Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Hahahaha ujue humu Jf kuna watu mna mitambo ya kuchakata uongo aiseee hivi ulikuwepo wakati ana mkaba hilo koo?

Sasa baada ya kukabwa koo Mengi ali report kituo gani cha polisi?
Hahaaa lawyer unanichekesha sana leo
 
Amechangia sana tuu kwenye hizo mali na mahakama inatambua kabisa ! Alivyokuwa ana mfulia marehemu na kumpa penzi hayo yote yalileta mali nyumbani
Mkuu learned lawyer sijakataa kabisa ila kungekuwa na fair share. Waweke mambo mezani wagawane watoto wote na Jack pia.
 
We mchawi

Watoto wakubwa wa marehemu waliishapata urithi wao kwa kumfungulia kesi baba yao

Mengi hakuwa boya kama wewe na ndugu zake

Std seven leaver?? Hana vigezo na ana papuchi?
 
Mkuu learned lawyer sijakataa kabisa ila kungekuwa na fair share. Waweke mambo mezani wagawane watoto wote na Jack pia.

Hapa duniani vitu pekee vinavyo gawiwa fair ni vile visivyo na thamani! Vile vyenye thamani lazima vigawiwe bila fair!

Ukiangalia huu mgogoro ni ukweli hakuna anayetaka mgao sawa au fair na mwingine!

Lazima haya yangetokea hata kama Regina ndio angepewa nyingi kuliko wengine!

Shida hapa kila mtu anaona mwenzie hafai kupata ila ukweli anaye amua jinsi ya kugawa ni mwenye mali jamani!

Lazima familia na Regina mmoja wao aamue kupoteza zaidi ya mwingine na wakae nje ya mahakama kwani ukweli ni kwamba mali za mengi zitapotea zote
 
Ndio mimi ni "family member" .

Zungumzeni muyamalize, kuna watu wengi wenye busara wakiwakalisha mtafika muafaka hakika.
Watoto Wa marehemu wanapaswa kuwa pamoja pasiwe na chuki na visasi
 
Mzee Mengi mwenyewe alishindwa kuiweka familia yake vzr hadi amekufa ameacha sintofamu. Ndiyo yaleyale ya marehemu Mfuruki.
 
Mzee Mengi mwenyewe alishindwa kuiweka familia yake vzr hadi amekufa ameacha sintofamu. Ndiyo yaleyale ya marehemu Mfuruki.
Tabu sana...

Hivi Mufuruki wameshamalizana?
 
Ndio mimi ni "family member" .

Basi kama una ushahidi wa Kyln kutengeneza wosia fake basi bila shaka utaithibitishia mahakama na kama ni kweli basi usiwe na wasi we subiri kushinda case muache tuu akaone kaburi kwa mara ya mwisho!

Mkuu bila shaka umeandika ukweli mtupu
 
Write your reply...Mzee Mengi angekuwa ameyashughulikia haya yote kati ya pande zote mbili kabla ya kifo chake angalau yasingefika huku. Na ule wosia ndiyo aliharibu kila kitu.
 
Mila haziruhusu kuona kaburi hovyo hovyo.jacki bado hatambuliki Kama mke halali wa mzee Mengi siyo kanisa wala ukoo haumtambui.kinachojulikana ana watoto na Mengi hiyo inatosha kumpa heshima asitake zaidi ya hapo.
Basi kama una ushahidi wa Kyln kutengeneza wosia fake basi bila shaka utaithibitishia mahakama na kama ni kweli basi usiwe na wasi we subiri kushinda case muache tuu akaone kaburi kwa mara ya mwisho!

Mkuu bila shaka umeandika ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…