Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Yatima na regina na abdiel,hao wadogo mama yao yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ya kikristu haijafa ni pesa iliongea,watumishi wetu wanalinda mwenye nacho hujui hilo?kinachogombaniwa ni 25% za mzee mengi alizobaki nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikijifanya mi ndo Regina najiona ninavyopanic 😂😂😂 yaniii mke mdogo atelezee pesa za baba kirahisi hivi😂😂😂
Wadogo zangu ntawapenda Ila sio uyo mama anayepindua pindua
Kwanza ye ndo kafanya family ya Mengi ijulikane socially watu walikua wanamjua mengi na hela zake


Ebu jaribu kuvaa kiatu Cha Regina na Abdiel...Roho inapaa juuu😂😂🙌
 
Sasa tuwe na chuki kwa tusiowajua.....

Hao ni yatima nusu (peternal) sio kama aliyepoteza wazazi wote. Tatizo lako unamihemko unadhani kila anayecomment hapa anasukumwa na mihemko.
Nashukuru umekubali kua ni yatima nusu,
Kunywa maji ushushe hasira, maana naona neno Yatima limekua gumzo kuliko mada yenyewe,
Watanzania ndio tulivyo.
 
Unaweza ukaua mtu aisee, hilo litutsi ni lijambazi, 1994 iliwafaa tu..
 
Hili ni fundisho kubwa kwenye maisha Mambo makubwa ya kujifunza hapa:
1.Maisha yako si yako peke yako kwani kila jambo unalolifanya linaathiri maisha ya wengine ni vizuri kufanya kila jambo kwa hekima na baada ya kufikiri sana.
2.Ndoa ni maisha wala si jambo la ufahari ama starehe ikitokea umeamua kutengana na mwenza wako au mwenza wako kufariki kabla ya kuoa fikiria maisha ya watoto wako usije kuathiri na kutengeneza chuki uadui na mafarakano baina ya ndugu.
3.Watu wengi wana kurasa kwenye maisha yao ambazo hawawezi kuzisoma kwa sauti na hizi ndio huendelea kuishi zaidi hata pale ambapo wanakuwa wameondoka duniani.
4.Mabinti na vijana kuchumia juani Kuna raha yake pia .
5.Unaweza ukawa mke wa baba au mume wa mama na usiwe baba au mama na hili tu linaweza kuwa mwanzo wa uhalibifu mkubwa ndani ya familia “UPENDO” pekee hautoshi kukufanya uolewe na mtu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ruttashobolwa,
Kweli Mkuu umeshauri vizuri. Wakae waelewane maana hizo biashara ndiyo maisha yao wote hivyo washiriki kuziendeleza na siyo kupigania kugawana. Kwa sababu kwa chuki hiyo naona bila kuelewa na hakuna jinsi watakaa pamoja na kukubaliana memarts mpya za hizo kampuni. Kazi kubwa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…