Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Hahahaha ujue humu Jf kuna watu mna mitambo ya kuchakata uongo aiseee hivi ulikuwepo wakati ana mkaba hilo koo?

Sasa baada ya kukabwa koo Mengi ali report kituo gani cha polisi?
Hahaaa lawyer unanichekesha sana leo
 
Amechangia sana tuu kwenye hizo mali na mahakama inatambua kabisa ! Alivyokuwa ana mfulia marehemu na kumpa penzi hayo yote yalileta mali nyumbani
Mkuu learned lawyer sijakataa kabisa ila kungekuwa na fair share. Waweke mambo mezani wagawane watoto wote na Jack pia.
 
Mbona unatoka nje ya mada?
Nani amemzuia mengi kuoa.
Na kama aliolewa mbona anateseka?
Na mbona amechukua Mali zote yeye as if anajua hata namna ya kuzitafuta huyu grade seven leaver? Eti wajane wananyanyaswa. Nani ananyanyasa wenzake? Halafu unaongea tuu.
Kwanini huwafikirii watoto wakubwa wa marehemu? Hawastahili kumiliki mali za baba yao ambao kimsingi maa yao was the source ya haya? No wonder hata wosia wenyewe wa kistandard seven leaver.
Put yourself too as a mother of the elder kids. Klyn my foot. Atanyooka tuu pamoja na watetezi wake. Hapa mwanzo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

We mchawi

Watoto wakubwa wa marehemu waliishapata urithi wao kwa kumfungulia kesi baba yao

Mengi hakuwa boya kama wewe na ndugu zake

Std seven leaver?? Hana vigezo na ana papuchi?
 
Mkuu learned lawyer sijakataa kabisa ila kungekuwa na fair share. Waweke mambo mezani wagawane watoto wote na Jack pia.

Hapa duniani vitu pekee vinavyo gawiwa fair ni vile visivyo na thamani! Vile vyenye thamani lazima vigawiwe bila fair!

Ukiangalia huu mgogoro ni ukweli hakuna anayetaka mgao sawa au fair na mwingine!

Lazima haya yangetokea hata kama Regina ndio angepewa nyingi kuliko wengine!

Shida hapa kila mtu anaona mwenzie hafai kupata ila ukweli anaye amua jinsi ya kugawa ni mwenye mali jamani!

Lazima familia na Regina mmoja wao aamue kupoteza zaidi ya mwingine na wakae nje ya mahakama kwani ukweli ni kwamba mali za mengi zitapotea zote
 
Ndio mimi ni "family member" .

Zungumzeni muyamalize, kuna watu wengi wenye busara wakiwakalisha mtafika muafaka hakika.
Watoto Wa marehemu wanapaswa kuwa pamoja pasiwe na chuki na visasi
 
Wazee Wa heshima wenye hekima na busara waitishe pande mbili za hii familia wakae nao wayamalize kifamilia kwa heshima ya Mzee Mengi.

Pande mbili hizi haziko na hali nzuri hivyo hekima na busara yapaswa kutumika kuwaweka kwenye harmony..
Haya mambo si mageni yapo familia nyingi ni vile status zinatofautiana tu

Mungu awasaidie tu .

Mzee Mengi mwenyewe alishindwa kuiweka familia yake vzr hadi amekufa ameacha sintofamu. Ndiyo yaleyale ya marehemu Mfuruki.
 
Mzee Mengi mwenyewe alishindwa kuiweka familia yake vzr hadi amekufa ameacha sintofamu. Ndiyo yaleyale ya marehemu Mfuruki.
Tabu sana...

Hivi Mufuruki wameshamalizana?
 
Ndio mimi ni "family member" .

Basi kama una ushahidi wa Kyln kutengeneza wosia fake basi bila shaka utaithibitishia mahakama na kama ni kweli basi usiwe na wasi we subiri kushinda case muache tuu akaone kaburi kwa mara ya mwisho!

Mkuu bila shaka umeandika ukweli mtupu
 
Write your reply...Mzee Mengi angekuwa ameyashughulikia haya yote kati ya pande zote mbili kabla ya kifo chake angalau yasingefika huku. Na ule wosia ndiyo aliharibu kila kitu.
 
Mila haziruhusu kuona kaburi hovyo hovyo.jacki bado hatambuliki Kama mke halali wa mzee Mengi siyo kanisa wala ukoo haumtambui.kinachojulikana ana watoto na Mengi hiyo inatosha kumpa heshima asitake zaidi ya hapo.

Back
Top Bottom