Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jack pambana na shida zako jamii forum haitakusaidia inaelekea una matatizo na ndugu wa marehemu.some hii hapo juu.
Ni kweli apambane na hali yake! Hakuwa mjanja kuhakikisha binti anakuweka karibu. Aidha nani atakubali uwe na mwanaume aje kula pesa ya baba yake? Watu hawajui kuwa watoto wa Kike huwa na wivu na baba zao! Regina anapomuona Mwarabu anaitafuna hiyo K, kiranga kinamkaba koo!
 
Lkn Hawa watoto wakubwa wa mzee nao wanakosea? Kwanini hawazai asee?[emoji849][emoji849][emoji848] ...

Mdingi ndo maana akazaa na mjukuu wake, mitoto inaendeleza anasa mpaka inasahau familia yaaan..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kutokuzaa hakuwanyimi haki ya kurithi... Kyln hata asingelikuwa na watoto angelipewa urithi! Watoto wa Mengi wamepewa baba yao alichoona wanastahili! Na kamwe hawatoshinda na kupewa zaidi ya hicho! Wanapoteza muda na mali za baba yao!

Wakitaka muafaka wakae na Jack waelewane lasivyo hizo mali zitabaki history

Hata case hawatoshinda kamwe
 
Wadau wannadai hata pete imesahaulika kwenye kidole na anaonekana na njemba wake kama kawaida. In short anatia aibu wanawake

Hakuna kosa hapo na haina uhusiano na haki yake ya kurithi! Hilo halimnyimi haki zake alizopewa
 
Watanzania bado Kama bado roho mbaya ,chuki na mihemko watu hamfikirii hata wale malaika watoto wadogo mnajenga chuki matabaka,

Kwani mke halali kurithi Mali za marehemu kwa ajili ya watoto shida iko wap? Mnajua kavumilia mangapi mpaka mzee kufia mikononi mwake mbona asifie kwengine ??

Too bad kwa watoto !!

Wamachame kwa hili tumekwama sana!! Regina hajazaa hajui hata kulea wala uchungu huyu ukijumlisha na sumu waliochiwa na mama yao ! Muamuzi wa hii vita sijui ni nani?????

Take a heart mama yatapita I can imagine familia & ukoo mzima tena koo mbili ya mama mercy na mengi against mtu mmoja Jack!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha hasira kwanza
 
Unajua huyu anahela lakini akili hana. Wanasheria watamlia hela and she might never win....she never laid her plans well now upande mwingine watacheza na loophole alizoacha.

Hajui Kula na kipofu she was too greedy and she might loose it all.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fununu kua anaroho ya nkurunzinza ile mbaya,aliwablock regina na kaka yake kwenye simu ya baba yao wasiongee nae b4 mzee kufariki,huyu dada ni zaidi ya jambazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna kosa gani yeye kwenda kwenye kaburi la mumewe? Huyo Mengi hakujua kuwa ameoa mdangaji? Hivi angelikuwa ni mama yako ungeliandika haya au kwa sababu uko nyuma ya key board! Sisi hatuhitaji kujua amewakosea nini lakini wanachofanya ni cha kishamba! Kama ni mali ni Mengi mwenyewe akiwa hai alimpa !

Regina lazima ajue hatoweza kufaidi hizi mali kwa njia maana hata baba yake uko alipo awezi furahi lazima wajeu wataua kampuni zote za baba yao na hakuna atakaye kula hizo hela kama hawato tafuta muafaka!


Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwahiyo ulitaka huyu nkuruzinza afaidi mali aliyoikuta tayari,kuna mengi yanakuja na hakuna wa kumsaidia mana yeye ndio alitaka dhulumu kwa kufoji wosia wake na wanasheria njaaa,ipp wanasheria wake wanajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha huruma wala nini mbona hamkumfundisha adabu baba yenu akiwa hai mpaka mmesubiri amekufa? Mliogopa nini? This time ninyi wachagga ndio mtafunzwa kutii sheria bila shuruti maana kila kitu kiko wazi na Jaq sio mgawa mali ...

Kama ni mahakamani hamtoweza kushinda kamwe na ambacho mtafanikiwa ni kuua mali zote za Mengi alizozitafuta muda mrefu na akamchagua Jack kula nae....

Kampuni za mengi zitakufa zote kama hamto tafuta suluhu...


Sent from my iPhone using Tapatalk
Acha ukabila wewe pimbi wa kihaya,nenda kamtetee rugemalila mwizi wa pesa za escrow,huyo muhaya mwenzako hata aje na wanasheria wote wahaya hashindi hii kesi,jizi la mali za mengi limebaki kuropoka tu kua anaonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo ya mali si yapo mahakamani? Au siku hizi kukiwa na kesi ya mirathi mahakamani ndo mke haruhusiwi kutembelea kaburi la mumewe?. Aliyempa mali zote ni yeye mwenyewe au mumewe aliyezitafuta ndo alimpa? Hahahaa mwanamke hata akiwa ameishia la 2B na anakaa tu nyumbani ni haki yake kurithi mali za mumewe 100%.

Mke wake mkubwa si waliachana na kila mtu akashika chake?. Kama mke mkubwa alikuwa anathamini sana mali kuliko furaha yake basi wasingetengana na mumewe. Kwa sababu sidhani kama alikubali watengane huku akitegemea Mengi asioe ili mali zisitoke nje ya ukoo na hakuwa na haki ya kumpangia Mengi atumiaje mgao wake. I'm not putting myself in anyone's shoes; just standing on the right side. Kwa hili la kumzuia K Lyn kuona kaburi la mumewe; i'm with Jacky. Kama kwenye mazishi walimu-acknowledge Jacky kama mke wa marehemu na kumpa haki zote; kwa nini leo wamzuie kuona kaburi?

We shouldn't put all the blames on Jacky; tuwalaumu Mengi na mkewe waliovunja ndoa yao.
Mengi hakuwahi kutoa talaka kwa mkewe walibaki kujenga ipp,uliza utaambiwa hilo na ndio mana alienda kufungia ndoa nje ya nchi,istoshe wosia upo ila fununu kua ule wa kulipwa buku watoto ni jacky kagushi huku mtaani kwa ushauri wa wajinga wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atubu kwa kumsainisha mzee Mengi wosia wa kishenzi kama ule, eti 'yeyote atakaepinga wosia huu mahakamani na kushinda apewe shs.1,000/=' si utapeli huo? Yaani mtu kashinda kesi halafu apewe 1,000/=, si ni jukumu la mahakama kusema nani apewe nini kwa na kwanini? Tapeli hilo..
Huo ndio ukweli,na akicheza wanampa kesi ya kugushi wosia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengi hakuwahi kutoa talaka kwa mkewe walibaki kujenga ipp,uliza utaambiwa hilo na ndio mana alienda kufungia ndoa nje ya nchi,istoshe wosia upo ila fununu kua ule wa kulipwa buku watoto ni jacky kagushi huku mtaani kwa ushauri wa wajinga wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini waligawana mali kila mtu akashika % zake; au? Maana kwenye mazishi yake Askofu Shoo alisema Mengi alisharudi kundini; na wakabariki ndoa na Jacky may 2014; ilikuwaje ndoa yao kubarikiwa kama hakuwa ameachana na Mercy?

Sema naona kuhusu hii familia hearsays ni nyingi sana; wamejitahidi sana kuficha mambo yao, though with time kila kitu kitakuwa wazi . Btw kuona comment yako nikajua umefunguka haswa as you always do na mastoreee ya watu wa Arusha
 
Back
Top Bottom