Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Daa! Points. Hivi umeolewa dada? Unahekima sana
 
Umegonga nini hapo? Kwa kutetea hivi
 
Amechangia sana tuu kwenye hizo mali na mahakama inatambua kabisa ! Alivyokuwa ana mfulia marehemu na kumpa penzi hayo yote yalileta mali nyumbani
Yes upo sahihi sana mkuu, ukiacha kuchangia tu, Jack pia ni mama watoto wa mzee Mengi. Ila atambue Mengi amefika hapo alipo kwa msaada wa familia iliyopita pia ambayo ilimfulia na kumpa penzi kwa miaka mingi kabla yake. Familia ya mwanzo pia iliteseka mpaka amekuta mema anayoyapigania.

Mimi ningemuona Jack smart kama angekaa na familia ya mzee wayamalize kwanza, then kama wamemuonea ndio aje mitandaoni kushtaki. Siamini kama wakina Benja na Mengi family wana njaa ya kumtenga mazima.

Hii miaka 5 aliyokaa na Mengi ndio ajifanye amechuma nae kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hivi ilikuwa fair mali zote warithishwe jaki na mapacha wake tu wakati kampuni ilianzishwa na uwepo wa mzazi wa watoto wakubwa? Kama ule wosia wa mengi ni wa kweli, trust me Jackie hakufanya vyema. Angewaachia at least nusu ya mali watoto wakubwa wa Mengi, wameweka nguvu zao hapo kuanzia mama yao then all of a sudden hawapati kitu sababu ya mtu kaolewa miaka hata mitano haijafika ya ndoa unategemea nini ndugu? Lazima iwe vita tena kali.
Kwa hii sababu honestly I don’t feel sorry for Jackie. Kawa greedy na itamcost. Wagawane fairly watamwacha.
 
Acha wivu hebu msaidieni huyo mjane we mangi jaribu kuvaa kiatu chake mkeo asumbuke na watoto wakati haupo mazee utafil aje?

Sent using Jamii Forums mobile app




kwa hili wadangaji tu ndio watamtetea kyln , asumbuke na watoto kivipi Mzee Mengi aliona hilo akamnunulia apartment za kutosha, amefunguliwa viwanda vyake vya Furniture ili hasije kupata tabu watoto tamaa ya nini sasa , aendeleze alivyoachiwa wakati anasubili familia impe anachostaili kwa ajili ya watoto wake

Unawezaje kuvuna husipopanda
 
Alafu unataka kumiliki Mali zote sio rahisi familia yake kukuelewa
 
Ina maana hata Rodney nae hakuacha mtoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…