Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jack pambana na shida zako jamii forum haitakusaidia inaelekea una matatizo na ndugu wa marehemu.some hii hapo juu.
Ni kweli apambane na hali yake! Hakuwa mjanja kuhakikisha binti anakuweka karibu. Aidha nani atakubali uwe na mwanaume aje kula pesa ya baba yake? Watu hawajui kuwa watoto wa Kike huwa na wivu na baba zao! Regina anapomuona Mwarabu anaitafuna hiyo K, kiranga kinamkaba koo!
 
Lkn Hawa watoto wakubwa wa mzee nao wanakosea? Kwanini hawazai asee?[emoji849][emoji849][emoji848] ...

Mdingi ndo maana akazaa na mjukuu wake, mitoto inaendeleza anasa mpaka inasahau familia yaaan..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kutokuzaa hakuwanyimi haki ya kurithi... Kyln hata asingelikuwa na watoto angelipewa urithi! Watoto wa Mengi wamepewa baba yao alichoona wanastahili! Na kamwe hawatoshinda na kupewa zaidi ya hicho! Wanapoteza muda na mali za baba yao!

Wakitaka muafaka wakae na Jack waelewane lasivyo hizo mali zitabaki history

Hata case hawatoshinda kamwe
 
Wadau wannadai hata pete imesahaulika kwenye kidole na anaonekana na njemba wake kama kawaida. In short anatia aibu wanawake

Hakuna kosa hapo na haina uhusiano na haki yake ya kurithi! Hilo halimnyimi haki zake alizopewa
 

Acha hasira kwanza
 
Fununu kua anaroho ya nkurunzinza ile mbaya,aliwablock regina na kaka yake kwenye simu ya baba yao wasiongee nae b4 mzee kufariki,huyu dada ni zaidi ya jambazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ulitaka huyu nkuruzinza afaidi mali aliyoikuta tayari,kuna mengi yanakuja na hakuna wa kumsaidia mana yeye ndio alitaka dhulumu kwa kufoji wosia wake na wanasheria njaaa,ipp wanasheria wake wanajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ukabila wewe pimbi wa kihaya,nenda kamtetee rugemalila mwizi wa pesa za escrow,huyo muhaya mwenzako hata aje na wanasheria wote wahaya hashindi hii kesi,jizi la mali za mengi limebaki kuropoka tu kua anaonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengi hakuwahi kutoa talaka kwa mkewe walibaki kujenga ipp,uliza utaambiwa hilo na ndio mana alienda kufungia ndoa nje ya nchi,istoshe wosia upo ila fununu kua ule wa kulipwa buku watoto ni jacky kagushi huku mtaani kwa ushauri wa wajinga wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio ukweli,na akicheza wanampa kesi ya kugushi wosia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini waligawana mali kila mtu akashika % zake; au? Maana kwenye mazishi yake Askofu Shoo alisema Mengi alisharudi kundini; na wakabariki ndoa na Jacky may 2014; ilikuwaje ndoa yao kubarikiwa kama hakuwa ameachana na Mercy?

Sema naona kuhusu hii familia hearsays ni nyingi sana; wamejitahidi sana kuficha mambo yao, though with time kila kitu kitakuwa wazi . Btw kuona comment yako nikajua umefunguka haswa as you always do na mastoreee ya watu wa Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…