima haki wanae wakubwa ambao wameshiriki kwa asilimia kubwa mafanikio ya kampuni za baba,mwisho wa siku anamdedisha kwa tamaa ya mali halafu anataka wachaga wamchekee tu? Kunguru kweli huyu malaya,isipokua mapacha wake hawana hatia kwa ufala wa mama yao!!
Kwani amekuahidi nini?Sio kwa kumtetea hukuHuyo “malaya” ndio alipendwa na marehemu
Kuliko watakatifu wote unao wajua! Na alipokuwa hai marehemu wote tulimuheshimu huyo so called “malaya” ni vyema tuendelee kumuheshimu mke wa baba yetu maana kumchukia na kumfanyia vituko hakuto leta wosia mpya