Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

50% ya Mama Mercy ilienda kwa Regina na Abdiel wakati amefariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmhhh sio suala la njaa, yaani Mali za baba yetu zote umilikishwe wewe uliyeishi nae miaka minne tu? Atakufa mtu
Mbona hawakumzuia kufunga naye ndoa, kuishi naye na kuzaa naye?
Aliyeoa ni Mengi au hao ndugu? Njaa na tamaa zinatumaliza waAfrika, tunaomba mtu afe ili tugawane mali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My point of view..
Angekubali tu kugawana hizo mali na hao watoto maana watoto wale pia wana haki na mali za baba yao. Mwisho wa siku wote njia yetu ni moja na mali hatuendi nazo kaburini.

Utu ni bora kuliko kitu
 
Jack pambana na shida zako jamii forum haitakusaidia inaelekea una matatizo na ndugu wa marehemu.some hii hapo juu.
 
Ungemueleza uzuri tu my dear si wote wajua kuhusu Hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajua sana ila mtu akiongozwa na chuki anakua kipofu, Yatima ni mtoto aliyefiwa na wazazi wote wawili au mzazi mmoja hasa Baba, kipi hawakijui hapo, hao watoto wa Mengi hawapaswi kua yatima? Wangekua watoto wengine wanaowapenda wao watu wote wangeongelea kuhusu uyatima.
 
Kakosea kwa wamachame..ajitafakari upyaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…