Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Wazee Wa heshima wenye hekima na busara waitishe pande mbili za hii familia wakae nao wayamalize kifamilia kwa heshima ya Mzee Mengi.

Pande mbili hizi haziko na hali nzuri hivyo hekima na busara yapaswa kutumika kuwaweka kwenye harmony..
Haya mambo si mageni yapo familia nyingi ni vile status zinatofautiana tu

Mungu awasaidie tu .

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili ndio linaweza likaleta amani na kuokoa na kutatua huu mgogoro
Huu mgogoro utatatuliwa nje ya mahakama
 
Social climber fighting for the wealth she has never created. Hana busara kabisa huyu.

Amechangia sana tuu kwenye hizo mali na mahakama inatambua kabisa ! Alivyokuwa ana mfulia marehemu na kumpa penzi hayo yote yalileta mali nyumbani
 
Inauma sana kukataliwa kuona kaburi la baba yako na majina yanafana na mama wakambo.

Licha ya yote sasa hivi duniani kuna mkombozi

The world needs Michael Bloomberg let us all support him. Paza sauti popote ulipo duniani MICHAEL BLOOMBERG
Sijui umeongea vitu gani hapa na wewe kama sio kutuchanganya wenzako tunaokatazwa kuhiji kaburi la shemeji mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu malaya moto anaojaribu kuuwasha hatoweza kuuzima


Sent from my iPhone using JamiiForums

Huyo “malaya” ndio alipendwa na marehemu
Kuliko watakatifu wote unao wajua! Na alipokuwa hai marehemu wote tulimuheshimu huyo so called “malaya” ni vyema tuendelee kumuheshimu mke wa baba yetu maana kumchukia na kumfanyia vituko hakuto leta wosia mpya
 
Huyu mwanamke mshenzi sana,ameiba mume wa mtu akamkaba koo hadi akafunga ndoa kwa lazma,akafanya mafyekeche mzee wa watu akaumwa,akaandaa wosia wa kinyama na kumfosi mzee asaini katika hali ya ugonjwa bila kujitambua na kuwanyima haki wanae wakubwa ambao wameshiriki kwa asilimia kubwa mafanikio ya kampuni za baba,mwisho wa siku anamdedisha kwa tamaa ya mali halafu anataka wachaga wamchekee tu? Kunguru kweli huyu malaya,isipokua mapacha wake hawana hatia kwa ufala wa mama yao!!

Hahahaha ujue humu Jf kuna watu mna mitambo ya kuchakata uongo aiseee hivi ulikuwepo wakati ana mkaba hilo koo?

Sasa baada ya kukabwa koo Mengi ali report kituo gani cha polisi?
 
Huyo “malaya” ndio alipendwa na marehemu
Kuliko watakatifu wote unao wajua! Na alipokuwa hai marehemu wote tulimuheshimu huyo so called “malaya” ni vyema tuendelee kumuheshimu mke wa baba yetu maana kumchukia na kumfanyia vituko hakuto leta wosia mpya
Kwani amekuahidi nini?Sio kwa kumtetea huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom